Search results

  1. S

    Exclusive VIDEO: Makada wa CCM na ACT-Tanzania watajwa kuihujumu CHADEMA!

    Hii Dr.Slaa na WASIRA AU MZEE SITA NA MZEE,Pili habari hizi sio za kipuuzi,maana ni kweli Nape alikwenda shinyanga na kufanya mkutano wa hadhara kuwapokea hawa madiwani kutoka chadema,akiwa na n/waziri masele,na ni kweli mchage alikuwa shinyanga na mwanza wakiratibu makongamano ya act,na ni...
  2. S

    Mhe. Mbowe azidi kuimarisha msingi wa Chadema kanda ya Ziwa

    ni imani sana na MBOWE pia,kama mtanzania mzalendo anayetumia hata sehemu ya mali zake kuimalisha chama na kumkomboa mtanzania maskini,ahsante Mungu kwa kutupa Mbowe kama mwenyekiti asiyehongeka huna cha kumhonga mbowe,ahsante Mungu vile vile kwa kutupa Katibu mkuu wa chama mwenye hofu ya...
  3. S

    Zitto Kabwe Adai kwa Kiapo Hana Majina ya Wenye Akaunti Uswisi - AG

    tatizo LA zitto,ni kudandia hoja ambayo haikuwa ya kwake,hii hoja ya mabilioni ya uswisi ilikuwa ni ya Benard Membe,dhidi ya mahasimu wake wa kisiasa ndani ya ccm,wale watu 11,aliosema akioteshwa watamtambua,sasa baada ya membe kushindwa kuwataja hao watu kama alivyokuwa ameahidi kuwa...
  4. S

    CHADEMA wamefanya Maamuzi makini na magumu-Waziri Kombani

    Taratibu taratibu,watatambua tu na kuujua ukweli,haiwezekana taasisi kubwa kama ile iliyosheheni watu wenye weledi wa kila aina,halafu mtu mmoja anakurupuka tu kwa kusema eti M.M kaonewa na hoja zinazotumiwa na mashabiki wake wa kununua ni udini,ukabila na ukanda-propaganda za mpinzani wa democrasia
  5. S

    Mwanachdema unayemtetea zzk na timu zake ni mwanaccm halali kabisa.

    Tatizo chadema kwa ujumla walichelewa sana kuchukua maamuzi haya ya kumuondolea nafazi zake katika chama na wanatakiwa waende mbele zaidi yaani kumvua uanachama,hapo itakuwa nafuu sana,haina maana kuchelewa kuchukua maamuzi halafu yakawa nusu nusu! ana matukio mengi tu ya usaliti kwa chama chake...
  6. S

    Maamuzi ya Kamati Kuu CHADEMA kuwasimamisha MM; Sahihi, Kosa, Sijui

    sahihi na wanatakiwa cc iende hatua mbele zaidi
  7. S

    Eneo la Oysterbay Police lauzwa kwa mwekezaji!

    Police ni Jeshi,kwa mujibu wa tafsiri ya neno jeshi kwenye katiba yetu ya JMT.inasema Mwanajeshi ni askari anayetokana na majeshi yafuatayo,1-TPDF/JWT,2-JKT, 3-POLICE na 4-Magereza.kwa hiyo mkuu kwa tafsiri hii ya sheria mama/katiba,Police pamoja na sehemu ya yake ya makazi ni kambi ya jeshi...
  8. S

    DCI Manumba astaafu, Kamishna Isaya Mungulu Mkurugenzi mpya wa Upelelezi

    Ndugu tofautisha kurithi nafasi na kukaimu nafasi,Kilichofanyika pale ni Isaya Mgulu kukaimu nafasi ya DCI Manumba aliyestaafu kwa mujibu wa sheria kama ilivyoelezwa,na wala Mgulu hajateuliwa kama DCI Nafasi hii ni Presidential,ni mpaka Rais au Ikulu itamke lakini hili limefanyika ndani ya...
  9. S

    Mwigulu Nchemba live bungeni - Novemba 6, 2013

    rafiki yake zitto,hawana maana katika taifa hili wanao lazimisha uzalendo na umaarufu
  10. S

    Mbowe na Dr Slaa, natoa saa 24!

    utovu wa nidhamu ulianzishwa na zitto mwenyewe kwa wakubwa zake,kumbuka kipindi akina shonza na mwampamba wanamtukana Dr.slaa wazi wazi huku wakimsifia zitto bila zitto mwenyewe kukemea wala kukanusha matukano hayo kwa boss wake,cha ajabu badala ya kukemea naye alimshambulia bos wake...
  11. S

