Search results

  1. J

    Magufuli ni utitiri aliyembeba tembo kwa spidi ya cheetah

    Yaani wewe unayesema you are among the best 5 hapa JF, hujui kilichotokea kwenye uchaguzi wa 2020 hapa Tz !!!. Sasa unachojisifia ni nini ikiwa kitu kikubwa kwa nchi kama uchaguzi mkuu na ambacho kilikuwa wazi kwa watu wengi wewe hujui hata nini kiliendelea ?!
  2. J

    Magufuli ni utitiri aliyembeba tembo kwa spidi ya cheetah

    Wewe unasema NECTA wakichagua the best 5 hapa Jamii Forum utakuwa mmojawapo. Sasa unataka kujifananisha na hao tena !?.
  3. J

    Magufuli ni utitiri aliyembeba tembo kwa spidi ya cheetah

    Sema bongo yako na macho yako vimechoka. Wewe kujivika usemaji wa umma naamini sio sahihi. Besides, yangekuwa yanasemwa mazuri tu kumhusu Magufuli bado ungesema bongo na macho ya umma vimechoka ?
  4. J

    Magufuli ni utitiri aliyembeba tembo kwa spidi ya cheetah

    Sanduku la kura lipi ? Kama lile la 2020 ambapo Magufuli alipora uchaguzi mithili ya Jambazi mwenye silaha anavyopora mali za watu ?
  5. J

    Jaji Elinaza Luvanda ajiondoa kuendesha kesi ya Mbowe na wenzake baada ya washtakiwa kudai hawana imani naye

    Unasema sio swala la kisiasa halafu unaongea siasa tupu ! Unaonyesha Jaji inabidi aangalie "interest" za Jamhuri badala ya kusimamia haki. By the way kama Jaji anawaonea huruma hao watu kukaa mahabusu alitakiwa atumie muda wake kufanyia kazi pingamizi la shitaka la ugaidi kwani kama...
  6. J

    Jaji Elinaza Luvanda ajiondoa kuendesha kesi ya Mbowe na wenzake baada ya washtakiwa kudai hawana imani naye

    Hapana huna uwezo huo, wala hakuna alie na uwezo huo. Pamoja na hayo, unaweza kuonyesha (na unaruhusiwa) kutokuridhika na Jaji au hakimu na unaweza kutoa hoja zako kutokana na kutoridhika kwako na kuomba Jaji au hakimu ajitoe kwenye kesi yako. Jaji au hakimu naye ana uhuru wa kukubali kujitoa...
  7. J

    Jaji Elinaza Luvanda ajiondoa kuendesha kesi ya Mbowe na wenzake baada ya washtakiwa kudai hawana imani naye

    So ulitaka kuwe na kesi nyingine (ndani ya hii) ya kuthibitisha hizo tuhuma ndipo ajitoe ? Kwa utaratibu upi ? By the way, ukisikiliza alivyoongea Mbowe wala hajatoa tuhuma zozote. Yeye amesema hana imani na Jaji (swala la kutokuwa na imani na mtu ni very personal na ni haki yake), pili...
  8. J

    Msaada kwa mwenye kujua asili ya Jina Rambau

    Yaah, most likely huyo tutachukua jumla maana bro yupo serious. Actually bro mkubwa kabisa kaoa mchaga wa Rombo na probably ningemuuliza shemeji mkubwa angekuwa anajua hili jina. Hata hivyo bro mkubwa na shemeji bado hawana taarifa hizi.
  9. J

    Msaada kwa mwenye kujua asili ya Jina Rambau

    Imeisha hiyo. Nilitaka nijue tu asili maana kwa kweli nilikuwa sijui pamoja na kwamba ninawafahamu wachaga na ninaishi nao lakini hilo jina la Rambau nilikuwa silijui kabisa....
  10. J

    Msaada kwa mwenye kujua asili ya Jina Rambau

    Wakuu naomba kuuliza kwa mwenye ufahamu wa asili ya jina Rambau. Watu wenye majina Rambau wanatoka mkoa gani hapa Tanzania na ni kabila gani ? Shukrani.
  11. J

    Maswali muhimu kwa chanjo ya COVID-19

    Mkuu mimi pia ni mtaalamu katika eneo langu na kwa kweli ninaheshimu wataalamu waliobobea katika eneo husika. Wewe kama unavyosema ni mwanasayansi katika eneo linalohusiana na virusi so utakuwa na uelewa mpana katika eneo hilo. Kwa sisi wengine kuelewa issues katika eneo hilo ni ngumu hivyo...
  12. J

    Hakuna Taifa lililoendelea kwa kujipendekeza na kujidharau

    Ni kwa vipi Tanzania imejipendekeza na kujidharau ?
  13. J

    Nimeipenda falsafa ya Rais Samia ya Watendaji kutumia akili badala ya nguvu. Je, CCM wamemuelewa?

    Officially ilizikwa tarehe 19 March 2021 baada ya Mh. Samia Suluhu Hassan kuapa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa TZ.
  14. J

    #COVID19 Shirika la Afya Duniani (WHO) laitaka Tanzania kujiandaa kupokea chanjo ya Corona

    Hilo linajulikana na itachukua muda kufika kwetu. Hata kama una hela ukaenda Marekani leo sidhani kama utafanikiwa kuchanjwa kwani priority ni raia wao na sasa hivi wanaochanjwa ni wazee na medical personnel tu. Ila tunapokwenda nadhani hizi chanjo zitakuwa available either za bure au za...
  15. J

    #COVID19 Shirika la Afya Duniani (WHO) laitaka Tanzania kujiandaa kupokea chanjo ya Corona

    Kwa nini niende Marekani? Gharama za kwenda huko utalipa wewe? Una maana watanzania wote wanaotaka kuchanjwa hawana haki ya kupata huduma hiyo ndani ya nchi yao? Ninachotaka ni uhuru wa kuchagua ndani ya nchi yangu.
  16. J

    #COVID19 Shirika la Afya Duniani (WHO) laitaka Tanzania kujiandaa kupokea chanjo ya Corona

    Ni sawa na ndivyo inavyotakiwa. Hata huko wanakotoa chanjo sasa hivi hakuna anayelazimishwa. Wewe na Rais Magufuli mna uhuru wa kukataa au kukubali chanjo. Mimi binafsi chanjo ikija hapa kwetu nitakubali kuchanjwa. Kinachotakiwa kwa serikali ni kuwapa wananchi uhuru wa kuamua kuchanjwa ama la...
  17. J

    Hivi nini kinazuia mazishi ya watu wengi kwa maiti wa corona?

    Wala hujakosea. Ni ujinga tu na kucream mambo ya ebola. Maiti iliyopo kwenye jeneza isiyokohoa kuongea kupiga chafya au kuhema na isiyoguswa na mtu inawezaje kuambukiza corona ? China kuna maiti nyingi hazikuzikwa wakati tatizo lilipkuwa kuba zilihifadhiwa. Baadaye waliwapa ndugu zao...
  18. J

    Salumu Mwalimu: Nimepitia lundo la slips za wachangiaji sijaona ya sh 50,000 wala 10,000 bali 2000, 1000, 700 na 500

    Obviously hakupitia kila jina lililopo kwenye hilo furushi la makaratasi.
Back
Top Bottom