Search results

  1. M

    Elections 2010 Mtikila: Watanzania tumuunge mkono Dk. Slaa

    Kama wanataka yatokee ya Kenya sawa, safari hii hatukubali ni bora baadhi yetu tutolewe kafara kuliko kuona madaraka yanachukuliwa kwa nguvu.
  2. M

    Ilani ya CHADEMA 2010-2015

    Mkuu nakubaliana nawe kuwa watu wana chuki, na hasira, mfano mdogo tu ni chaguzi za Busanda, Tarime, Kiteto na Biharamulo. Hata hao wa vijijini wamechoka na si lazima sana wasome hata wakiambiwa tu itatosha. Kwenye Biblia kuna mstari unaosema "Heri asomaye na kuyasikia maneno ya kitabu hiki"...
  3. M

    Kikwete mteue Rostam kuwa Waziri, Yes I dare you!

    Cool Girl, Inabidi uwe mvumilivu na jibu tu hoja. Kama unaona RA ni safi elezea tu usafi wake na kumchomoa katika kashfa ya Kagoda na zingine. Sioni mantiki ya kumshambulia MM kwa sababu tu ametoa maoni yake. JF ni mahali ambapo watu wanajieleza kwa uhuru. Sio suala tu la kumchukia RA, ni...
  4. M

    List of Rostam and Akram Aziz companies & Mohamed Enterprises

    Watanzania tusilale, ni wakati wa kuikomboa nchi yetu. Katika nchi nyingine mafisadi kama hawa hukamatwa na kupigwa risasi, kisha jumuia ya kimataifa itapiga kelele mwishowe itanyamaza na nchi kusalimika. Wametukamata vilivyo kwa kukamata watawala, lakini nao wanatakiwa kujua kuwa siku zao...
  5. M

    Hivi ni kina nani wakiguswa nchi haitatawalika?

    Bwana Gembe kuna orodha maarufu kwa jina la "List of shame", sina shaka unaifahamu, ni hapo tu pa luanzia, majina yapo fanya basi uwezalo.
  6. M

    Kwa kuwaita "Mafisadi" tumeficha uovu wao!

    Mimi naona hilo jina la fisadi ndilo lenyewe. Wadanganyika leo wameshaaminishwa kuwa fisadi ni mwizi na mhujumu wa uchumi, tusiwachanganye watu. Kama hiyo sio maana yake basi kwa jamii yetu sasa limebatizwa na kupewa maana tunayoijua sisi. Fisadi ni mtu mbaya sana, mwizi wa mali ya umma, mhujumu...
  7. M

    Lowassa kupigiwa saluti ni sawa?

    Na mimi nilibahatisha kuona hiyo habari, lakini lililonishangaza ni kuwa wakati habari ilimhusu Rais kutoa kamisheni kwa wahitimu wanajeshi, hakuonekana Rais akipigiwa saluti wala kukagua gwaride, mara picha inaonyeswa Lowasa akisalimiana na makamanda na kupigiwa saluti. Sasa nilitegemea...
  8. M

    Operation Sangara: Chadema yajipanga Upya

    Katika historia ya dunia kamwe ukombozi wa kweli hauletwi na watu wa vijijini, watu wa mijini ndiyo chachu ya mapinduzi yoyote yale. Na watu wa mijini wakianza automatically watu wa vijijini wanadakia. Mimi nasema wanaozuia mapinduzi ya nchi hii ni watu wa mijini kwa kuwa waoga wa kukabiliana na...
  9. M

    Tanzania: Adui yetu ni nani na tuna fursa gani za kumshinda? Tunamlenga au tunamkwepa?

    Wapendwa wakati wa maneno umekwisha, kazi ya kuing'oa ccm inatakiwa ianze sasa, tusingoje 2010, 2010 ni (Tusi)(Tusi)(Tusi)(Tusi)lizia tu kile kilichokwishaanza, hayo ndiyo mapinduzi ya kweli. Mtanzania popote pale ulipo bila woga pigania haki yako, waalimu, wanafunzi, wakulima tusikubali bla bla...
  10. M

    Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni; Bravo JK

    Kwangu mimi pesa sio jambo la msingi sana, kwani hizo zinatafutwa tu na Tanzania ilivyotajiri tunazo, na kwa kweli kama Mungu angetufunulia kujua ni mabilioni mangapi yameibiwa TZ tungusema na kuthibitisha kuwa EPA ni cha mtoto. Jambo la msingi ambalo watanzania wengi walilitegemea ni hatua za...
  11. M

    Yuko wapi Raila Odinga wa Tanzania?

