Search results

  1. Kitoabu

    NBC PL 2024: Updates Yanga vs Azam 17/ March 2024 Mkapa Stadium

    Leo Guede anatupia goli mbili peke yake. Yanga 2-0 Lambalamba. Mganga nisie na kilinge.
  2. Kitoabu

    NBC PL 2024: Updates Yanga vs Azam 17/ March 2024 Mkapa Stadium

    Huyo jamaa yako hata mimi huwa namuona kama kapagawa!! Mara kaacha kushabikia Simba na Yanga, mara JF imeshuka hadhi, kiufupi jamaa hawezi kusimamia anacho kiamini. Ningemuelewa kama angeacha kuchangia jukwaa la michezo, majukwaa mbona yapo mengi humu!!..
  3. Kitoabu

    NBC PL 2024: Updates Yanga vs Azam 17/ March 2024 Mkapa Stadium

    Mwisho wa show utakimbia ni kichupi chako mkononi.
  4. Kitoabu

    Ombi la Haraka la Uchunguzi wa Ushindani wa Haki katika Ligi Kuu ya NBC

    Tengenezeni timu yenu, acheni kulia nyau kila kukicha.
  5. Kitoabu

    FT: Simba SC 2-0 Mashujaa FC | NBC Premier League | Azam Complex | 15.03.2024

    Msimamo wa ligi unaonyesha wote (Yanga vs Simba) wamesha cheza michezo 19, hicho kiporo labda cha ugali wa mihogo na kisanvu.
  6. Kitoabu

    Ni rasmi mechi za Yanga na Simba first leg kuchezwa usiku

    Kwahiyo bando umemnunulia wewe, sio? Alafu si lazima mtu aajiliwe ndio awe na pesa, wengine ni wakulima na wengine wanamiliki makampuni yao wenyewe, au unadhani Bakhresa anaajira?
  7. Kitoabu

    FT: Simba SC 2-0 Mashujaa FC | NBC Premier League | Azam Complex | 15.03.2024

    Lolote baya liwakute kolokwinyo.
  8. Kitoabu

    Simba walitaka kumsajii Pacome ila waliogopa Chama atanuna

    Sasa unachangia ili iweje? Me naona we ndio huna akili kabisa.
  9. Kitoabu

    UEFA Champions League: Droo ya Robo & Nusu Fainal Ijumaa Saa 9:00 Alasiri

    Tangu chama langu la Manchester united ipoteane nimekua sio mfuatiliaji wa michuano hiyo. Ila kwahapo nawaombea mabaya Arsenal wakutane na kitu kizito.
  10. Kitoabu

    Polisi waokoa watoto 251 na kukuta miili 16 iliyozikwa kwa siri katika dhehebu tata Zimbabwe

    Mbona papa karuhusu wakristo wavubuane mitaro na hamlalamiki kua Roma nayao ifungiwe? Ukristo sio dini ya kweli, ni upuuzi tu.
  11. Kitoabu

    Polisi waokoa watoto 251 na kukuta miili 16 iliyozikwa kwa siri katika dhehebu tata Zimbabwe

    Unatakiwa uwe mpuuzi ndio uamini kua Yesu ni mungu. Pia unatakiwa uwe chizi ndio uwe mfuasi wa dini ya kikristo. Kibwetere aliwachoma wapuuzi kibao kule uganda. Kuna mwamba hapo Kenya amesababisha vifo vya machizi kibao na mpaka leo kesi ipo mahakamani. Hapo juzi tu, Papa anawataka wendawazimu...
  12. Kitoabu

    Korea Kaskazini yawataka raia wake wafuge mbwa kwa ajili ya nyama

    Acha upuuzi we kobe. Babu yangu anaumri wa miaka 90+ na hajawahi kula mbwa. Kama kula mbwa kunamuongezea umri wa kuishi mlaji, basi wahehe wasingekua wanakufa wakiwa vijana. Nb. Hiyo habari ni chai tu.
  13. Kitoabu

    Mamelodi Sundowns |SPECIAL Thread|

    Vaa jersy ya njano ya Yanga ina fanana tu na ya Mamenlody.
  14. Kitoabu

    BENCHIKA Atoweka nchini

    Nyimbo ya bell9 hiho.
  15. Kitoabu

    FT: Yanga SC 1-0 Geita Gold FC | NBC Premier League | Azam Complex | 14.03.2024

    Naziona bao tano zingine leo.
  16. Kitoabu

    Serikali yawaonya mashabiki wa Simba na Yanga kupokea Wageni

    Tunakugonga bonge la konzi la utossss.
  17. Kitoabu

    Tunaomba mechi ya Young Africans na Mamelodi Sundowns ipewe hamasa ya Gamondi Day

    Wewe kwa upande wako umechukua hatua gani kuhakikisha hao walio iba hiyo mihela wanafika kwenye vyombo vya sheria? Watanzani tulio wengi tumechoshwa na siasa za maigizo ziliopo nchini kwetu, ndio maana tumehamishia mapenzi yetu kwenye soccer, hayo mengine tumewaachieni wenyewe wanasiasa...
  18. Kitoabu

    Mamelodi waahidi Kuishushia Yanga kipigo Kizito ili kujikusanyia point wafuzu klabu bingwa dunia

    Mukiitwa mbumbumbu munaanza kulia lia. Habari haina chanzo wala nini. Yani umetoka kukata gogo huko, hata hauja chamba, umekimbilia kupost. Hii inchi kuna watu hata ukiwaita machizi bado unawasifia tu.
  19. Kitoabu

    Mambo niliyoyaona leo Simba vs Singida

    Mbumbumbu bila ya kuitaja Yanga, nafsi hairidhiki.
  20. Kitoabu

    Mashabiki wa Mamelod Sundows tujuane

    Class mate kwenye ubora wako.
Back
Top Bottom