Search results

  1. THE BIG SHOW

    Askofu Gwajima alishamfuta Makonda kwenye medani za siasa na utawala, laana ile imezidi kumuandama

    Makafiri wengine kama Gwajima brains Zao zinafanya kazi, hiyo ya kufufua watu kwani hata we mwenyewe SI unajua tuh ni namna namna ya kuishi town hapa?
  2. THE BIG SHOW

    Nini kinaendelea ndani ya CCM? Nani ni tishio?

    https://youtu.be/OleVb8LOJ14?si=_io5j1AmWJ4SbD3x
  3. THE BIG SHOW

    Paul Makonda atishia kuwataja wanaolipa watu 'Kumtukana Rais Samia mitandaoni', wamo Mawaziri

    Hii ni tabia yake tokea enzi za mwendazake,how you do anything is how you do everything...
  4. THE BIG SHOW

    Paul Makonda atishia kuwataja wanaolipa watu 'Kumtukana Rais Samia mitandaoni', wamo Mawaziri

    Sure,hao watu wameanza hivi punde baada ya yeye kutolewa kwenye Uenezi? Bashite ni Cyprian Musiba Alie undergo Mutation...
  5. THE BIG SHOW

    Askofu Gwajima alishamfuta Makonda kwenye medani za siasa na utawala, laana ile imezidi kumuandama

    Yule hakuna nafasi anayoweza kuitumikia,hata ujumbe wa nyumba kumi kumi hawezi Bashite.
  6. THE BIG SHOW

    Rais Samia achana na Makonda, anaharibu taasisi ya Urais

    https://youtu.be/OleVb8LOJ14?si=_io5j1AmWJ4SbD3x
  7. THE BIG SHOW

    Waandishi wa Habari Dennis Msacky na Aboubakary Liongo walamba teuzi ndani ya CCM

    https://youtu.be/OleVb8LOJ14?si=_io5j1AmWJ4SbD3x
  8. THE BIG SHOW

    Askofu Gwajima alishamfuta Makonda kwenye medani za siasa na utawala, laana ile imezidi kumuandama

    Gwajima ni very intelligent,na amenyooka sana,hata Yale masuala. Sijui ya kuuziana mchanga na mafuta Hana Gwajima.
  9. THE BIG SHOW

    Askofu Gwajima alishamfuta Makonda kwenye medani za siasa na utawala, laana ile imezidi kumuandama

    Ila Kwa Makonda kuhusu suala.la kumfuta hakika kafanikiwa.
  10. THE BIG SHOW

    Alichokifanya leo Makonda ndo Jambo analoweza zaidi. Naionea huruma Tanzania

    https://youtu.be/OleVb8LOJ14?si=_io5j1AmWJ4SbD3x
  11. THE BIG SHOW

    Askofu Gwajima alishamfuta Makonda kwenye medani za siasa na utawala, laana ile imezidi kumuandama

    Katika sehemu ambayo Askofu Gwajima amenyooka basi ni laana yake kwa Bashite.
  12. THE BIG SHOW

    Askofu Gwajima alishamfuta Makonda kwenye medani za siasa na utawala, laana ile imezidi kumuandama

    Hapo alifeli,amefeli,na akiendelea nae atazidi kufeli Hilo halina ubishi,Liko wazi,may be aliona ampe second chance but habebeki...
  13. THE BIG SHOW

    Askofu Gwajima alishamfuta Makonda kwenye medani za siasa na utawala, laana ile imezidi kumuandama

    Ha ha 🤣😂, Bashite kachukua sindano ya sumu kaamua kujichoma yeye mwenyewe. Patamu hapooo.
  14. THE BIG SHOW

    Askofu Gwajima alishamfuta Makonda kwenye medani za siasa na utawala, laana ile imezidi kumuandama

    Friends and our Enemies... Nahapa ninamnukuu Askofu Gwajima. ''Siyo kwamba Makonda/Bashite hafai kwenye kila kitu la hasha, Makonda au Bashite ana vitu vizuri, ana ule uthubutu au udiriki ambao ni jambo zuri. Lakini hajawa mature enough kuweza kusimamia mambo ya utawala, kama Mkuu wa Mkoa...
  15. THE BIG SHOW

    Paul Makonda atishia kuwataja wanaolipa watu 'Kumtukana Rais Samia mitandaoni', wamo Mawaziri

    Seems kuondolewa kwenye Uenezi hajaridhika nako,analia na demotion aliyopewa,he's unfit even Kwa kuwa kiongozi wa nyumba kumi kumi sembuse ukuu wa MKOA?
  16. THE BIG SHOW

    Paul Makonda atishia kuwataja wanaolipa watu 'Kumtukana Rais Samia mitandaoni', wamo Mawaziri

    Bashite, mamlaka ya uteuzi itengue uteuzi wake haraka sana, kwenye kiapo wanakiri na kuahidi kutotoa Siri zozote wanazozijua HADHARANI Kwa maslahi ya TAIFA,au labda Kwa idhini ya Rais,Sasa either ana ruhusa ya Rais katika KUTAMKA huo upuuzi wake au kama Hana basi hiyo nafasi haimstahiki...
  17. THE BIG SHOW

    Paul Makonda atishia kuwataja wanaolipa watu 'Kumtukana Rais Samia mitandaoni', wamo Mawaziri

    Askofu Gwajima alishatoa laana Kwa Bashite since longtime ago,nashawishika kuamini kuwa ile laana ya Gwajima Bado imeshika hatamu,kila anapogusa Bashite panageuka uchuro kwake...
  18. THE BIG SHOW

    Paul Makonda atishia kuwataja wanaolipa watu 'Kumtukana Rais Samia mitandaoni', wamo Mawaziri

    HAKIKA,it's another version of Cyprian Musiba...looks like he has undergone mutation...
Back
Top Bottom