    Dr. Slaa: Tumegundua njama za kuivuruga CHADEMA

    Nimependa bwana Mdogo kwa coment yako,ni sahihi kabisa,ila tu hapo kwenye BOLD,huyu mamlaki anayependekezwa na ccm kuwa mwenyekiti,ndicho anachokitaka ili watu makini wajitoe cdm na chama kife na atakuwa ametimiza makusudi yake wala hana lengo jingine,cha msingi ni kufanya kila kinachowezekana...
  12. S

    Kwanini Zitto anashambuliwa kwa kufuatilia matumizi ya fedha za umma?

    swala la kitaasis kulibeba kama lako ni tatizo kubwa,maana yake zitto anafanya kazi kwa maslahi binafsi ya kupata umaalufu kama anavyojitanabaisha,ni hatari sana kwa kiongozi mnaafiki na mzandiki kama zitto,anayefanya kazi za ccm usiku na mchna kuvaa kombati,yooote haya wala hana shida na ccm...
  13. S

    Nape 'eti' amshtukia Zitto kuhusu ukaguzi wa vyama

    Hii movie!sio yakuupuuzia,Nape hajajitokeza kusema hayo bure,lakini hata Zitto,naye hajakurupuka kuishawishi kamati yake kuibua swala hili la ukaguzi,kimsingi zitto na ccm wanajua vizuri kinachotafutwa hapo ni kuichafua cdm,hapa NAPE badala ya kwenda kuyaeleza haya kwenye kamati yeye ameshaanza...
  14. S

    Josephine Mshumbusi unainajisi CHADEMA. Tafadhali na tuchore mstari, tuseme yatosha sasa!

    Mwenye mapenzi ya dhati na chama hawezi kuleta humu jamvini kuna mahara pake pa kuwasilisha au kuteta na watu wa karibu au na viongozi wa CDM moja kwa moja
  15. S

    Siipendi CCM, Naichukia CHADEMA ila Namkubali Zitto Zuberi Kabwe!

    Unamkubali vipi Zitto halafu unaichukia CCM?maana kimsingi Zitto alishaga toka CDM siku nyingi tu,amebaki kimwili na magwanda pekee,lkn uhalisia zito anafanya kazi za CCM usiku na mchana ili kuiangusha CDM,Bahati mbaya tu mpango wake ume fail.baada ya kugundulika
  16. S

    Mtake msitake, CHADEMA kuweni makini na Marando

    kirusi ambacho ni hatari na mnafiki sio mkweli na muwazi ni ZITO KABWE,na wala sio Marando!Marando ni kama nda sahihi na wala hajawahi kuwa mwana ccm.Nawashauri chadema wawe macho na zito na sio mtu mwingine,huyu bwana mchana ni cadema lakini usiku ni CCM,wakipanga mipango ya kigaidi yeye...
  17. S

    CCM Imekataliwa na wananchi waalio wengi Bara na Visiwani

    Katika hatua nyingine ambayo ni ya kihistoria katika hatua za awali za upatikanaji wa katiba mpya.Tume ya Katiba imetoa rasimu yake,na imezungumzia mambo mengi yaliyojadiliwa na wananchi mojawapo ni hili swala nyeti la Muundo wa Muungano.Chama Cha Mapinduzi kilifanya mkakati kwa kuwaelekeza...
  18. S

    Wako wapi waliodai Tume ya Katiba haina weledi na wala si huru!??

    Kwani mko wapi mliokuwa mnasambaza maagizo kwa watendaji wa vijiji na viongozi wa ccm wilaya mpaka kwenye matawi,mkisisitiza wanachama wa ccm watoe maoni kama yale ya ccm,ikiwemo muundo wa muungano wa serikali mbili.shame on you PUNGUANI- NAPE
  19. S

    Utatuzi wa uvunaji wa gesi Mtwara bado kitendawili. Chanzo ni nini?

    Dr.Ndungulile mimi binafsi nikushukuru kwa maswali yako,kimsingi hapo ni kuzunguka tu sababu kabisa na kiini cha tatizo ni hapo number tano.kati ya maswali yako.Hiyo ndio chanzo kikuu cha homa yenyewe makundi ya urais ndani ya chama tawala hata Mh.Rais aliposema kwamba watawashughulikia watu...
  20. S

    Utatuzi wa uvunaji wa gesi Mtwara bado kitendawili. Chanzo ni nini?

    Dr.Ndungulile mimi binafsi nikushukuru kwa maswali yako,kimsingi hapo ni kuzunguka tu sababu kabisa na kiini cha tatizo ni hapo number tano.kati ya maswali yako.Hiyo ndio chanzo kikuu cha homa yenyewe makundi ya urais ndani ya chama tawala hata Mh.Rais aliposema kwamba watawashughulikia watu...
Back
Top Bottom