Search results

  1. gubegubekubwa

    Orodha ya magonjwa ambayo ukiyapata hayatibiki kwa hapa Tanzania

    Kwahiyo wanaokufa kwa cancer wote Huwa hawamtumaini bwana si ndio manake?
  2. gubegubekubwa

    Orodha ya magonjwa ambayo ukiyapata hayatibiki kwa hapa Tanzania

    Kuna magonjwa ambayo kwa hapa Tanzania ukiyapata ngumu sana kutibiwa nayo ni: 1. Saratani (Cancer) 2. Vidonda vya tumbo 3. Kisukari Ongezeeni mengine hapo
  3. gubegubekubwa

    Nifanye nini kumudu maumivu ya kushuhudia siku za mwisho za uhai wa mke wangu?

    wapendwa, Tafadhali Kama unajua kuhusu mwanamke yeyote anayepambana na SARATANI YA MATITI kwa hatua yoyote tafadhali mshauri awasiliane na Dorothy@africacancerfoundation.org kabla ya tarehe 7 Machi, gharama zote za matibabu ni bure. Tafadhali usiuweke kwako ujumbe huu, SHARE AU TAMBIE kwenye...
  4. gubegubekubwa

    Mrejesho: Biashara ya Nyumba za Kupangisha Vs Nyumba za Kulala Wageni

    We jamaa umeandika research yako kisomi sana hongera mkuu, nimepata kitu hapo
  5. gubegubekubwa

    Nifanye nini kumudu maumivu ya kushuhudia siku za mwisho za uhai wa mke wangu?

    Pole sana mkuu, naijua vzr cancer ya matiti ilivyomteketeza dada yangu aise ni huzuni sana unashuhudia inavyomla Hadi dk ya mwisho kabisa. Mi nashauri kama wazazi wako wapo mpeleke huko kwanza ili machungu yapungue kwako wewe na kwa watoto
  6. gubegubekubwa

    Barabara ya Goba mpakani, hii sio hujuma?

    Kigogo atakuwa mwenyekiti wa serikali ya mtaa wa Tegeta A huyo anaitwa sijui ni Vaginga
  7. gubegubekubwa

    Inawezekana niamkie Kariakoo na kupata kipato ikiwa sina ofisi wala chochote?

    Ndizi za kuchoma wote wanakula kwasababu ni bei rahisi pia unashiba vzr
  8. gubegubekubwa

    Mkaka mzuri, ana magari na kazi nzuri ila amenikosa kwa utongozaji wake wa kitoto

    Ukifikisha miaka 40 bila kuolewa naamini utamkumbuka huyo mwamba
  9. gubegubekubwa

    Inawezekana niamkie Kariakoo na kupata kipato ikiwa sina ofisi wala chochote?

    Kama wanakula mishikaki kukiwa na ndizi choma ndio itanoga sasa
  10. gubegubekubwa

    Inawezekana niamkie Kariakoo na kupata kipato ikiwa sina ofisi wala chochote?

    Mkuu mishikaki watu wanaogopa kulishwa nyama za mbwa na vibudu
  11. gubegubekubwa

    Inawezekana niamkie Kariakoo na kupata kipato ikiwa sina ofisi wala chochote?

    Mkuu Kuna biashara nzuri ambayo watu hawajaigundua, fanya biashara ya kuuza ndizi za kuchoma kwenye mkaa. Tafuta ndizi flani sijui zinaitwaje, ni nzuri sana kwa kuchoma we kachome hizo uza 3 buku, kumbuka watu wengi hawataki vitu vya mafuta so ndizi utauza, ukifanikiwa ulete zaka kwangu.
  12. gubegubekubwa

    Kansa ya matiti inammaliza mke wangu nikiwa nashuhudia, sina la kufanya. Sijui kama naweza kusahau hili

    Asante mkuu piga moyo konde cancer kupona ni nadra sana, mwezi uliopita tumezika jirani yetu kwa cancer ya uume ilikula Hadi utumbo ulikuwa nje kabisa
  13. gubegubekubwa

    Kansa ya matiti inammaliza mke wangu nikiwa nashuhudia, sina la kufanya. Sijui kama naweza kusahau hili

    Aise vyote hivyo hakufanyiwa maana lilikuwa titi la kushoto karibu na moyo
  14. gubegubekubwa

    Kansa ya matiti inammaliza mke wangu nikiwa nashuhudia, sina la kufanya. Sijui kama naweza kusahau hili

    Mkuu hiyo kitu inayoitwa cancer ni hatari sana, mwezi may nimeishuhudia ikimuondoa dada yangu. Ilikuwa cancer ya titi yaani unaoza polepole huku unaongea Hadi dk ya mwisho
  15. gubegubekubwa

    Kwa mwenendo huu nikifanya maamuzi ya kuishi mwenyewe itakua tatizo?

    Siku hizi ndani ya ndoa sio Tena 50/50 Bali ni 100/0
  16. gubegubekubwa

    Askari wa Israel wazidi kuangamia Gaza. Zaidi ya 100 wauliwa siku moja na kuzikwa kaburi moja

    Mkuu hii inaumiza sanasana na huenda walikuwa tegemezi kwenye familia zao aise
  17. gubegubekubwa

    Ninatafuta mwanaume mtu mzima single

    Mkuu nadhani ulishawahi sikia mwanaume analia na kupiga magoti kuomba mwanamke asimuache, hii hutokea kwa mwanamke ambaye ni wife material tuuuuuu basi. Sasa huyu dada kasema yeye ndio kamuacha mwamba na mwamba wala halii hapo jua mwanamke ana u superstar ndani na jamaa kimoyomoyo kafurahi...
Back
Top Bottom