Search results

  1. I

    Naogopa

    Mwaka ule nitakaopata MENOPAUSE.......wewe mtu,akipredict death yako hutaogopa????au ukipata terminal cancer na labda utakufa within a year HUTAHOFIA????....mwenzenu naogopa,maana ndio mwanzo wa kuishi kwa wasiwasi labda mwenzio anatafuta SUBSTUTE...kwa vile HU-PROVIDE anymore... Hivi hamna...
  2. I

    Hivi haiwezekani?

    Kukaa kipindi fulani bila kufanya ngono? Mfano mimi familia yangu, baada ya mama kuja ughaibuni baba akavuta mke wazee wakadai ni makosa yake mama, baba asingeweza kukaa peke yake na nimeshuhudia dada mmoja akipewa mimba na mchepuko wake, baada ya mumewe kusafiri mkoani kikazi, swali langu...
  3. I

    Wasichana huwa tunaoverlook

    Tukikutana na wanaume huwa often tunaangalia pochi, kazi, sura ya kiume nk, tunasahau kabisa kigezo cha uzuri/Uhandsome matokeo yake ni kuzaa watoto wenye features/wasifu wenye mushkeli kidogo and as a result wanaishia kuwa bullied na kuwaondolea kujiamini. Wasichana tuna haki ya kuchagua watu...
  4. I

    Kwa wakina kaka tu

    Baada ya kukaa Jamiiforums muda fulani, nimeshuhudia wadada wale wanaokaribia 30 ama wako above 30, wanaotafuta wenza wakidhihakiwa, leo nawauliza ina maana nyie mliooana mapema(mid20's) ndoa zenu ndizo zenye furaha? Mdada aliyegonga 30, hawezi kuwa mke mwema/mama mzuri wa familia? Ama its...
  5. I

    Ni kweli hatujui?

    Juzi kati nimeanza kuchati na mwanaume huku Jamiiforums ana maneno matamu naye amesema amevutiwa na posti zangu. Kwa kweli tukichati ananipa furaha mpaka najutia kuwa na huyu. I am soo carried away, mpaka juzi huyu wangu kaniuliza"baby mbona uko sana busy na simu? Swali langu ni hili...
  6. I

    Ladies only

    Ukigundua mume wako anachepuka,utatulia tu ukizingatia watoto wanahitaji mapenzi ya baba na mama au utampa kisogo akwendea anapokwenda?
  7. I

    jamani....

    nisaidieni kitu kimoja..... limenijia tu hili wazo ghafla tu kichwani.... nataka kununua machine kubwa ya kukata viazi na kutengeneza chips, then,nisambaza kny ma-bar ready kukaanga...sehemu km sinza si nitapata wateja is this real bussiness ama wishful thinking...nisaidieni...:rain:
  8. I

    Nahisi umri wa wana MMU ni kuanzia miaka 21-28

    Hili jukwaaa MMU wazee ni wachache sana,wengi wana miaka 21 hadi 28. Hili kundi ni 'freshers' ndio wamemaliza shule na kuanza kujitegemea. kimahusiano pia hawajakomaa kutoka kuwa na viboyfriend/vigerlfriend ndio wanafikiria kusettle. kwa hio tunaoomba ushauri kuhusu ndoa tunakosea , Hawa...
  9. I

    watalaam wa kuhack....

    kuna mtu anaweza kujua mahali ulipo na unafanya nini kny computer yako???? utajuaje km yupo, sina amani na laptop yangu lol:mod:
  10. I

    never under estimate...the power of women.......

    ............mwanamke (hawa) alimshauri/alimfanya adam avunje agano na mungu kwa kula tunda la mti wa kati....................... .............delila wa kny bible alimshuri samson anyoe nywele zake na nguvu zake kuisha hapo hapo................... ............wakaka mnatupa mbegu zenu...
  11. I

    wengi tunasahau......

    tukifika... .tunashikana,vuana nguo tunanyonyana tuna'tumbukizana wengi tunasahau kuwa kujikinga ni hatua ya pili,tunavalishana condom baada ya kunyonyana weee na kuambukizana magonjwa,tubadilike AIDS is real:mod:
  12. I

    Nguzo....................

    zote za ndoa,for marriage to work...there should be: .communication between you two................,mume asiwe mkali mpk inakuwa ngumu kumwambia au kumshauri lolote,,,,hashauriki au ana dharau.............na mke kuwa na gubu hilo kisa kanywimwa hela ya saloon :becky: ,haambiliki wala...
  13. I

    ladies......lets FAKE....

    habari zenu wapendwa, leo nimekaa na kufiikiria kwa nini kunakuwa na nyumba ndogo,kuna nini huko kinachotuzidi?? jibu nikapata wao ni wanawake km sie wanajua kucheza na jiografia ya MWANAUME................lets break it....mwanaume umpikie umfulie umpe papuchi non stop HAKUACHI ng'o...
  14. I

    wapendwa mnisaidie hill.....

    wapendwa salaam, nataka nifungue ka boutique ka dogo hapo dar niuze vipodozi kutoka uk,swali langu ni hili kuna kodi yeyote mzigo ukishafika bandarini???nitumie njia gani ?zaidi ya kusubiri contena lijae???kipimo ni contena peke yake???nikituma maboksi km DHL is it cheaper???? asanteni
  15. I

    biashara ya ujenzi wa nyumba na visima...

    nini kinahitajika,na mtaji ni shilingi ngapi?:A S tongue:
  16. I

    kabila gani?

    habarini wapendwa..... leo ningependa kujua WANAUME wa kabila gani wanajua mambo kunako 6*6,......na wanaume wa kabila gani HAWAJUI/WABOVU kitandani....................manake kwa wanawake ,wanawake wa kitanga wanajulikana kwa mahaba na wachaga ni wabovu,haya tupeni upande wa pili akina adamu...
  17. I

    Likes zinazo nifurahisha JF

    Nikipata likes kutoka kwa The Boss' naskia raha sana maana humu ni km mpira kuna man of the match,huyu kaka mada zake zimetulia ,pia yupo majukwaa yote na kote analenga mule mule.. Nikipata likes kutoka kwa Mentor nafurahiii maana yuko single na hajawahi kuficha marital status yake kuwa yupo...
  18. I

    msaada please...

    habari zenu leo nina swali kwa nyie wasomi,mie shule niilikiimbia.....ni hivi how do you determine the price of something?? ?and how do you know umemake profit i mean how to maximize your profit????.....nisaidieni please mama yangu analima mihogo kisarawe na nahisi msimamizi anampa figure za...
  19. I

    msaada please...

    habari nimeanza kazi tempo ya miaka 3,ninaweza kusave laki tano kwa mwezi meaning kwa mwaka milioni 6 na ndani ya miaka mitatu nitakayofanya kazi nitakuwa nimesave milioni 18,swali langu linakuja hapa,je hii pesa inatosha kujenga nyumba? wakuu mlifanyaje kujenga nyumba zenu???nisubiri nisave...
  20. I

    ili kuwasaidia waishio nje ya nchi na mikoani....

    wadau nimefanya karesearch kadogo kuhusu bei za nyumba(jamiiforums,zoomtanzania,inauzwa)kusema kweli bei ni za juu kwa makusudi...tuwe na chombo cha kuregulate hizi bei. kwa kweli......,madalali ndio wabaya wakikuona sehemu huijui hapo juu unatokea hizo sehemu ndio kabisaa wanakupachikia...
Back
Top Bottom