Search results

  1. Kivule

    Naomba kuuliza huu utaratibu kuhusu kupata kazi ya vibarua serikalini?

    Habari? Familia mzabuni aliepewa iyo tenda ya kujenga na nenda kaombe kazi kwenye iyo kampuni.
  2. Kivule

    Nahitaji kwenda Ruaha National Park

    Mie nilienda tukiwa group la watu wengi Ivo sikujua malazi kwa mtu mmoja mmoja ilikua kiasi gani Ila kulikua na option kwa ambao walikua couple kuongeza elfu 20 kulala kwenye bandas wakiwa couple.
  3. Kivule

    Nahitaji kwenda Ruaha National Park

    Nimefurahi sana kiongozi mana mi napenda sana utalii wa ndani na nilishaenda mbuga ya Ruaha. Kwenye safari yangu nakumbuka kutoka Iringa mjini ad mbuga ya Ruaha palipo ndani kabisa ya mbuga kwenye ofisi zao na nyumba za makazi nilitumia masaa kama 5 hivi sababu kubwa ni barabara ya kwenda uko ni...
  4. Kivule

    Msemaji wa Simba SC, Haji Manara amuonya Maulid Kitenge kwa uzushi wake usiovumilika

    Changamoto ya Manara ni moja tu hataki timu yake itajwe kwa mabaya, yeye kama Nani haswa. Tetesi ni moja zikazochagiza Raha ya mpira.
  5. Kivule

    Msemaji wa Simba SC, Haji Manara amuonya Maulid Kitenge kwa uzushi wake usiovumilika

    Nashangaa kinacholalamikiwa ni nini, tetesi za izo ni kawaida kwa timu yoyote duniani na viongozi wa timu husika hutolea ufafanuzi na sio kukashifu watoa taarifa. Unataka timu yako isisemwe na mabaya na tetesi, wewe kama nani? Yanga pia inasemwa mara hawajalipwa mishahara wachezaji mara Mukoko...
  6. Kivule

    Baba Levo akiwa usafini

    Kama inampa pesa, mafanikio na kuwasaidia ndugu zake mie sioni tatizo. Ili mradi havunji sheria za nchi na anapata mafanikio kupitia anachofanya mie sioni tatizo.
  7. Kivule

    Baba Levo akiwa usafini

    Kwa upande wangu sijaona kero yoyote sababu Babalevo ni comedian, kuna vitu anaongea ili afanye watu wafurahi tu.
  8. Kivule

    Baba Levo akiwa usafini

    Changamoto ya binadamu hawapendi mwenzie apate na apige hatua kimaisha. Akiwa hajafanikiwa wanajifanya wanampa moyo ila akifanikiwa hao hao wanamponda. Mimi nafurahi sana mtu akipiga mafanikio tena namuombea azidi fanikiwa zaidi mana atawasaidia ata ndugu, jamaa na marafiki.
  9. Kivule

    Visa Official Thread

    Hapana kiongozi, nilishaenda na sasa niko nchi nyingine.
  10. Kivule

    Secretariat ya ajira: Kichaka cha ajira kwa watoto wa vigogo

    Tatizo hukufanya vizuri kwenye usaili Ila wengi mno tumepata ajira kupitia ajira portal bila makando kando. Kiukweli wanafanya kazi nzuri sana utumishi na wanahitaji pongezi.
  11. Kivule

    Kama upo Moshi usikose kutembelea mandhari hii ya Ziwa Chala

    Mbugani gharama zake sio kiingilio, ni kukodi usafiri huo wa Land cruiser gharama zake ndo changamoto.
  12. Kivule

    TANZIA Profesa Peter Msaki afariki Dunia

    Pumzika mahali pema Prof. Msaki. Nakumbuka sana mapindi uliyonipigisha hasa double na triple integral.
  13. Kivule

    Simba imeingia kwenye makundi kwa hesabu tu

    Watani zangu mna kikosi kizuri, naamini kufika makundi ni haki yenu.
  14. Kivule

    TANZIA Rest In Peace Tanzania One (T.O), Elias Kihombo

    Namuomba MUNGU amlaze roho yake mahali pema peponi Elias Kihombo na Mohamed Ngaola. Hakika wameacha pengo kubwa kwa wanafunzi wa sasa lakini naamini materials yao yatakumbukwa vizazi na vizazi. Mimi nna notes zote nilizoandika za Mudy Physics na Hidden kuanzia form 3 ad 4 toka mwaka 2007 na ad...
  15. Kivule

    Kwanini wasanii wanaijeria wanatukimbiza huko youtube

    Unaifahamu idadi ya wananchi wa Nigeria?
  16. Kivule

    Ushauri wenu kuhusu huyu binti

    Angalia maisha yako kiongozi, angalia namna ya kuwasaidia wazazi na watoto kama unao upate baraka nyingi duniani. Umiza kichwa kusaidia hao Ila sio kuumiza kichwa kisa mapenzi.
  17. Kivule

    Dondoo kuhusu ufadhili wa masomo nje ya Tanzania (Scholarship updates)

    Mie kwa elimu yangu sio mtu sahihi kwako labda nachoweza kukusaidia ni ninayo recommendation letter moja nilioandikiwa na Mkufunzi wangu wa chuo ni Prof, labda nifute details zake na zangu nkutumie ufanye editing
  18. Kivule

    Dondoo kuhusu ufadhili wa masomo nje ya Tanzania (Scholarship updates)

    Hapana mkuu lakini tuwe tunasoma maelezo alafu palipokua na utata ni vizuri kuulizia. Ila kuulizia palipo andikwa kabisa scholarship ni lazime iwe ndani ya UK alafu mtu anauliza he nkipata chuo Ujerumani?
  19. Kivule

    Dondoo kuhusu ufadhili wa masomo nje ya Tanzania (Scholarship updates)

    Tujiongeze kidogo jamani, maelezo yamejieleza kabisa apo tena paragraph ya kwanza.
Back
Top Bottom