Search results

  1. Mujuni2

    Mbowe,Lissu , wammnyooshea mikono juu Zitto Kabwe

    Kwani Zito alijenga hoja au alikuwa anasoma kile kilichoandikwa na kamati nzima? Nadhani kamati ilikuwa na watu zaidi ya kumi kutoka CCM na vyama vingine vya upinzani.
  2. Mujuni2

    Watanzania waishio Marekani

    Waache waendelee kupiga boksi na Nursing Homes
  3. Mujuni2

    ITV muda asubuhi hii kuna mtu anaongea pumba kuhusu rasimu.

    Labda utakuwa umeamka na hangover .....lakini jamaa anaongea vzr tu
  4. Mujuni2

    Ada OUT inatisha!

    Tembelea website yao kila kitu kinajieleza www.out.ac.tz
  5. Mujuni2

    Magufuli hajasema kweli; Anaficha Udhaifu wa Serikali na Wizara yake

    wewe ndiye usiyejua kabisa nini maana ya uwakilishi kama ni hivyo tusingekuwa na wabunge zaidi ya mmoja dsm, kama definition yako ya mbunge ndio hiyo. Wanapokuja kwenye kampeni zao hayo ndio mambo wanayoahidi, hivi unafikiri jimbo la ubungo litampima mh.mnyka kwa mafanikio ya kutetea watu wa...
  6. Mujuni2

    Magufuli hajasema kweli; Anaficha Udhaifu wa Serikali na Wizara yake

    Pamoja na kutoa majibu kwa Mhe.Magufuli, kama haya yote hasa la barabara yangekuwa yameripotiwa kwa wapiga kura wako, leo usingekuwa na haja ya kujieleza hivyo. Tatizo wabunge wa DSM mmeanza kuwa wabunge wa matukio, au wa kujibu mapigo.Sisi wananchi wako tunateseka sana barabara mbovu zisizo na...
  7. Mujuni2

    Aliyemtisha Rais Kikwete....

    Hiyo picha ya kwanza nani huyo?
  8. Mujuni2

    Waziri Sitta amlipua Lowassa Bungeni

    huyu babu anangilia ugomvi wa Medmedev na Putin, ila anapenda sana ukubwa huyu Six, akipata upenyo lazima awike. Sie yetu macho
  9. Mujuni2

    East African Countries' Budgets

    Jamani Kwa taatifa tu, ile ya Kenya sio bajeti, ni summary tu, Kenyatta hakuruhusiwa na Spika,kusoma bajeti kamili shauri hakufuata taratibu za katiba mpya. Na ilibidi asome summary for consistency of budget date with other EAC countries. Hivyo budget kamili inaweza kuwa na ukubwa mara mbili ya...
  10. Mujuni2

    TAMKO la UVCCM Arusha 25/5/2011 SOMA UJIONEE!

    Kama wao wanatumiwa na mapacha watatu...na nyie mnatumiwa na nani? kweli mfa maji haachi..............pa! cheap and insane politics. Wote nyie lenu moja period!
  11. Mujuni2

    Hali ni mbaya Tarime: Polisi watembeza Mabomu usiku huu; Kina Lissu wakamatwa

    Yaani wewe umevuta bangi gani?au hukuzaliwa na mwanamke?
  12. Mujuni2

    Tanzania Daima: Kama CHADEMA ni Wachagga, CCM ya Waislamu?

    Acha kugopa kivuli chako wewe, umeshaanza kuhama magazeti, mwishowe utakimbia nchi, kama haujakimbia bado! Gonga hapo chini upate uhodo: Kama CHADEMA ni Wachagga, CCM ya Waislamu?
  13. Mujuni2

    Nape ni mwanzilishi wa CCJ

    ukishazoea kutawaliwa akili, itakuwia vigumu sana kukubali ideas mbadala, nani asiyejua kuwa wanachofanya CCM, kinasemwa kwanza na CDM halafu wao wanakurupuka na kutekeleza, mifano; Katiba, Kupinga ufisadi (filosofia ya Magamba) na mengineyo mengi, amkeni wakuu kwenye usingizi wa pono wa miaka 50.
  14. Mujuni2

    Nape atasafisha chama alichokuwa anakichafua?

    Hivi CCM si wana vikao vyao? kwanini wasitimuane mpaka watafute huruma ya wananchi? Hii inamaanisha Mwenyekiti ni dhaifu au hana nia thabiti. Sioni impact ya Nape, sanasana anatumiwa na JK ili asilaumiwe ionekane ni matakwa ya wengi. Hivi watu watatu tuu ndio wanakisumbua chama chenye mamilioni...
  15. Mujuni2

    Prison break vs. 24

    ni stori na mwalimu wa chemistry na mwanafunzi wake waliamua kuingia kwenye baishara ya unga,ni seriel nzuri sana na more realistic than 24hrs and PB.
  16. Mujuni2

    Prison break vs. 24

    Wadau kuna kitu kingine kinaitwa "Breaking Bad" ni kikali pia ndio gumzo, inaenda season ya nne, this July 2011.
  17. Mujuni2

    Nani anatudharau sana waafrica kati ya hawa 3?

    Ni kweli wachina, wazungu na wengineo wanatudharau waafrika lkn wkt mwingine sisi wenyewe tunajiweka kwenye hali hiyo, mfano; Nenda Guangzhou, China uone wanigeria wanavyobehave? utawalaumu wachina kweli?.....mifano ipo mingi tuuu
  18. Mujuni2

    Wassira, Tendwa waipiga mkwara Chadema - Chatishiwa kufutwa

    wamuulize huyo JK wao ambaye mpaka sasa kashidwa kulipa mishahara ya watumishi wa serikali? ANAONEWA KWELI AU NDIO CHADEMA?
  19. Mujuni2

    Kwa hili tuwaunge mkono ndugu zetu waislam! Hapa wapo sahihi kabisa!!

    shida sio mavazi ila ni imani yako ndio imetetereka, kwani nani kakwambia fahari ya macho inafilisi duka?
Back
Top Bottom