Search results

  1. N

    Kada Maarufu wa CHADEMA Mtaa wa Sahara, Jijini Mwanza Aapa Kufa na Wasaliti wa CHADEMA

    Sema kijana wa kichaga shirima .......ili watu wajue why
  2. N

    CCM wamejipanga kwenye mitandao ya kijamii

    Walizoea kujibizana wenyewe kwenye mitandao wakajua ccm hakuna vijana wa dot com........kumbe average ccm ni wengi Mara mbili ya wabeba mabox wa chadema ulaya sema wako reserved and composed
  3. N

    Viongozi wa CHADEMA 'wadanganya': Mh. Lissu atofautiana na 'uongozi' wa CHADEMA Singida.

    Chadema mmemkaimisha Lyimo singida ambaye kwa jina Hilo maana yake ni mchaga mwenzenu!!!!!!!!kweli home boy
  4. N

    Maandamano makubwa MWANDIGA kumpinga Dr.Slaa yafanyika mbele ya RPC

    Anapima rueful wa maji kwa mkono...hajui hata principle za conflicts resolution kuwa unangojea munkali upoe ndio angeenda kigoma....hapa mjue zitto bado hajaenda kuongea na wananchi wake
  5. N

    Matumizi ya kifisadi ya Dr. Slaa kwenye ziara ya mkoa wa Kigoma, Singida, Tabora na Shinyanga

    No no no CDMA ni wabadhirifu lakini hizi pesa ni ndogo sana kuziongelea kwa ziara ndefu kama hio ya kumchafua zitto
  6. N

    Fukuzafukuza ndani ya CHADEMA inasimamiwa na Mungu

    Hawezi kuwa Mungu naemuamini Mimi atakuwa ni miungu ya kichaga hio
  7. N

    CHADEMA, tunataka kujua fedha zetu za ruzuku zinavyotumika

    Sijaelewa jambo moja, zitto kakutwa na kosa akavuliwa uongozi sasa ni kosa lilelile lililopelekea avuliwe uongozi ndio linatakiwa sasa ajieleze kwa kuvuliwa uanachama au ni jipya...naona Kama adhabu mbili kwa kosa moja moja au kwa nini hawakumvua uanachama Kama walivyofanya kwa unaibu katibu...
  8. N

    Mipango hatari ya Mwigulu na Emmanuel Nchimbi dhidi ya CHADEMA,wahusika toeni ufafanuzi kuhusu hili

    Ni hatari sana sana kwa viongozi hasa wa kizazi kipya Kama saanane kutoa email na kusambaza kana kwamba ni za kweli. Siasa sio kudanganya ili kupata watu wa kukuunga mkono. Na wasomaji wanapaswa kuwa very critical na sio kuchukua kila ujinga unaosemwa na watu hapa. Ni jambo la ajabu sana eti...
  9. N

    Mtela Mwampamba,Habib Mchange na Nyakarungu waratibu mkutano wa waandishi wa Habari Serena Hotel

    Husiwe na shaka kabisa kwa Kuwa hizi ni email za kutengezeza mezani kwa saanane....ndio Kazi ya vIongozi wa chadema
  10. N

    Hili ni Darasa Huru kabisa kwa CHADEMA hasa kamati kuu

    Ni nzuri wakiendelea kupigana hivi....fukuzaneni sana ndio mafanikio
  11. N

    Polisi wa TZ wanasingizia makosa kulazimisha rushwa

    Kumbe wewe ni polisi basi si kosa lako kuandika ujinga hapa
  12. N

    Polisi wa TZ wanasingizia makosa kulazimisha rushwa

    Polisi hata baba yake mzazi anaweza mdai rushwa ni hatari kuliko ukoma lo
  13. N

    Polisi wa TZ wanasingizia makosa kulazimisha rushwa

    Hapana natii sheria lakini hio sehemu ambayo wanasema nilionekana ni kwamba hata sikufika huko..nimetoka dar nikageuzia sehemu ya kwa Mathias na wao wanadai kuniona miembe saba ambako sikufika
  14. N

    Polisi wa TZ wanasingizia makosa kulazimisha rushwa

    Leo mida ya saa kumi nimeenda kibaha kwa mathias. Nikiwa narudi maeneo ya kibaha stand nikasimamishwa na trafiki. Wakasema kosa langu niliovertake maeneo ya miembe saba nikasimamishwa nikakimbia. Nikamwambia nitakuwa sio mie labda mtu mwingine kwa kuwa mie nimeishia kwa mathias na miembe saba ni...
  15. N

    Mwanza: Wabunge wawili wa CHADEMA wapigwa mapanga na mmoja yupo hoi!

    Nimepokea kwa masikitiko makubwa haya yaliotokea...ni jambo ambalo linatia chagizo kwenye mbegu mbaya ya kuondoa umoja wa taifa letu.Tusaidiane watanzania wote kulaani jambo hili .....viongozi wetu pia mtusaidie kufata sheria za uchaguzi,kampeni za usiku mbona zimeshazuiwa wao usiku wanapita...
  16. N

    Nape Nnauye sasa atisha vyombo vya habari

    Hata kana tunachuki kubwa kiasi gani lakini tuwe na heshima walau kidogo kwa wazazi wetu na wawenzetu!!!kuanguka uchaguzi ni sehemu ya siasa!kuna rais wa marekani anaitwa lincorn if iam not misstaken alianguka mara kumi na nne chaguzi mbalimbali kabla ya kushinda nafasi ya urais.siasa usimdharau...
  17. N

    PhD mbili za Nchimbi Emmanuel ni halali? High level ya uchakachuaji Tanzania

    Duniani hakuna watu wabaya,watu ni wema na tupendane.
  18. N

    Mh Kikwete, Je Riz1 ni sehemu ya serikali unayoiongoza?

    Jamani ni uamuzi gani wa serikali kaufanya?unajua maamuzi ni lazima yawekwe kwenye files,securals na memo.....sasa wapi hayo yalifanyika na ilikuwa wizara gani na ulijuaje?tujibu kwanza.
Back
Top Bottom