Search results

  1. I

    PICHA: Mafuriko yalikumba jiji la Dar es Salaam

    kumbe ulikuwa hujui? karibu kilimanjaro....
  2. I

    PICHA: Mafuriko yalikumba jiji la Dar es Salaam

    Sasa km umeoa na uko happy,umepata jinga jinga hata kukuchallenge haliwezi shida ya nini,kuja kutusema wadada wa JF hatuolewi ni nini??? si utulie na mkeo huko?:thinking::thinking::thin king::thinking::thinking::thin king::thinking::thinking::thin king::thinking::thinking::thin...
  3. I

    Wife materials ni shida

    Basi wenye wake km vinyago...watakavyokupiga vita..😂😂😂😂😂
  4. I

    Kwa nini wanaume hamtukubali na watoto

    Lol mwajei,umenichekesha sana
  5. I

    Wananchi wenye hasira waua kibaka Yombo Vituka

    Samehe tu wangu,sijui ana matatizo gani leo....lol
  6. I

    Wananchi wenye hasira waua kibaka Yombo Vituka

    Barasu nimekupenda bureee u mstaarabu sana.....mwah be blessed
  7. I

    Kupitia MMU & JF, Je ni wangapi? wamepata wapenzi wa kweli mpaka kufikia kuwa mke au mume

    Mnh wewe nizingue tu...ujumbe niliotaka kukupa umeupata...Mungu wa mbinguni akuongoze...lol
  8. I

    Kupitia MMU & JF, Je ni wangapi? wamepata wapenzi wa kweli mpaka kufikia kuwa mke au mume

    Unafanya nini Jf..lol huku ni binadamu sio magari....nadhani ni mgeni,siku zinavyoenda kauli zitabadilika tu....hata sisi tulianza hivyo hivyo...
  9. I

    Kwa nini wanaume hamtukubali na watoto

    And is it ok kwa wanawake wa kiafrica kubeba mizigo ya wengine?
  10. I

    Kwa nini wanaume hamtukubali na watoto

    Eeeh kwa heri,naona haupo hapa for discussion.....mtu akikuchallenge kidogo unawaka...huwezi kuja kny forum km hii na kuja na stupid statement wanawake wa siku hizi wana akili za kushikiwa halafu ukiulizwa why umekuja na hii conclusion hutoi majibu?!..... Halafu mbona mnatuletea watoto tunalea...
  11. I

    Usivunjike Moyo

    Nimeipenda ubarikiwe..ila una kithembe kweli au unatoka kule kwa mama dhetu na baba dhetu?lol
  12. I

    Filisika ujue tabia ya mkeo

    Na wanaume je?????wake zao wakifilisika??lol
  13. I

    28 February 2015 harusi yangu

    Hongera sana mkuu...
  14. I

    Kwa nini wanaume hamtukubali na watoto

    Huwezi kufuta the fact kwamba he/she is his/ her biological father...km mtoto unamlea vizuri siku zote ata appreciate juhudi zako!....ni vizuri kumwambia baba yake halisi ajue he has got two fathers...ukimlea ipasavyo,atawathamini wote wawili... Kisha mkuu usitutusi wanawake akili zetu sio za...
  15. I

    Kupitia MMU & JF, Je ni wangapi? wamepata wapenzi wa kweli mpaka kufikia kuwa mke au mume

    Lugha yako siku zote chafu,kwa nini ?niliona mahali mtu kaweka mada yake kuwa amepima na ata abstain,wewe ukachomekea atapata kitu used,hivi una uhakika dada zako na mama zako wote warembo? Au hawako used?...think ...
  16. I

    tuongee ukweri wanaume wenzangu je unaweza kufanya jambo hili kwa mpenzi wako

    Mie simruhusu boy wangu afanye hivyo,tukikutwa je lol
  17. I

    Kwa nini wanaume hamtukubali na watoto

    He hata km ni utafiti hii mada kweli imeconfirm, wanaume ni selfish individuals...
  18. I

    Forever Living!

    Hahaha mkuu sam kakimbia...chezea JF wewe....
  19. I

    Mwanafunzi wa Chuo afariki katika mazingira tata!

    Very sad...rest in peace wajina...hizo PF3 ...sijui ni nini aisee,ila kama hawataki kuweka hospitali karibu na vituo vya polisi ambako vinatolewa hizo PF3....then it doesnt make sense....
Back
Top Bottom