Search results

  1. chebi

    Ijue Comoro: Fursa za Biashara na Changamoto Zake

    wee umepita tu haujakaa wenye kukaa ndio sie tuliopo na mpaka watoto tumezaa acha kudanganya watu eti wacomoro wanakula bila kunawa , hilo ni suala la mtu binafsi kama uliona mtu kafanya hivyo hilo ni suala lake binafsi inamaana tukisema watanzania wote malaya wee utaridhika kwasababu tu...
  2. chebi

    Ijue Comoro: Fursa za Biashara na Changamoto Zake

    Nilichelewa kuona hii post umeongea mambo mengi ambayo umetukashif sisi wakomoro na inaonyesha huijui comoro tafadhali rekabisha post yako halafu tuje kukusaidia maana naona umeropokwa mambo mengi umeiponda comoro na ukaipônda zanzibar inaonekana una ubaguzi wa visiwa sisi ndio tunaokaa...
  3. chebi

    FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

    Neymar Agrees to Stay at Paris Saint-Germain After Barcelona Fail to Agree Deal to Sign Forward Neymar's dream return to the Camp Nou appears to be dead, as talks between Paris Saint-Germain and Barcelona have broken down, putting an end to any opportunity of a move away from France for the...
  4. chebi

    FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

    psg wanataka 130m euro + rakitic + osmane debele + tolibo sasa huu nitawaona barca wajinga sana wachezaji 3 na hio hela kwa neyma mmoja yanini kun'gan'gania wakati grizou na king messi wapo rafihna pia yuko poa
  5. chebi

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Liver moto
  6. chebi

    FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

    dili la neymar ni ngumu japo kua yee mwenyewe chaguo lake kubwa ni kurudu barcelona laikini ngoma ngumu mwarabu hatomuacha tu aende hivi hivi lazima hela yake irudishwe na kwa timu ya barcelona hakuna uwendazimu wa kutoa euro 220mil kwa wingi 100mil na + wachezaji 2 na mwarabu hayupo tayari...
  7. chebi

    FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

    Welcome grizou
  8. chebi

    FURSA nchini COMORO: Mfanya biashara, soma hapa

    Wakomoro wote ni waislam kanisa lipo moja lilijengwa na wakoloni wafaransa wanaoabudia ni wageni tu mkubwa wa kanisa la comores ni raia wa Tanzania ambaye ni dokta wa hospital ya msaada wa kanisa anaitwa dr philipo raia wa tz huyo comores ni waislam ila tu wana mila na tamaduni zao na uzungu...
  9. chebi

    FURSA nchini COMORO: Mfanya biashara, soma hapa

    Meli itakuchukua siku 3 kufika moroni Ndege masaa 2 tu nauli ni 320euro + 60 euro ya visa na tax to capital city moroni itakubidi uchukue taxi ya peke yako kwa vile huna mwenyeji ni euro 10 taxi ya kushare ni euro 1 from airport to moroni capital city. Hotel euro 20 par day hizo gharama ni...
  10. chebi

    FURSA nchini COMORO: Mfanya biashara, soma hapa

    Kabla hujaenda ulizia meli inaondoka mda gani dar to comores pakia mzigo mdogo ktk meli kabla siku 2 kuondoka kwa meli Kata tiket ya ndege ondoka kabla meli kufika comores ukaisubiri meli kule ikifika tu uwepo ili utoe mzigo wako ukijisahau mzigo wako utaibiwa huko huko bandarini au . Kwa safar...
  11. chebi

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Hongera majogoo your will never walk alone
  12. chebi

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Wala siongei unafik mie nataka leo spurs awaue nyingi
  13. chebi

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Majogoo hii mechi leo fanyeni mshinde ila mkifungwa mpira mtauona shubiri sisi Barcelona tuna hasira tukishirikiana na ma fans wa manyumbu united mtakoma.
  14. chebi

    Ulimwengu wa FTA Satellite TVs

    Kwa mfano watu waliopo tz wanaweza kupata sat za Europe kama astra na eutusalat
  15. chebi

    Ulimwengu wa FTA Satellite TVs

    Mii nauliza upatikanaji wa satellite za mbali inategemea na ukubwa wa dish
  16. chebi

    FURSA nchini COMORO: Mfanya biashara, soma hapa

    Zipo kama club des amis kule zilmadjou na Rose noir disco teque wee hujaonana na wenyeji tatizo
  17. chebi

    FURSA nchini COMORO: Mfanya biashara, soma hapa

    Kama ni mlaji wa pweza utafaidi maana wao hawali pweza ila utajipikia mwenyeo Wanapenda sana mziki mchukue kiba au blue au mbosso au chibu au mr Nice utapiga hela sana [emoji38][emoji38][emoji38]
  18. chebi

    FURSA nchini COMORO: Mfanya biashara, soma hapa

    Tatizo la comores Restaurent (migahawa) hutopata vyakula kama vile Tanzania kariakoo Vyakula vingi ni vitu vikavu muhogo wa kuchoma, ndizi za kukaanga, mashelisheli ya kukaanga na kuchoma. Mapapatiko ya kuku, mishikaki . nyama wenyewe inatoka brazil ishakaa mda sana kwenye friza Ila kuna...
  19. chebi

    FURSA nchini COMORO: Mfanya biashara, soma hapa

    comores ni sehemu nzuri ya biashara ila uwe tu muangalifu hata uwe na mamillion ya hela utatembea wakati unaotaka hakuna uhalifu usumbufu uliopo ni utoaji wa mzigo bandarini proses ni nyingi ila kuna watu wanaweza kukusaidia
  20. chebi

    FURSA nchini COMORO: Mfanya biashara, soma hapa

    uongo wakomoro hawaoi wake wengi tatizo zinaa ni nyingi
Back
Top Bottom