Search results

  1. the challenger

    Makosa kwenye tangazo la pspf

    Yaani hayo makosa wao wanaona sawa 2 Hivi jamani uhalisia wa kazi hizi upo? maaana uwiano wa nafasi na waombaji balaa, post moja waombaji 2000 ha ha ha ha ha ha ha.......... ama kweli ajira Tanzania ni Kizungu mkuti
  2. the challenger

    Kibanda: Kinana ni Kimbunga

    Yaaan hawa wanaandaa njia ili wengine waje......usimwamushe aliye lala
  3. the challenger

    Mpenzi wangu hana hisia nami tena, roho inauma sana

    samaha kwa kuyatamka haya maneno........ that girl is very stupid ever, anadai hana hamu wala hisia juu yako halafu.... anafanya hayo? Sasa kaka, huu ni ushauri wangu wa mwisho....... make call divert for her numbers, make sure you set your phone to reject her call and sms all the time. Achana...
  4. the challenger

    Mpenzi wangu hana hisia nami tena, roho inauma sana

    Namna ya kumsahau: 1. kama umeajiriwa au unafanyakazi......... kuwa busy sana kupita maelezo.. hii itakusaidia kutokuwa na muda wa kufikiri mambo ya mapenzi 2. Soma sana vitabu vya kisaikolojia kuhusu mambo ya msongo(stress) an utatuzi wake.... hili pia lita kuweka bize sana 3. Fanya mazoezi ili...
  5. the challenger

    PICHA: Nyumba ya Mwalimu Shule ya Msingi Ipyana, Kyela

    kaka, mimi nadhani walimu hawana mshikamano na pia wanasalitiana wao kwa wao, mwishowe wanaumia wachache...... hapa chakufanya ni wao kuja na mbinu mpya.......yaani watuunge mkono ili katiba mpya iweze kutambua mchango wao na kuwalinda endapo mwajili wao anapokwenda kinyume.
  6. the challenger

    PICHA: Nyumba ya Mwalimu Shule ya Msingi Ipyana, Kyela

    ha ha ha ha....... maisha hayo siyo tu kwa walimu bali secta zote za serikali ukiachilia mashirika ya umma kama vile TRA.....
  7. the challenger

    MAONI: CCM imeingia vita vya anga bila ndege za kivita

    kazi kwao walioanzisha hiyo vita, tunachotaka mujue, sisi watanzania tumechoshwa na namna CCM wanavyoliendesha hili Taifa kama vile wanagawana maandazi juu ya rasilimali zetu............. kazi ni moja tu kuwaweka pembeni sasa..... Tunawaomba wajiandae kisaikolojia kukabidhi Nchi hii kwa watu...
  8. the challenger

    Mpenzi wangu hana hisia nami tena, roho inauma sana

    Kaka pole sana hayo ndiyo maisha, maana yake ni kwamba maisha ni sahani iliyojaa mseto wa mambo yasiyotambulika kwetu wanadamu. USHAURI WANGU: Kukubali tatizo ni nusu au robo tatu ya utatuzi wake. Pia kukana ukweli na ualisia wa jambo ni kujidanganya nafsi, na mwisho huwa majuto. Nakuomba...
  9. the challenger

    Zitto apendekeza mdahalo kati ya Kinana na Dk. Slaa

    Kwa kuongezea hapo kwenye hizo hoja hapo juu! mimi pia ninge penda moderator aweze kuwa full equiped na kila history ya kila mmoja wa hawa mabwana kwa maana ya mazungumzo yao mbalimbali na wananchi, performance history ya kazi zao huko nyuma, mchango wao katika jamii (positive and negative) na...
  10. the challenger

    Zitto apendekeza mdahalo kati ya Kinana na Dk. Slaa

    kweli kaka, maana siku hizi wameibuka, wakichaguliwa tu, wanaropoka mambo ambayo ni jukumu la serikali utazani wao viongozi wa serikali, mfano ktika gazeti la mwananchi la jana kuna kauli inasema nanukuu " Kinana atangaza vita na Viwanda vya korosho" mwisho wa nukuu. swali kama serikali kwa...
  11. the challenger

    Zitto apendekeza mdahalo kati ya Kinana na Dk. Slaa

    kaka naunga mkono hoja 100% lazma tuwe na utaratibu wa kupima uwezo wa kufikiri wa viongozi wetu, sio wana ropoka tu kwenye midia ovyo ovyo hebu tuige wengine wanafanya nini kuwapima viongozi wao mfano MAREKANI
Back
Top Bottom