Search results

  1. C

    INAUZWA Nauza FishFinder

    Range-Side Imaging (Side-To-Side) 800 ft (455 kHz), 250 ft (800 kHz), 400 ft (MEGA)
  2. C

    INAUZWA Nauza FishFinder

    Depth-Down Imaging 125 ft (800 kHz), 200 ft (MEGA), 400 ft (455 kHz)
  3. C

    INAUZWA Nauza FishFinder

    Samahani Mkuu,ni kifaa kinachoonesha wapi samaki walipo umbali wa kwenda chini.Ina msaidia mvuvi kufanya kazi kwa uhakika na pia kupunguza gharama za mafuta na kuokoa muda.Sababu ukiwa na kifaa hichi kitakuelekeza mahali wapi samaki wanapatikana hivyo hutahitaji kuzungusha boti muda mrefu...
  4. C

    INAUZWA Nauza FishFinder

    Humminbird HELIX 12 ($1000) This is one of the units the Wired2fish staff has the most time with and can say without reservation that this is one of the best units on the market for anglers. Our team regularly gets images you would swear were better than the much higher end units. The...
  5. C

    Nazi Zao Yatima Hana Mzazi Hana Mlezi

    Nikianza kwa kunukuu maneno ya Rais Kikwete kuwa zao la minazi limepatwa na " Ugojwa usiotibika kwa sasa ",nakuwataka wakulima wa zao la mnazi kulima kokoa kama zao mbadala .Wazo kama hili si geni ,kwani hapo nyuma wakulima huko Mwanza walitakiwa kubadilisha zao la pamba kwa kahawa . Inaniwia...
  6. C

    Athari ya Chadema kutomtambua rais

    Maoni toka: MTAZAMO HALISI: Athari ya Chadema kutomtambua rais Kwa mara ya kwanza imejitokeza kwa bunge la Jamhuri ya Muungano kupata mshtuko mkubwa baada ya wabunge toka chama cha Chadema kususia hotuba ya rais. Hii imekuja baada ya chama hicho kutoridhishwa na mwenendo mzima wa uchaguzi...
  7. C

    Elections 2010 Tanga amkeni

    Tanga ya Mjerumani, nimji wakizamani kavutiwa mkoloni ,kukaa hapa nchini wambali wamikoani,walikuja mashambani sikwambii viwandani,napirika bandarini unani tanga kunani,akuonae ni nani? Umaarufu mwambao,kwenye bahari yahindi umeandikwa ubao,kuwa siku hazigandi elimu ndio funguo,idai...
  8. C

    Nauza used laptop

    Washikaji si nimewapa namba yasimu 0754-710288 nina aina mbalimbali sasa bei nihapo utakaponipigia.Unaweza pia kunipata kwa e-mail abcally@gmail.com.
  9. C

    Nauza used laptop

    Kama kawaida Wanajamii,nimependelea kuwajulisha kuwa kama kuna anaehitaji used laptop tuwasiliane kwa namba hii 0754-710288,thanx.
  10. C

    Mikopo ya Ukodishaji Rasilimali (Financial Leasing)

    Jamani ktk kusaidiana kwahilo,naombeni wana jamii munisaidie ktk hili la business plan and project.Ikiwa nina US$10000/- naomba munifahamishe nimradi gani nifanye ili uwezekuninyanyua.Kwamchango wenu wamawazo nauzoefu -naomba unitumie kwa e-mail:abcally@gmail.com -asanteni.
  11. C

    Parking Dar: Kingunge na familia yake ni wasanii?

    Hongera Waziri Mkuu wetu,kwa muda mrefu tulikuwa tunasubiri yule atakayemfunga paka kengele.Kwadalili ulizozionyesha kwaahadi ulizotoa,tunaomba kwasasa uwe muda wautekelezaji.Familia ya MZEE KINGUNGE inanufaika sana namikataba bomu naomba pia upitie mkataba wamaegesho wamagari ktk jiji naona...
  12. C

    Nauza used laptop

    Mzee bei sijuu,nibei yakaida -sio sawa nazile zinazoibiwa mitaani maana hata laki 2 wanauza.Hizi zinapatikana kihalali na bei nipoa. Laki6 ndio kiwango chalaptop.
  13. C

    Nauza used laptop

    Nauza laptop used dell d610,d620 na hp kwa bei ya laki6-unaweza kuwasiliana nami kupitia abcally@gmail.com
  14. C

    TAIFA STARS Vs SUDAN-2nd Leg

    Naomba kikosi cha tanzania dhidi ya sudan
  15. C

    TAIFA STARS Vs SUDAN-2nd Leg

    Habari motomoto- tanzania 2 vs sudan 1- mtanange unaendelea (habari ndio hiyo)
Back
Top Bottom