Search results

  1. Mwarukuni

    Namtamani rafiki wa mke wangu

    Acha kukaakaa nyumbani kizembe.
  2. Mwarukuni

    Kumbukizi: RC Makonda akimfokea DC Chongolo

    Dah, sa itakuaje?
  3. Mwarukuni

    Nani Mkubwa kati ya Mkuu wa Majeshi na Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa?

    Wote wakubwa, wote muhimu kwa TAIFA. Ni kama INI na FIGO katika mwili wa binadamu.
  4. Mwarukuni

    Je, nina ugonjwa wa moyo au nini?

    Wakati unasubiria wataalamu waje wakupe ushauri. Acha kula vyakula vyote ambavyo vinasababisha "gesi" tumboni.
  5. Mwarukuni

    Serikali ipitie upya masuala ya kodi kwa makampuni ya kibiashara

    Kata kitambulisho cha mjasiriamali, kawe CHINGA pale stand mpya mbezi. Fursa hiyo hutasumbuliwa.
  6. Mwarukuni

    Watu 10 matajiri zaidi kuwahi kuishi duniani

    Sijamuona Genghis Khan
  7. Mwarukuni

    Nimeacha na ninakwepa sana kwenda nyumbani kwa Mjomba wangu kuepusha Matatizo ya Kifamilia

    Miaka 40 bado unaenda kwa anko... Pambana ukutane na anko baa maongez yasindikizwe na moja baridi moja moto.
  8. Mwarukuni

    Barabara ambazo hazipitiki kutokana na mvua ya leo Dar

    TAA ZA SALENDA HADI TAA ZA SERENA PALE NIMETUMIA MASAA MATANO NA UPUUZI...DAH!
  9. Mwarukuni

    Barabara ambazo hazipitiki kutokana na mvua ya leo Dar

    Natumai salenda bridge inapitika kuelekea town
  10. Mwarukuni

    Uchawi haupo, ni imani tu

    Uzuri wa Wachawi Nyuzi kama hizi wanazipotezeaga.
  11. Mwarukuni

    Zijue dalili zinazoashiriwa na muonekano wa kucha zako

    Hiyo half moon kwenye kucha nimechunguza, matajiri wengi wanazo kama sio wote,..
  12. Mwarukuni

    Hii maana yake nini et' wadau?

    Dogo uko ndio kwanza uko LEVEL 1...
  13. Mwarukuni

    Tanga: Kadi za CHADEMA zagombewa kama njugu

    Vitambulisho vya kura wanavyo??...
  14. Mwarukuni

    Ushauri wenu juu ya siri hii inayonitesa kwa muda mrefu

    Mkuu ungeuliza kwanza mtu alietembea, oa au kuzaa na binamu yake katika mila zenu adhabu yake au kafara yake ni nini? Au anatakiwa afanye nini kuvunja hiyo miko? Pia ungejaribu kufanya tafiti watu wa zamani wa ukoo wenu waliowahi kukumbana na scenario hiyo walifanywa ni nini na wazee wa ukoo...
  15. Mwarukuni

    Nahitaji kufungua akaunti Azania Bank

    Acha uvivu,..tafuta hiyo bank ilipo, nenda. Mitandao isikulemaze.
Back
Top Bottom