    Nakubalina na wewe kabisa. Hii amani tunayodanganyiwa ndiyo inayotuponza na tunachezewa kama watoto wadogo. Tusipochagua kuingia mitaani na baadhi yetu kuwa tayari kutolewa kafara hatuendi popote na ni vyema tukakaa kimya tu na kwaacha mafisadi watese. Noamba wanaharakati waunganishe watu...
  12. M

    Why "Vita vya Ufisadi" failed and will never win election..

    Ndugu Watanzania wala tusijidanganye, mimi naona kungoja 2010 ni kujidanganya tu. Inabidi tuanze ku-create awareness kwa watatnzania hasa wa mijini, na njia pekee ni kuandaa maandamano ya kila wakati na migomo pale palipo na uonevu. Nimewapenda sana waalimu, wafanyakazi wa sekta ya umma. Migomo...
  13. M

    TFF hasara mil. 71/-

    Mnalipa gharama ya kuikosea Yanga. Lazima tukubali ukweli kuwa usipozitendea haki simba na yanga hapa nchini unaua kabisa morali ya soka. Mimi nahisi sababu mojawapo ya watu kutoingia mpirani kwa wingi sio jua isipokuwa wanazi wa Yanga wamesusa kuingia uwanjani, si kwa kupanga isipokuwa ile hamu...
  14. M

    Wana CCM wamshukia Dk. Slaa

    Laiti kama huyu jamaa angejua kuwa maana ya Raisi kusema hizo fedha za EPA ziende kwenye kilimo ni kurudisha hizo fedha kwa Kagoda Agriculture Ltd asingesema hayo aliyoyasema. Shame on you ccm members, yaani mnashiriki kuliangamiza taifa hili kwa eti kuandamana kuunga mkono hotuba ra msanii...
  15. M

    Rest In Peace Mwanawasa

    Nimethibitisha BBC
  16. M

    Rostam Aziz of New Habari Corporation: The facts

    Mzee Mushi hii PCCB scandle ni kali. Inaonekana kuwa hawa akina Rastam na "watanzania wenye asili ya asia" wana lao jambo. Lakini zaidi na kali ni hilo la kuuzwa mbuga zetu za Serengeti.
  17. M

    CHADEMA kwawaka Moto! Mbowe arudi Dar!

    Ningeelewa kama ungesema Mrema, Mbatia na Lipumba wajiuzulu. Hivi kweli tunaweza kusimama na kusema kuwa TLP ni tishio kwa serikali ya Tanzania? Jamani tuseme ukweli, kuna nguvu yoyote ndani ya NSSR Mageuzi leo? na kweli unaweza kusema kuwa CUF huku kwetu bara ina impact yoyote? Hawa...
  18. M

    Tuandamane mpaka ikulu tarehe 30 August 2008

    Watanzania wapo tayari na ugumu wa maisha umekwisha wafundisha. Shida kubwa ni viongozi wa kuipindua nchi, hao ndio wanakosekana. Unajua viongozi wetu wa upinzani wame-loose credibility kwa watu kutokana na malumbano yao yasiyoisha. Watanzania wako tayari kuingia barabarani lakini waanzie wapi...
  19. M

    Who could have analysed this?

    Huyu mwandishi kama si fisadi basi ni mwandani wa mafisadi. Soma alivyomwandika RA, huo kamwe hauwezi kuwa wasifa wake.
  20. M

    CCM yasambaza vipeperushi vya kifo

    Hizo ni harakati za mfa maji. Shututma za ufisadi zimewaelemea sasa ni lazima wale wote wanaong'ang'ania hoja hiyo ni lazima wamalizwe. Hiyo ndiyo sisiemu. Sasa ngoja uone wakimaliza Chadema watageukana wao kwa wao. Mama Kilango ukiona mwenzio ananyolewa wewe tia maji. Na akina Mwakyembe...
Back
Top Bottom