Mie binafsi sipendi kuona mama ananyonyesha hadharani. Kama kuna uwezekano ni bora mama anyonyeshe pahali faragha kidogo(ajisitiri) ila kama ndio hakuna budi halaumiki.
ni hayo tu.
kwa kweli ikiwa mke ndo anakipato kikubwa dhidi ya mume..lazima mume atakuwa na ile inferiority complex..muhimu ni wewe mke kutoonyesha kiburi na kufanya wajibu wako as a wife..kiburi na majivuno kando as Kevo said hapo juu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.