Search results

  1. M

    RC anaposhangilia Lema kubwagwa mahakamani inamaanisha nini?

    Hizo semina zao ni kiini macho tu,kwani huyo Pinda yeye anashabikia chama gani?
  2. M

    Jeshi la polisi kanda maalumu ya Dar es Salaam lawashikilia Mkandarasi Mkuu na Mhandisi wa Wilaya

    Hebu jamani nikumbusheni kidogo, walipo fele wanafunzi kidato cha nne Kuna kiongozi yeyete wa elimu, kuanzia waziri mpaka mwalimu alikamatwa na polisi?, japo kwa mahojiano tu.
  3. M

    Ving'amuzi vya StarTimes ni takataka

    Mimi siku hizi nimeachana na mambo ya TV ni kuangalia Movie kwa kwenda mbele!
  4. M

    Tapeli linalozungumza lugha nyingi polisi wanahusika.

    Nakumbuka kuna wakati tulilazimishwa kusajili namba zetu za simu na vitisho juu!, tukaambiwa faida moja wapo ni ya kupambana na kadhia kama hizo lakini mpaka sasa sijelewa faida ya lile zoezi kwa sisi wananchi wa kawaida, vinginevyo tunaweza jenga imani wamba matapeli hao wana shirikiana na...
  5. M

    Tapeli linalozungumza lugha nyingi polisi wanahusika.

    Iliyobaki ni kuchukua Sheria mkononi tu, mabo ya Siasa tupa kule!
  6. M

    Inawezekana kweli Kikwete ni chaguo la Mungu

    Dege dege,Oooh sorry Kisukari bwana!
  7. M

    Jini wa daraja la Salendar

    Daraja la Salenda bridge!
  8. M

    Ni nini kinaendelea Manispaa ya Ilala, Imeisha uzwa?

    Jana majira ya mchana nilikuwa katika ofisi za manispaa ya Ilalahapo katika Sehemu ya kufanyia malipo, meya kijana alikuwa ameongozana na akina mama wawili staff wa benki NMB walikuwa ni kama wanafanya makabidhiano mbele ya waandishi wa habari ambao walikuwa wakipiga picha mfululizo kwakuwa...
  9. M

    SAKATA LA WALIOGANDA NA TEMEKE CHANZO CHA UVUMI NI Mchungaji John Mzule

    Bado hajajitokeza sangoma yeyote?, maana sanaa za namna hii mwisho wake utyakuta kumbe kuna sangoma anatengeneza promo!
  10. M

    Wenye majina ya watu walioweka fedha uswisi wawataje - Mkuchika!

    Huyo zito na Mkuchika wote lao moja!
  11. M

    Nini maudhui hasa ndani ya Lady Jaydee Diary?

    Yeye mwenyewe alisema anataka watu wamfahamu zaidi,hivyo endelea kukifuatiia kuangalia picha zake labda kuna kitu utajifunza toka kwake na kumuelewa zaidi.
  12. M

    Serikal yaongeza mishahara ghafla?

    Ahsante wana Jamii kwa kunipokea,PAMOJA!
Back
Top Bottom