Search results

  1. Black ma colour

    Msaada kuhusu mfuko wa uwekezaji wa UTTS

    Habari za leo wana JF. Naomba msaada wa maelekezo/maelezo kuhusu mfuko wa UTTS. Awali ya yote nimejaribu kusoma kwenye tovuti yào ya utts nikiri sikuweza kupata maarifa yakutosha. Mwenye uelewa kuhusu hii mifuko anisaidie. Ushauri napokea pia Thanks
  2. Black ma colour

    Nahitaji ps4 machine

    slim nakuuzia 750, fat nakuuzia 650 nipo dar . call me 0713924581
  3. Black ma colour

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    nilifanya kosa kuwaamini Leeds kumbe ni takataka
  4. Black ma colour

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    valencia ananiangusha jamani, yan kishapigwa 2 bila 1st half
  5. Black ma colour

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    wazee mbet kila nikipress bet these days inazingua, sina muda wa kupoteza naombeni link ya app ya kubet isiyokuwa na ubabaishaji chap nibet
  6. Black ma colour

    Naomba kufahamu Hospitali maalum kwa ajili ya watoto

    hellow brother, pole kwa kuuguza, nenda muhimbili kitengo cha watoto muulize doctor kissenge, he is a very good doctor wa watoto, kwanza ni nadra kumpa mtoto dawa, huwa anaangalia chanzo, na kama akimuandikia mtoto dawa mfn sindano jiandae kufuatiliwa, anajali sana watoto na kiukweli anajua huwa...
  7. Black ma colour

    Bima ya Afya Tanzania: Kampuni bora na zenye changamoto katika kuhudumia wateja wake

    Huduma ya kung'arisha meno haipo kwenye bima, tafadhali rekebisha hapo juu. Tena bima yenyewe NAJALI tafadhali Sana punguza fix bro. Hizo bima za bundles zinachangamoto nyingi ya dawa!
  8. Black ma colour

    Nimelidharau sana gazeti la Mwananchi, kwa habari ya Msigwa wamepotoka

    Kwani wameandikaje ndugu ? Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Black ma colour

    Meghan Markle alivutia macho ya wengi Leo kwenye Commonwealth Day iliyofanyika Westiminister

    Huyu sister yupo na jina USA, ni celebrity, usifikirie katika jalalani. Kaigiza movie kibao na series pia. Mcheki kwenye SUITS, usidhani katokea kazuramimba . kumbuka huyo mwanamfalme mwenyewe kaondoka kwenye ufalme na urithi Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Black ma colour

    Tanzania leads Kenya in the list of dollar millionaires

    Mimi simo katika hiyo orodha, Mimi ni nani? Aisee wacha tupambane wapwa Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Black ma colour

    Waziri wa Utamaduni wa Ufaransa aambukizwa virusi vya Corona

    Huwa wanafariki mbona, fuatilia kisa cha kiongozi wa Iran kilitokea nn. Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Black ma colour

    Serikali kutodhibiti idadi ya wageni wanaoingia nchini kwa kisingizio cha Utalii, inahatarisha Usalama wa Taifa dhidi ya virusi vya Corona

    Kwa nyongeza tu, Mungu huwa hashughuliki na mpumbavu, yani akupe akili halafu kwa uzembe wako utumie kichaka cha dini kumuomba akuepushe na balaa ambalo wewe hukuwa makini ! Hakuna Mungu wa namna hiyo na kama yupo basi asingetupa akili na ufahamu , tungekuwa na vichwa vyenye akili mufilisi kama...
  13. Black ma colour

    Serikali kutodhibiti idadi ya wageni wanaoingia nchini kwa kisingizio cha Utalii, inahatarisha Usalama wa Taifa dhidi ya virusi vya Corona

    Faiza kinga ni bora kuliko tiba, huo ni msemo pendwa na wenye maana haswa . Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Black ma colour

    Serikali kutodhibiti idadi ya wageni wanaoingia nchini kwa kisingizio cha Utalii, inahatarisha Usalama wa Taifa dhidi ya virusi vya Corona

    Hello Hivi karibuni kumezuka ugonjwa wa Corona huko China mainland ambao umekuwa tishio kwa dunia sasa. Nchi nyingi sasa ikiwemo India ambayo tumekuwa Tukienda tibiwa kwa magonjwa ambayo huko tiba imeshindikna wameamua kuzuia watu wote wanao tokea China kuingia nchini mwao kwa kuwa wameshaiona...
  15. Black ma colour

    Corona Virus yapiga hodi Afrika, mgonjwa wa kwanza athibitishwa Misri

    Bado haijagusa black guyz in Africa Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom