Search results

  1. S

    RC Makonda: Ni marufuku kuwasaidia Ombaomba barabarani jijini Dar

    Hongera sana mkuu, tena kuna kundi la watoto kwenye kona ya serena hotel, linachomoa sana wiper za magari/
  2. S

    Wanawake wa kitanga watamu jamani

    Mkeo yupo chuo cha ngapi?
  3. S

    Nimepigwa na mume

    Pole sana , cha kwanza nenda hospital kaangalie kama hujaumia kwa ndani na huna internal bleeding
  4. S

    Ulishawahi Kumfikiria Prof. Sospeter Muhongo kama Waziri Mkuu?

    Kwa mujibu wa ufunuo wangu naona PM atakuwa Prof Harrison Mwakyembe au January Makamba.
  5. S

    Tukemee wanawake wanaovaa nguo fupi

    Stanbic bank hq kuna mwanamke avaa skirt fupi dana hajui kama watu wamefunga?
  6. S

    Je, Anaitwaje?

    Tenure of State House
  7. S

    Ufafanuzi: Je, IGP anaweza mpigia saluti CDF wa JWTZ?

    Tumieni busara kubishana bila uelewa hakuwasaidii chochote, IGP maana yake ni Inspector General of Police, na CDF maana yake ni Chief of Defence Forces, nafikiri mtajua kipi ni kipi?
  8. S

    Uchaguzi Serikali za Mitaa 2014: Matokeo kutoka nchi nzima (TZ Bara)

    Matokeo ya Lushoto haya onekani?
  9. S

    December: Mwezi wa Wachaga

    Tunawatikia amani waende kuhesabiwa na kurudi salama, kidogo foleni itapungua.
  10. S

    Tundu Lissu: Nitawania Urais kupitia CHADEMA 2015

    Yoyote atakae legalise it (Nyabingi) huyo ana kura yangu
  11. S

    Nakerwa sana na ujinga wa Watanzania

    Wewe ni mtusi? mpaka ututusi wa Tanzania?
  12. S

    Kumuona Daktari Tsh.10,000/=

    Mimi naomba tu na hao madaktari wawe na nidhamu kwa wagonjwa wao, wanapenda sana kudhalilisha wagonjwa wenye jinsia ya kike.
  13. S

    Rais Kikwete ni extra ordinary

    Hawezi kuwa wa kawaida hata siku moja kwa sababu kuwa Rais tu sio kitendo cha kawaida toka uhuru tuna Marais wangapi? Pili ujue kichwani kwako jamaa amezaliwa siku moja na Putin, na wote ni Marais, kitakuwa kichwa cha kawaida?
  14. S

    Donors now confirm withhold of Sh. 1tr Aid over the IPTL Scandal

    Hii mitambo ya kufua Umeme naona imekuwa laana kwa Tanzania, Inabidi itaifishwe tu, TANESCO amiliki yote sababu iliingia kwa njia za panya na pesa zake hazitaacha kutoka kwa njia za panya.
  15. S

    Donors now confirm withhold of Sh. 1tr Aid over the IPTL Scandal

    Tanzania sidhani kama inahitaji wakoloni?
  16. S

    Mahaba mahabani sijui kazi unafanya ka

    Hawana makosa, ila Mkuu wa Chuo CCP, ndio anatakiwa awajibishwe kwa kutoa Askari wasio iva, hawajui maana ya jeshi wala dola, nguo ya askari huwakilisha dola, hivyo hawajui maana ya kazi yao na inchi waliyo apa kuifia, ila kwa kuwa duniani hamna askari mbaya, hata avute mihadarati. sheria ya...
  17. S

    Air Tanzania ni uozo

    Ndege na nane kutoka Oman ziko wapi?
  18. S

    Waziri Nyalandu atanua na Aunty Ezekiel Marekani kwa fedha za Wizara ya Utalii

    Tulijua tu wafanyabiashara wa magogo, pembe za ndovu na vipusa vingine hawata acha kumchafua mheshimiwa Waziri?
  19. S

    Polisi wa Usalama barabarani Kibaha ni wanyanyasaji sana

    Hata uwe na lugha ya malaika kwao pesa mbele, Tena wana onea sana wafiwa hasa wachaga wakiona coaster imewasha taa tu wanasema ipelekwe kituoni, kama sio bangi ni nini?
  20. S

    Jaji Sinde Warioba: Siendi Dodoma kwenye makabidhiano ya Katiba

    Kubaki tu hakutoshi kila mtu mwenye kuheshimu kazi ya Mzee huyu basi amtafutie zawadi ya aina yoyote kuthamini mchango wake, na itakuwa si vibaya kwenda kumsalimia akajua kuna watu wanao thamini mchango wake.
Back
Top Bottom