My plan ni kwamba kabla mwaka huu haujaisha nitaweka kambi kwa miezi kadhaa jimboni Busega kwa lengo la kueneza elimu ya URAIA na M4C. Nilimwamini sana Dr Kamani lakini nimebaini kwamba hataweza kuwakomboa wanabusega kwasababu mazingira aliyonayo ndani ya ccm hayam-support kuleta ukombozi wa kweli.
Mwanakijiji,
Nakubaliana na maelezo yako kwamba, kuiba kura ni kazi ngumu ikiwa tu mawakala watakuwa wazalendo wa kweli. Lakini naomba nikwambie kwamba uchakachuwaji wa kura za Rais ni rahisi sana kufanyika na hufanywa na wasimamizi wa majimbo. Na ndiyo sababu kubwa ya tume kuzuia kura za...
Mzee Mwnakijiji, tafadhali tuambie hayo mambo matatu au manne ambayo Chadema wanatakiwa kuyafanya ili ushindi uwe ni lazima! Fanya hivyo kwa ukombozi wa Taifa zima. Please!
Nakubaliana na mtoa mada kwamba Chadema kama wanataka ushindi ni lazima wajipange kulinda vituo vyote vya kupigia kura, hata vile ambavyo hawajasimamisha wagombea wa udiwani au ubunge. Ni lazima waandae timu ya walinzi wa kura kila kituo watakaofanya kazi ya ulinzi kwa muda wote na wasiondoke...
Kuna habari za kuaminika kwamba Josephine alilazimika kutengana na mzazi mwenzake kwa kile kinachosemekana kwamba ni tabia ya kinyama na kiuwaji ya huyo jamaa yake, kwamba amewahi kumkuta mara kadhaa akilazimisha kumwingilia kimwili (kumunajisi) mtoto wao mkubwa kwa kile alichoamini kwamba si...
A: Hii inatoka: Jakaya Kikwete - Wikipedia, the free encyclopedia
Jakaya Mrisho Kikwete (born October 7, 1950) is a Tanzanian politician, the fourth and current President of the United Republic of Tanzania. Kikwete was born in Msoga, Bagamoyo District, Tanganyika in present day Tanzania...
Sinyolita,
You can do it at any time on the 15th day! Remember, it needs a healthy man to score only a single goal to fertilize the eggy because we only need a single healthy sperm out of millions he can produce at once!
Doing it once on the 15th day will most likely give you a baby boy...
Namuunga mkono mzee Simba kwa hoja yake ya kuwataka waislamu wasiipigie kura ccm kwa sababu ninatamani sana kuiona ccm ikifa kifo cha mende!
Nawaomba viongozi wa dini za kikristo nao waanzishe hoja kama hiyo kwa waumini wao ya kutoipigia kura ccm 2010! Hapo ukombozi wa watz utakuwa...
For a woman with cycle length of 28 days, her fertile day is day14. Theoretically, a sperm can survive for about 3days waiting for an eggy, so in order to be more safe she can do it on any green day as shown below. She must not do it on the red and yellow days!
day1, day2, day3, day4, day5...
Pole sana Mzalendo Mwakyembe! Naamini Mwenyezi Mungu atakujalia afya njema ndani ya siku chache ili tuendelee kwa pamoja kuvipigana hivi vita vitakatifu dhidi ya mafisadi wa nchi yetu! AMEN!
Dawa ya vidonda vya tumbo ni mchanganyiko wa asali mbichi na juice ya alovera katika ratio ya 1:1. Tumia vijiko vya chakula viwili asubuhi, viwili mchana na viwili usiku kwa muda wa mwezi mmoja itakusaidia! Pia mwambie apunguze mawazo na ajitahidi kula ili tumbo lake liwe na digestable food...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.