Ukienda kwenye maduka ya spea za magari waambie wakuuzie ile dawa inayowekwa kwenye bolt nut iliyokataa kufunguka.
Ukiikosa hiyo nunua mafuta ya hydraulic nusu lita tu itakutosha kuloweka hivyo vifaa vyako then baada ya masaa 24 anza kuvisafisha.
Wrong conception,100% of men reported died in guest houses after having sexual intercourse,heart attack has been reported as a main cause to their death,and Viagra pills has always being attributed to their fate.
Unaweza kuwa na tatizo la kisaikolojia,kutazama tu mwanamke ayekata kiuno kwenye basi unadindisha,hauko normal wahi umuone daktari akuondolee tatizo hilo.
Hivyo hivyo unamaanisha pia mtu yeyote atakaye taka kuanzisha biashara yoyote kama vile duka,saluni au utalii,lazima mtu huyo awe na digrii ya biashara,angalia vizuri usije ukawa umeganda mawazo.
Kuna mwalimu fulani hivi wa injili nilisikiliza mahubiri yake miaka ya nyuma,aliwahi kuonya kuwa tuwe makini na midori pamoja na sanamu tunazonunua na kuziweka kama mapambo majumbani mwetu,alisema kuna zingine huwa zimebebeshwa roho fulani,alitoa mfano wa familia moja ilikuwa imenunua sanamu...
Simba ipo kwenye mpito(transition) baada ya kufanya vibaya mfululizo mpaka kufungwa na mtani wake goli nyingi,iliamua kubadilisha kocha wake ambaye inabidi apewe mda wa kuleta mabadiliko,mabadiliko hayaji kwa usiku mmoja.
Uandishi wako sijaona cha maana ulicho andika,ila nilichogundua ni kwamba,wewe ni mmoja kati ya wale watu wenye jazba dhidi ya Marekani,jazba ambayo haiwaingizii pato lolote,hebu nifafanulie unaposema china na urusi zimekuwa kisiki unamaanisha ni miti iliyokatwa au una maana nyingine?
Ilimuona akifanya ushoga,hizo tattoo alizichora akiwa tayari ameokoka au kabla hajaokoka? na je tattoo ikishachorwa huwa inafurika? Na kama wewe humkubali unaonaje ukikaa kimya uwaache wanapokubali waendelee kusikiliza mahubiri yake?
Mimi bwege kwani mimi ndiye nnaezioyesha? naona kiu yako ya matusi ipo juu hebu ongeza jingine ili uendelee kujidhihirisha kuwa wewe ni mtu wa namna gani.
Mgawanyiko wa kiimani miongoni mwao mataifa ya kiarabu,ndiyo udhaifu mkubwa unaopelekea Palestina ya Hamas iendelee kupigwa mfululizo na majeshi ya Israel.
Kwa mfano Saudi Arabia government ni washia hawawezi kuwasapoti Hamas kijeshi ambao ni Suni wanaosapotiwa na Iran Government ambayo ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.