Search results

  1. Passion Lady

    Nyumba huna, gari huna, mke huna, iphone huna tukuite jina gani!

    Tujifunze kumynd our own business.....kama mtu hana na anainjoi life lake inatosha...mnaoteseka ni nyie wafukunyuku
  2. Passion Lady

    Mzee wangu anapost sana memes mtandaoni!

    Chukua simu hiyo...[emoji23] soon atajipost tiktok...maana wazee wa siku hizi
  3. Passion Lady

    Maulidi kitenge: Wanawake wajipaka tumbaku sehemu za siri kupata msisimko wa mapenzi

    Mbona imekua ghafla sana...hii mbinu imegundulika lini tena jmn[emoji23]
  4. Passion Lady

    Barua kwa atakayekuja kuwa mke wangu

    Mke ana kazi ya ziada si kwa maswali hayo..lazima ajing'ate ulimi.....
  5. Passion Lady

    Selfika na JF: Snap it. Show it

    Sa. Mtume hizo selfie jmn..mbona sioni mafoto....[emoji23]
  6. Passion Lady

    Mwanaume ukifanya kazi hizi wanawake lazima wakupende

    Hapo kinapendwa kitu...sio wewe...real love haiangalii kazi wala kipato cha mtu...ovaaaa
  7. Passion Lady

    Bora upoteze hirizi kuliko kufiwa na mganga!

    Ora et la bora....[emoji1323]
  8. Passion Lady

    Masanja awachana 'live' wambea wa ndoa yake

    Ukiangalia anavyoongea...body language inakinzana na matamshi yake....he is burning inside.......enewei sio shida zetu...ni zao[emoji3]
  9. Passion Lady

    Mpeni hongera mjomba wenu, si haba

    Hongera mjomba....na mm mpwa nataka gari
  10. Passion Lady

    Mabinti wa kisasa hebu acheni uongo usio na maana

    We unatoka wapi na hao wadada??wanakudanganya kwa jinsi wanavyokuona....huenda na ww ni muongo muongo so wananata na biti lako...😀😀😀😀
  11. Passion Lady

    Dar na Dodoma: Wafanyabiashara walazimishwa kufunga maduka sababu ya msiba wa Hayati Magufuli

    Cku moja mauzo gani??akivunjwa miguu atauza nn??funika kombe mwanaharamu apite...tutii shetia bila shuruti...mtuwache tumzike jiwe wetu Watukane tena.... Mjinga ww unaeona unaweza pambana na serikali ....fwaak
  12. Passion Lady

    Dar na Dodoma: Wafanyabiashara walazimishwa kufunga maduka sababu ya msiba wa Hayati Magufuli

    Cku moja mauzo gani??akivunjwa miguu atauza nn??funika kombe mwanaharamu apite...tutii shetia bila shuruti...mtuwache tumzike jiwe wetu kwa,amani ebooo
  13. Passion Lady

    Mada yenye ukakasi: Wanawake wenye kinyama njia ya haja kubwa

    Kwani hcho c ni ugonjwa au? Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Passion Lady

    Mwanaume kumletea mke wa mtu zawadi baada ya kujifungua imekaaje wadau? Msaada wa Haraka Tafadhali!

    Hahaa....si.zawadi tu.kamletea mwanae au???kalaghabao Sent using Jamii Forums mobile app
  15. Passion Lady

    Demu ya Kenya vs demu ya Tanzania

    Usifananishe wadada wa kitz na vitu vya ajabu.....eboo Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom