Baada kufika hapa nimeacha kusoma bandiko lako, nikaanza kukuzarau nimekuona ni wale walioshikiwa akili, ni wale manyumbu wanaombishwa na kudemka midundo wasioijua. #Zitto ni next level ya wanasiasa wa upinzani, chadema Zitto amewazidi sana uelewa mnafuta njia zake mtake msitake.
Ripoti ya mkaguzi mkuu inasemaje kuhusu mahesabu ya chadema, imeonyesha upotevu wowote? Hao majua kali wanaweza semanlolote sio watu wa kuwaamini, hao ni malaya tu wakisiasa.
Ukinitumia msg asubuhi tegemea kupata jibu usiku au kesho, simu yangu ikilia msg hata siangalii najua hayo ni matangazo ya mitandao. Yaani sipendi jabisa kutuma msg. Huwa naonaga ni upuuzi tu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.