Search results

  1. Kaka Kapo

    Unamshauri nini mnunuaji wa Toyota Verossa mwaka 2023

    Natamani nifahamu ni faida au changamoto zipi nitapata nikinunua Verossa kwa Sasa
  2. Kaka Kapo

    Unamshauri nini mnunuaji wa Toyota Verossa mwaka 2023

    Namaanisha kwa kipindi hiki nikinunua Verossa ni nzuri au nitafute gari jingine? Natamani kujua uzuri na ubaya wa Toyota Verossa..?
  3. Kaka Kapo

    Unamshauri nini mnunuaji wa Toyota Verossa mwaka 2023

    Unamshauri nini mnunuaji wa Toyota Verossa mwaka 2023. Je nini uzuri na ubaya wa Toyota Verrossa? Je waweza mshauri mtu anunue Toyota Verossa kipindi hiki? Maoni yenu tafadhali
  4. Kaka Kapo

    Pressure 123/81mmHg

    shukrani kiongozi
  5. Kaka Kapo

    Pressure 123/81mmHg

    Oh sawa asante mkuu..
  6. Kaka Kapo

    Pressure 123/81mmHg

    oh okay.. asante
  7. Kaka Kapo

    Pressure 123/81mmHg

    Nimepima kwa machine personal..
  8. Kaka Kapo

    Pressure 123/81mmHg

    Wadau wenye utaalam hii presha inamaanisha ipo kawaida au imezidi? N je nini kifanyike kuiweka sawa?
  9. Kaka Kapo

    Must see Movies

    tafuta Peppermint ya Jennifer Garner...
  10. Kaka Kapo

    Msaada wa kozi ya kusoma kwa matokeo haya

    Ardhi University wanadgree nyingi sana ambazo ni suitable kwa Graduates wa CBG.. Download Undergraduate Admission Guidebook ya 2023/2024 www.tcu.go.tz kuna programmes nyingi tu anaweza kusoma..
  11. Kaka Kapo

    Naomba ushauri kuhusu kozi nzuri ya kusoma

    Anza na je mdogo wako anataka awe nani? Then anzia hapo kutafuta degree programs zinaendana na wishes zake. Anataka kuwa mchumi ikishindikana awe mwalimu au awe muhasibu au awe banker. Baada ya hapo nnda www.tcu.go.tz download 2023/24 Undergraduate Admission Guidebook kisha tafuta vyuo...
  12. Kaka Kapo

    Series (Special thread)

    Na mbona is based in a true story
  13. Kaka Kapo

    Series (Special thread)

    Tafuta The Boondocks
  14. Kaka Kapo

    Series (Special thread)

    Narcos sijaiangalia itabidi niangalie.. Narcos na Queen of the South ipi kali?
  15. Kaka Kapo

    Series (Special thread)

    Ozarks, Weeds
  16. Kaka Kapo

    Series (Special thread)

    Umeangalia series nzima? Au umeangalia season moja? Breaking Bad zinafanana sana na Ozarks na nyingine inaitwa Weeds kiasi flani. Uzuri wa hizi series ni kuwa kadri zinavyosogea kwenye seasons ndivyo characters wanavyoshangaza mfano kwenye Breaking Bad Walter White alikuwa ni mwalimu ambae...
  17. Kaka Kapo

    Must see Movies

    Blood and Gold
  18. Kaka Kapo

    Series (Special thread)

    Mie nmependa ilivyoisha season 4 napredict vita Riq vs Cane, Tejada vs St. Patrick. Nahisi yule muscle man wa Noma atakuwa upande wa Tariq.
  19. Kaka Kapo

    Series (Special thread)

    They say this is a big rich town, i just come from the poorest part, Bright Light, City Life i gotto make it this where it goes down.....
Back
Top Bottom