Search results

  1. shumundu

    Ni mteule yupi wa Kikwete aliekuvutia katika utendaji wake wa kazi?

    Udini upi. Mungu ambariki mama wa watu. Joyce Ndalichako
  2. shumundu

    Benjamin Ndalichako arudisha fomu Umeya Jiji la Dar

    sijawahi komenti humu ndani. lakini hapa huyu jamaa namwamini. ni mtu makini na msomi pia. infact hawa jamaa ni watendaji wazuri, fuatilia. all the best Mstahiki Meya Benjamini Ndalichako.
  3. shumundu

    laptop inauzwa kama spare

    Laptop aina ya Hp pavilion dv 1000, inauzwa 150, 000/= kama spare, ina tatizo la charging system tu.
  4. shumundu

    Zanzibar: Padri auawa kwa kupigwa Risasi!

    Hii mambo ipo very serious, juzi hapo jumatano ya majivu tumetoka kanisani tukakutana na jamaa ndani ya kanzu wakatukashifu, tumekua vinyago. RIP padre. someone is behind this and something should be done hapa kabla wakristu wapole hawajalipa.
  5. shumundu

    Tetesi za Matokeo ya NECTA kidato cha nne 2012 [Kabla Hayajatoka]

    mh wewe unaweza hata ukachaungulia hata wazazi wako wakiwa falagha,:confused2:
  6. shumundu

    Jinsi ya kutongoza

    natoa tuition, guarantee demu yeyote yule wa mjini, muda ni wiki mbili, nakupa mwongozo mpaka siku unakula tunda. ni PM
  7. shumundu

    Jinsi ya kutongoza

    natoa tuition, guarantee demu yeyote yule wa mjini, muda ni wiki mbili, nakupa mwongozo mpaka siku unakula tunda.
  8. shumundu

    Natafuta mtu/ duka wanaponunua computer mbovu. Nina laptop nauza kama spea. Help wadau

    Laptop ilikufa mother board, ila kuna kioo ambacho ni kizima cha inchi 14.0, keyboard na battery vipo, hard disk na rom tu ndo hamna.
  9. shumundu

    Natafuta mtu/ duka wanaponunua computer mbovu. Nina laptop nauza kama spea. Help wadau

    Natafuta mtu/ duka wanaponunua computer mbovu. Nina laptop nauza kama spea. Help wadau. Direction au contacts.
Back
Top Bottom