Search results

  1. Bize Bize

    DOKEZO Hivi bodi ya benki ya NMB mpo?

    Mmmh makubwa haya!! Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Bize Bize

    Vituko vya Bibi Fisi: Mchawi aliyetikisa Kanda ya Ziwa

    Napakumbuka mahali hapo miaka ya 80s.. Nimemuona bibi fisi. Naukumbuka ile barabara ya lami, iliyochepuka kuipisha nyumba ya bibi fisi.... Tumepita mitaa hiyo sana tu tukitoka Igogo kwenda hospitali ya Bugando.... Nina hamu ya kupiga mitaa ile sijui ipoje baada ya kifo bi yule
  3. Bize Bize

    Vituko vya Bibi Fisi: Mchawi aliyetikisa Kanda ya Ziwa

    Miaka ya 80 hivi niliwahi mshuhudia bibi huyo!! Nyumba yake ilikuwa mitaa ya jirani na maghorofa ya madaktari nadhani wa Bugando. Ukitokea Igogo kwenda Bugando barabara ya lami inachepuka kupisha nyumba ya bibi fisi. Habari za bibi fisi za kweli kabisa!!!
  4. Bize Bize

    Tunakodisha trekta

    Samahani sana, hatufanyi biashara hii tena
  5. Bize Bize

    Nimeamua Kulima kwa mara ya Pili kilimo cha mahindi

    Mkuu salama!! Miye nipo Kimanzichana kijiji cha Mkwechembe ninamiliki heka 20 hivi. Hivi karibuni nimeagiza trekta Ford 7500 lipo nyumbani kwangu Kijichi Dar. Tangu umeandika ni muda na sasa nina imani una uzoefu wa kutosha kuhusu kilimona kazi za kulimia watu mashamba huko Kimanzichana na...
  6. Bize Bize

    Kilimo kwanza: Pata mkopo wa matractor na zana za kilimo kwa bei nzuri

    Mkuu nimevutika sana na tangazo lako!! Binafsi nilinunua trekta Feb 2015 na bahati mbaya hadi leo sijapata jembe wala trela. Kutokana na kukosa vifaa hivyo muhimu vya trekta nilifikia uamuzi wa kuliuza... Sasa ama niliuze kwa Tshs. 28m ama nikuoneni mnikopeshe zana za kazi niingie kibaruani!!
  7. Bize Bize

    Kwanini kesi za kazi zinachukua muda mrefu kumalizwa?

    Mkuu Lusinde naona ishu hii ni ya muda mrefu sana. Naomba feedback, umemalizana vipi na jamaa...., au bado mizengwe mizengwe!!
  8. Bize Bize

    Mwenye uzoefu na trekta ama kukodisha trekta

    Mkuu 25m ni tractor peke yake!!
  9. Bize Bize

    Mwenye uzoefu na trekta ama kukodisha trekta

    Mkuu natafuta 25m hapo.....
  10. Bize Bize

    Shamba linauzwa Kimanzichana

    Habari zenu jamvini!! Shamba linalokadiriwa kuwa na heka 20 lipo maeneo ya Kimanzichana wilaya ya Mkuranga mkoa wa Pwani. Shamba limepandwa nanasi na mipapai, lakini pia lina michungwa. Kumejengwa nyumba nzuri ya bati ya vyumba viwili, banda kubwa la kufugia kuku wa kienyeji, banda dogo la mbwa...
  11. Bize Bize

    Vijimisemo vya zamani

    Hah hahaha hhahh, nimechekaje na vijimisemo hivi!!
  12. Bize Bize

    Michango mifuko ya kijamii

    Mkuu nishawaona hawa jamaa wenye mpunga wangu! wao wananiambia kuna fomu atatoa mwajiri wangu. Sasa kama mwajiri anadai si yatakuwa yaleyale!! Nimefikiria nitulie hadi kesi ya msingi itakapokwisha mahakamani, ingawa inaniumiza sana hii kitu. Hawa jamaa wanaotunza mpunga wetu wangekuwa wanajua...
  13. Bize Bize

    Bank gani inatoa mkopo wa mashariti nafuu?

    Dah mkuu, hii ni hatari sana. Nashukuru nitafanyia kazi ushauri wako...
  14. Bize Bize

    Mwenye uzoefu na trekta ama kukodisha trekta

    Mkuu trekta yangu itakwenda popote ikapige kazi bora kama italipa. Vinginevyo nafikiria nikimpata mtu analihitaji basi anipokee kijiti....
  15. Bize Bize

    Kukodisha trekta

    Mkuu vipi, ushapata namna ya kukodisha matrekta. Nami nina trekta nimenunua feb mwaka huu ni Ford 7500 2WD. Kama ulipata sehemu ya kazi nijulishe mkuu, kwani naliangalia tu hapa home sijapata namna litarudisha hela yangu. Napatikana kwa whatsapp 0787519910. Tafadhali mkuu....
  16. Bize Bize

    Mwenye uzoefu na trekta ama kukodisha trekta

    Mkuu trekta inataka 25m......
  17. Bize Bize

    Mwenye uzoefu na trekta ama kukodisha trekta

    Kaka nasubiria madata yako tafadhali.....
  18. Bize Bize

    Mwenye uzoefu na trekta ama kukodisha trekta

    Kaka nasubiria madata tafadhali....
  19. Bize Bize

    Mwenye uzoefu na trekta ama kukodisha trekta

    Kaka nasubiria hayo madata!!
  20. Bize Bize

    Trekta Ford 7500 2WD linauzwa!!

    Used trekta toka Denmark linauzwa. Lipo kwenye hali nzuri hali nzuri halijafanya kazi hapa kwetu Tanzania. Kwa anayelihitaji aniwhatsapp kwa 0787519910 nimtumie picha.... Shukurani wadau!!
Back
Top Bottom