Search results

  1. K

    Mbowe anakosa sifa muhimu ya kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA. Ajiuzulu nafasi yake kwa maslahi ya chama na Taifa kwa ujumla

    Sasa mwenye tuhuma tu na aliyepoteza watu kwenye masandarusi nani anastahili kuenguliwa uenyekiti wa chama?
  2. K

    Ratiba robo fainali Azam Shirikisho yatoka: SIMBA na YANGA kukutana nusu fainali endapo watashinda robo fainali

    Ratiba ya Kombe la Azam hatua ya robo fainali imetoka: 1. SIMBA VS PAMBA 2. YANGA VS GEITA 3. AZAM VS POLISI 4.COASTAl VS KAGERA NUSU FAINALI: Mshindi: SIMBA VS PAMBA anacheza mshindi: YANGA VS GEITA Mshindi: AZAM VS POLISI anacheza mshindi: COASTAl VS KAGERA Uwezakano ni mkubwa wa SIMBA na...
  3. K

    TANZIA Mikola Mahiga afariki dunia kwa ajali ya gari nchini Uswisi. Ni mtoto wa kwanza wa Marehemu Augustine Mahiga

    Badilisheni uongozi wa nchi ..ondoeni chama tawala ndio njia rahisi ya kugawana keki hii...mkuu sasa hivi utakuwa Mkurungenzi wa Jiji fulani hivi..Yaani hakuna kitu kinaniuma kama kuona eti Baba kiongozi wa nchi anastaafu arafu mwanae anapewa nchi na mbaya zaidi kichwani .....aiseee no comment...
  4. K

    Sawa TFF mmemfungia Shaffih, Je vipi kuhusu Haji Manara?

    Natumai kamati ya nidhamu itakuwa inajipanga na kutoa adhabu kama hii kwa Yule ponjoro Haji Manara kwa kauli yake ya sio kuchafua tu soka la Tanzania bali ilihatarisha usalama wa mchezo huo kwa kauli aliyopost kwenye account yake ya Instagram kama alivyofanya Shaffih. Tunasubiri kuona maamuzi...
  5. K

    TFF yamfungia Shaffih Dauda kujihusisha na soka miaka mitano, mwingine afungiwa MAISHA

    Tuinasubiri ,uamuzi dhidi ya Haji Manara kutokana na matamshi aliyoyatoa kabla ya mechi ya ASEC na Simba...natumai yeye atafungiwa milele manake nikisema maisha naona kama haitoshi....
  6. K

    Waziri Mchengerwa kwa hili la Mpira miguu unazidi kumpoteza "Rais" katika ramani zake

    Duuh kaka umesoma mara mbili mbili kabla ya kijibu? aisee..ebu rudia tena kusoma bila kuleta Uyanga na Usimba tafadhali....
  7. K

    Waziri Mchengerwa kwa hili la Mpira miguu unazidi kumpoteza "Rais" katika ramani zake

    Tumekusikia jana ukitoa maelekezo ya kutosha Baraza la michezo jinsi Wizara yako mnavyotaka isimamie mpira wa miguu “as if” Baraza la Michezo kazi yake ni kusimamia mpira wa miguu tu na huku ukijisahau kuwa wewe sio Waziri wa mpira wa miguu peke yake. Okay tuliacahe hilo. Tumesikia maoni ya...
  8. K

    Kwa kikosi hiki cha Simba SC, nawashauri mashabiki wajiandae kisaikolojia maana hawatafika popote

    Ulikuwa umelewa bila kunywa futa uchafu wako kaka
  9. K

    TANZIA Beki Ally Mtoni Sonso afariki dunia, amewahi kuichezea Taifa Stars na klabu za Yanga, Kagera Sugar, Lipuli

    Haiingii akiliii...mtu amecheza mechi za hivi karibuni....majerehaa ya mguu wapi na wapi? toeni taarifa kamili
  10. K

    Watoto wa Mzee Malecela hawana bahati na Siasa kama ilivyo kwa Wana wengine wa viongozi wa CCM

    Siku Watanzania tukiamka wataondoka wooote....haiwezekani wao tu ndio wanufaike na keki hii ya Taifa..
  11. K

    TANESCO mnatusababishia hasara kubwa kwa kukata na kurudisha umeme kila wakati

    Kichwa cha habari chahusika. TANESCO toeni ratiba ya kata washa kata washa ifahamike kuliko jambo mnalotuanyia kwa sasa. Hizi hasara za kutuunguzia vyombo vyetu sijui kama mtazibeba tukiamua kuwaburuza mahakamani. Siku hizi haieleweki lini mtu unakuwa na umeme. Halafu watu tunashindwa kupanga...
  12. K

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Jibu ni Simple...wamechangia club...na kwa akili ya kawaida unadhani unaweza ukawarudishia kweli? kweli hapo kuna hoja kweli ya kuongea redioni?
  13. K

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Jibu ni Simple...wamechangia club...na kwa akili ya kawaida unadhani unaweza ukawarudishia kweli? kweli hapo kuna hoja kweli ya kuongea redioni?
  14. K

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kama inavyofahamika kuwa SImba Jumapili wanakipiga na Asec Mimosas ya Code vore na tayari walishatangaza viingilio vya mechi hiyo ambapo kiingilio cha chini kabisa kilikuwa ni shilingi 5,000. Jana Mwenyekiti wa Heshima wa Club hiyo akizungumza na wachezaji alipowatembelea kambini kuwatia...
  15. K

    GSM yatangaza kujiondoa kwenye udhamini mwenza wa Ligi Kuu Tanzania Bara

    walikosea wao siku ya kusaini mkataba wakaambatana na Misukule ikaleta tafsiri kuwa ule mkataba ulikuwa una msukumo wa Yanga kama Club ndani yake...ila kilichowaondoa ni zaidi ya hapo..baada ya ile janja janja ya kutaka"kuikamata/kuihodhi lingi na TFF ili timu yao ichukue ubingwa...
  16. K

    Jinsi ya kuzuia makelele ya muziki wa juu kutoka kwa majirani...

    Angalau wewe jibu lako linatia matumaini..nimejaribu ila hawajagi kabisa hawa watu
  17. K

    Jinsi ya kuzuia makelele ya muziki wa juu kutoka kwa majirani...

    Kuna jirani zangu wanapiga mziki kwa kutumia spika kubwa saana kila mwisho wa wiki. Naomba ushauri wenu kama kuna jinsi ya kufanya jambo la kuingilia/kuzuia makele ya mziki wao bila wao kujua..manake nimajribu kuongea nao hatuelewani....niliwahi kuambiwa kwamba kuna vifaa ukifunga vinaingiliana...
  18. K

    Dkt. Tulia Ackson alamba kura zote asilimia 100, aapishwa kuwa Spika wa Bunge

    Kupata 100% ni jambo lililotarajiwa katika bunge la chama kimoja na lisilokuwa na wapinzani kabisa bungeni
  19. K

    Ukistaajabu ya Mussa utaona ya Wazee wa Club za Simba na Yanga

    Nimeona jana kikao cha wazee wa Simba kikiongozwa na Wanasiasa Mangungu (ambaye ni pia ndiye Mwenyekiti wa Simba kwa sasa) na wafuasi wake .i.e Dalali, Asha baraka n.k. Kikao kama kikao cha wazee wa Club sio kibaya kujadili maendeleo ya Club bali tatizo ni lengo la kikao chenyewe eti kujadili...
Back
Top Bottom