Search results

  1. pererge

    Madereva Wa STK, STL. Speed zao ni 120km/Ph na Kuendelea

    Wanaendesha kwa kibri sio kwa kujihami.
  2. pererge

    TANZIA: Mwanamuziki Mkongwe Shaban Dede amefariki dunia

    Kuna wimbo pia unasema; Nimeshitushwa na sauti za ndege wakiuaga mchana, nikiwa katika dimbwi la simanzi, nimeoa na kuacha zaidi ya wake sita, sijampata mie hata mtoto, niliowaacha nikizani ni matasa, wameolewa, na huko waliko, wamezaa. Nimejaliwa elimu, iliyonipa heshima, nina uwezo wa kununua...
  3. pererge

    Kweli ni sahihi kwa Mh. Nape kumuita Afisa usalama mpuuzi?

    hivi kuwa na bastola ndio utambulisho wa uafisa usalama? mbona hata majambazi wanazo?
  4. pererge

    Bunduki zimekosa kazi Tanzania

    wewe ulitaka mikono aweke wapi?
  5. pererge

    Helicopter zinasafirisha nini muda huu Dar?

    zinasafirisha Abiria
  6. pererge

    Hali ya barabara Muheza Pangani ikoje wakati huu wa mvua?

    Muheza Mkuzi Masaika Bushiri Boza Pangani.
  7. pererge

    103.3 fm BBC English Service, yarudi hewani

    Da! mimi huwa napenda sana kusikiliza hii stesheni, vipindi kama Outlook, Outside Source, witness na watangazaji kama Jerry Smitt, James Coomarasamy, Dan Daamon, Julian Marshal na wengineo. Asante sana kwa kuturudishia haya matangazo ya BBC,
  8. pererge

    Ajali Tanzania: Mawazo mbadala kuhusu udhibiti wa ajali Tanzania

    Matoke ya kutozingatia sheria za barabarani tunayaona ambayo ni ajali na vifo. Ni ajali chache sana ambazo husababiwa na hitilafu ya gari siku hizi. Nyingi ni makosa ya madereva wenye hizo akili za taiming.
  9. pererge

    Ajali Tanzania: Mawazo mbadala kuhusu udhibiti wa ajali Tanzania

    Kwahiyo mwenye lori kuwaambia wavunje sheria nao wakakubali.
  10. pererge

    Ajali Tanzania: Mawazo mbadala kuhusu udhibiti wa ajali Tanzania

    Kenye sheria za usalama barabarani hakuna kitu kinaitwa taiming. Mambo ya taiming hakuna
  11. pererge

    Ajali Tanzania: Mawazo mbadala kuhusu udhibiti wa ajali Tanzania

    Halafu pia haruhusiwi kuovateki kwa kumfuata mwenzako. Kwavile unakuwa huoni mbele. Hapo na abiria wanachekelea tu.
  12. pererge

    Ajali Tanzania: Mawazo mbadala kuhusu udhibiti wa ajali Tanzania

    Hakuna kitu kama hicho. Angalia mistari iliyochorwa hapo barabarani. Hapo hata kama mbele kweupe haruhusiwi kuovateki
  13. pererge

    Dereva wa UDART anahatarisha usalama wa abiria

    Leo tarehe 14 basi la mwendo kasi namba ya usajili T120DGW leo muda wa saa kumi na mbili jioni likitokea Kimara kwenda Kivukoni tulipofika fire akafungua mlango wa mbele tu, abiria waliokuwa nyuma walipoona milango haifunguliwi wakaenda mbele ambapo mlango umefunguliwa, mmoja akawahi kutoka...
  14. pererge

    Watu waanza kufanya mazoezi daraja la Ubungo terminal

    Leo nilipita asubuhi sikuwaona.
  15. pererge

    Watu waanza kufanya mazoezi daraja la Ubungo terminal

    Hawa wa leo nimewakuta asubuhi saa kumi na mbili na dakika10
  16. pererge

    Watu waanza kufanya mazoezi daraja la Ubungo terminal

    Itakuwa kama lile la Manzese. Pale wameshajimilikisha yaani asubuhi utakuta wanatwangana ngumi hadi unaogopa kupita bora uvuke Barabara. Lakini naona kama ndio kawaida kwa nchi yetu, watu wanapanga biashara barabarani na wanaachwa waendelee halafu siku wakiambiwa waondoke wanakuuliza tuende wapi?
  17. pererge

    Watu waanza kufanya mazoezi daraja la Ubungo terminal

    Hilo ni mojawapo ya tatizo, wizi! Halafu pia hiyo siyo lengo la hiyo flyover Na pia wala sio ustaarabu.
  18. pererge

    Watu waanza kufanya mazoezi daraja la Ubungo terminal

    Kule juu, ukisha panda ngazi.
Back
Top Bottom