Search results

  1. K

    Mbowe 2013 Arusha Kama Marion Suge Knight 1996 Las Vegas

    Ushahidi upi manning?wameshoot ushahidi Kama send-off na kupost U-tube!! Hilo bomu unarekodi Kama Send-off unajua mchezo wote..alafu Kibaya kwa nini wajipe Haki kutoa roho za watanzania...hili hapana, angelipua club Billicanas arekodi bila watu..mpuuzi mkubwa
  2. K

    Mbowe 2013 Arusha Kama Marion Suge Knight 1996 Las Vegas

    Chadema kwa hili mnaenda kuzimu. BOKO HARAMU haina nafasi TZ
  3. K

    Mbowe 2013 Arusha Kama Marion Suge Knight 1996 Las Vegas

    Kweli Notradamme...hii ni Circus kaka, Hakuna Haki zaidi ya watu kutolewa kafara bila sababu..shame on them.
  4. K

    Mbowe 2013 Arusha Kama Marion Suge Knight 1996 Las Vegas

    Wamerekodi play by play..Hilo Bomb unarekodi bila kuogopa kufa...kweli, wewe ni mzima? Hata Kama sio hivi, hii Kitu Mbowe atueleza mazingira haya yana utata sana kudai anao ushahidi.. CDM, otherwise wana damu mikononi
  5. K

    Mbowe 2013 Arusha Kama Marion Suge Knight 1996 Las Vegas

    Hii style ni ya kihuni sana, chadema Kama ni kweli hawafai hata kidogo..Mbowe Hana umaarufu kiasi hicho Jamani..desperate!
  6. K

    Mbowe 2013 Arusha Kama Marion Suge Knight 1996 Las Vegas

    CCTV kashoot nani zaidi ya mhusika? Ni Kama Osama alipue alafu uchunguze mkanda wake ili ujifunze kipi?
  7. K

    Kikwete kabaki mwenyewe na Nchimbi, Mwandosya kumuunga mkono Wassira

    Well said..CDM hata wahumu JF wanamuogopa sana Wassira..wakisia tu, ni kutukana kwenda mbele.. CHADEMA Wassira atawaoa elfu mbili 15, msiogope Mkurya huyooooo.lol
  8. K

    Kikwete kabaki mwenyewe na Nchimbi, Mwandosya kumuunga mkono Wassira

    mhe.esther bumalaya karibu jf..wassira has done big things in bunda, hata ukisagwa vipi mama na ligi za mpira, wewe ni bakari tu unafanywa mapenzi na bakari mwenzio tofauti na maadili ya bunda. Eti unec wa wilaya zaidi kuliko unec taifa, ukilaza wako na kangi ndio unajionyesha dhairi ambapo...
  9. K

    Kikwete kabaki mwenyewe na Nchimbi, Mwandosya kumuunga mkono Wassira

    Uchaguzi wa Pesa Unafikia Mwisho..CCM ni Big Tent, Mgombea ambaye anakubalika na Makundi yote ni atateuliwa kupeperusha Bendera ya CCM. UMOJA NI USHINDI, WASSIRA CAN UNITE CCM..A UNITED CCM IS UNBEATABLE!!
  10. K

    Kikwete kabaki mwenyewe na Nchimbi, Mwandosya kumuunga mkono Wassira

    For him to be around that long in TZ political life, I say "yes" WASIRA FOR PRESIDENT. Tangu ameondoka Wizara ya Kilimo, ni njaa tu..Mvuto wa Agriculture is gone without Wassira...Vijijini Mzee anapendwa acha kabisa
  11. K

    Kikwete kabaki mwenyewe na Nchimbi, Mwandosya kumuunga mkono Wassira

    Stephen Masato Wasira ni Kada Msomi aliyehitimu shahada ya Uzamili ya Uchumi kutoka Chuo kikuu cha Kimarekani "American University" juzi tu mwaka 1993..Mzee Yuko Facebook & Twitani anabadilishana mawazo na vijana alafu ni mbaya katika jukwaa juzi tumemsikia akimwaga Nondoz mahafali ustawi wa...
  12. K

    Mgombea Urais CCM 2015: Vita kali yatabiriwa kati ya Wasira, Lowassa na Nchimbi

    kuchukua fomu atachukua na anaweza kupitishwa na hawa.......1. Nchimbi 2. Membe 3. Wassira, yeye Mama, 5. Asha Rose Migiro...mFUmo dume sasa
  13. K

    Mgombea Urais CCM 2015: Vita kali yatabiriwa kati ya Wasira, Lowassa na Nchimbi

    Kaka kweli wewe kama ni kijana una nguvu tafuta pesa tu..Ikulu awe nani wewe unaishi...Siri kali, Mungu atatupa Rais
  14. K

    Mgombea Urais CCM 2015: Vita kali yatabiriwa kati ya Wasira, Lowassa na Nchimbi

    by default hana uwezo? au by default ndio de facto nominee? sijakuelewa! default huwa ni sure thing...Lolote linawezekana TZ
  15. K

    Mgombea Urais CCM 2015: Vita kali yatabiriwa kati ya Wasira, Lowassa na Nchimbi

    no permanent friends in politics, only permanent interest...kikwete atampiga chini lowassa sababu lowassa ni mtu wa kisasi hawezi kuwa sure na leadership yake..kama sitta aliyopigwa mweleka uspika same for lowassa...no permanent friends in politics, urafiki wa mwaka 47 wa nchimbi na lowassa...jk...
  16. K

    Vigogo wapya wa urais 2015

    hoja za kigovi ndio zitafanya chadema ikose mvuto 2015..kilaza: Zuia kwa hoja sasa kiumbe cha gombe ndio nini?ataletwa huyo tuone atakavyo wakimbiza rwanda..mnapigwa mkubali sio kuvuruga amani, hacheki kama fastjet..kz kz
  17. K

    Vigogo wapya wa urais 2015

    Mkuu Tyson ana upepo..someni rai la jana title Kwanini Wasira, Wasira CCM?
  18. K

    Kwa timu hii ya rais na makamu wa rais, CCM tutashinda 2015

    Stephen wasira rais, makamu dr. Hussein mwinyi...chadema chali, utapenda hiyo kampeni dhidi ya dr. Slaa/arfi...umoja ni ushindi
Back
Top Bottom