Search results

  1. B

    Husband Material Anatafutwa

    Hello wana JF; Asanteni sana kwa comments zenu.Nilikuwa introduced hapa na rafiki yangu. Na akaniambia hapa kuna watu wenye mtizamo chanya na wanasaidiana sana.But this has proved wrong based on the hatred messages am receiving.Najua kwa wanaume wengi mlioko upande huu,maana yake...
  2. B

    Husband Material Anatafutwa

    Asante sana Yericko
  3. B

    Husband Material Anatafutwa

    Mimi ni mwanamke,hard working,independent,loving,caring.Nimeajiriwa.Dini yangu Mkristo.Situmii pombe wala sivuti sigara.Elimu yangu ni ya Chuo kikuu.Umri wangu ni Miaka 30.Pia nina mtoto mmoja.Sijawahi kuolewa.Makazi kwa sasa ni DSM. Mchumba ANAYETAFUTWA: Awe Mkristo,mwanaume...
  4. B

    Wanawake tumezidisha mechi za nje.

    hiyo hata mimi nilishashuhudia,ilikuwa noma bab kubwa!!!
  5. B

    Watoto wa rafiki wa mke wangu ni wangu, nawahitaji

    mmmmh!kwa hiyo na mama yao atakuwa mkeo wa pili?Naamanisha uta mhalalisha?
  6. B

    Wadau hebu saidieni hapa....

    A lawyer has a son.But the son's father is a security guard.Who is the Lawyer?
  7. B

    Dating is an option

    very informative article!Keep the good work.
  8. B

    Usiombe ukutane na Mwanamke wa UJIJI-Kigoma

    mmmmmh!kwa hiyo bado uko ujiji? Just curous!
  9. B

    Tukio la kutisha limetokea Lamadi, aliyekufa aonekana akiwa hai...

    Khaaa jamani watanzania tunaoelekea sasa?Loh!
  10. B

    Tatizo la Mabaka, Mba na Fungus (Fangasi) sugu na kuwashwa sehemu za siri kwa wanaume na wanawake- Fahamu chanzo, Dalili na Matibabu yake

    Nimetumia hii dawa kwa kweli ni dawa.Mara ya kwanza nilitaka kutapika,lakini sikutapika.Nina wiki sasa na mabadiliko nayaona,nilikuwa na tatizo la fungus miguuni,naona sasa wanakauka.Asante sana mkuu
  11. B

    Yaliyotokea jana usiku mabibo hostels yanasikitisha sana!

    I see! sasa huyo mkaka mpaka anapigiwa mwizi,ni kwamba alikuwa king'ang'anizi,binti akaona asiwe tabu!
  12. B

    Nina dollar 1000 kwa rafiki wa jamii forum for christmas

    Hebu pita tu mitaani hapa posta na uwape hawa omba omba kwani wengine wanaomba kwa kukosa mitaji.Utafanya la maana sana mkuu.
Back
Top Bottom