Search results

  1. COTANGENT

    Nawakumbusha wanaJF, Russia alipeleka Jeshi kumlinda Nicolas Maduro ila Marekani kashindwa kumlinda Rais wa Ukraine

    Mzee baba Dunia haiko flat, ni spherical. Yani mfano wa Yai, ukilielewa hilo basi hutobisha kuwa Nchi zilizopo far East kama Russia zipo karibu sana na North America (USA) kuliko hata na Nchi zilizopo Middle East
  2. COTANGENT

    Rwanda: Hizi ndizo hatua zinazochukuliwa na serikali kukabiliana na janga la Corona

    Tanzania tumeambiwa Covid-19 ni kaugonjwa kadogo sana, hivyo tuchape kazi, ndege ziruke, mipaka iko wazi yani business as usual. Tahadhari yetu ni kunawa mikono na kuendelea kumuomba Mungu. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. COTANGENT

    Natafuta mwanaume H.I.V Positive mrejesho

    Hivi kwanini mnapenda kwenda kupima mkiwa na majibu yenu kichwani? Kwanini usihisi kile kipimo cha awali kilichokumbia you are +ve ndio kilikuwa kibovu. Hivi unajua hata hivyo vipimo vinacheki nini? It's simply antigens-antibody reaction and not the virus in specific. Huwa nawashauri watu...
  4. COTANGENT

    VVU na UKIMWI: Historia yeke, chanzo cha maambukizi, dalili, kinga na juhudi za kupambana na ugonjwa huu

    Virusi navyo vinakuwa vimeenda kufyonza mvinyo (vinapenda sana Balimi nasikia),,,,sasa vikizima huko obvious majibu yatakuwa negative...sasa ngoja vizinduke vikiwa na njaa na mlevi wewe hujavinywesha supu asubuhi...balaah lao lazima ukaadisie.
  5. COTANGENT

    Cheo cha Mkuu wa Wilaya kimepoteza thamani na heshima

    Wabongo tuna wivu, husda na roho za kwanini sana. Mdada wa watu ni msomi wa level ya Masters, uwezo wake wa kupambanua mambo umetukuka kuzidi wengi tu wanao-mdiss, ana exposure ya kutosha ya njee na ndani ya nchi. Kaeni kimya
  6. COTANGENT

    Serikali kuanza kusambaza dawa ya kuzuia Virusi Vya Ukimwi (HIV) aina ya Truvada

    Rolence, Mimi sio mtaalamu wa mambo ya Afya though huwa nafatilia sana mambo ya afya hususa afya ya mwanadamu... Ninachofahamu kuna ARV's za aina tofauti, pale ambapo dawa fulani imemkataa mtu basi wataalamu huweza kushauri mgonjwa abadilishiwe dawa. Matarajio kwa mgonjwa ambaye tayari yupo...
  7. COTANGENT

    Serikali kuanza kusambaza dawa ya kuzuia Virusi Vya Ukimwi (HIV) aina ya Truvada

    Fafanua zaidi Rolence kwamba ni wewe ndiye waliyekupima au jamaa yako? yupo HIV+ CD 4 level ipo 189 ila kipimo cha viral load kinasoma zero (0)???
  8. COTANGENT

    Serikali kuanza kusambaza dawa ya kuzuia Virusi Vya Ukimwi (HIV) aina ya Truvada

    Deception nilikutafuta kwenye uzi fulani bahati mbaya sana ulikuwa offline mda mrefu. Swali langu lipo kwenye science ya vipimo ya HIV/AIDS. Maelezo yako kwenye thread mbali mbali juu ya HIV/AIDS umesema hizi rapid tests zote SD Bioline, Unigold, Determinant plus confirmatory tests za ELISA na...
  9. COTANGENT

    Serikali kuanza kusambaza dawa ya kuzuia Virusi Vya Ukimwi (HIV) aina ya Truvada

    Kwanini habari nzinto kama hii itangazwe Mbeya tena na mwakilishi wa wizara ya Afya na mwakilishi wa UN. Hii ilipaswa itangazwe globally na WHO wenyewe na waziri husika wa wizara ya afya nchini aite press conference na kutangaza habari hii hadharani kabisa. kwanini waanze kuzisambza mkoa wa...
  10. COTANGENT

    Forex training regional tour - mkoa mmoja baada ya mwingine

    Kufungua demo account JP Market inachukua mda gani mpaka wao kukutumia zile log in details. Maana nimeji-register two times now ila sipati any feedback message kwa email box yangu. Msaada please
  11. COTANGENT

    Forex training regional tour - mkoa mmoja baada ya mwingine

    We welcome you and your team, lake zone kinda anxious to learn and start downloading those money
  12. COTANGENT

    Mrejesho kuhusu Forex Trading: One step at a time, Safari ndio imeanza rasmi

    Hahahah wa Mwanza sio wa mkoani? Subiri zamu itafika watakuja na huko nyanda za juu kusini. Endeleni kuji-mobilize mkifika at least 100 TMT team will come
  13. COTANGENT

    I would appreciate your advice on letting a guy know that I want to date him

    Don't ever make a first move to a man, let him does. Just keep on showing some cares to him, then atajiongeza
  14. COTANGENT

    Mrejesho kuhusu Forex Trading: One step at a time, Safari ndio imeanza rasmi

    Mwenye link ya telegram FX group please....
  15. COTANGENT

    Biashara ya nyama,samaki & kuku kwenye hotels na Supermarket

    Yap the business was very challenging on securing reliable markets, so I did it for about 1.5 yr then quit the business. My advice to you, don't rush onto it, first know who is going to be ur customer, supply good products, most importantly package them very well and neatly. Wish you all the best.
  16. COTANGENT

    Bringing FOREX from the world to Tanzania - The road to financial freedom

    Sio kwa waliokuwa eneo la tukio wala TMT management yenyewe, Polisi shida yao ilikuwa nn? Sent using Jamii Forums mobile app
  17. COTANGENT

    Bringing FOREX from the world to Tanzania - The road to financial freedom

    Bado sioni mrejesho wenye akili Sent using Jamii Forums mobile app
  18. COTANGENT

    Bringing FOREX from the world to Tanzania - The road to financial freedom

    Any update wakuu nn kinaendelea pande hizo!! Sababu ya hao askari kuja hapo ni nn? Kwani kuna mtu amekabwa jamani? Au na wao wamekuja kula pindi la FOREX?? Maana hii shule hata askari wetu wanaihitaji..maisha yao walio wengi mmmmhhh yanahuzunisha, ni vizuri nao wajifunze chanzo kingine cha...
  19. COTANGENT

    Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Nini tofauti ya Cent-demo account, ECN-demo account, Standard-demo account?? Nilikuwa nafungua demo na FXTM broker nikakuta hizo options zote Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom