Search results

  1. M

    Malawi paper calls Kikwete a 'Bloodthirsty Leader'

    Every and each Tanzanian must support our president in his efforts to protect our country against enemies.Tanzania is our country ,and therefore we must protect it at any cost.Let us unite,set aside our ideological and political differences and give our president full support.Lake Nyasa does not...
  2. M

    Oral interview feedback - TANAPA Posts

    Hawa Tanapa tulifanya oral interview tarehe 19 mwezi juni mwaka huu wakasema watatoa majibu within reasonable time. Je kuna mtu kapigiwa cm na hawa jamaa? Naomba kuwasilisha wana jf
  3. M

    Jeshi la wananchi Egypt lampindua Rais Morsi

    Katika maisha yangu nilikuwa nikisikia tu mapinduzi ya kijeshi, mh. raisi wa Egpty amepinduliwa kufuatia jeshi la nchi hiyo kumpa saa 48 raisi morsy kutafuta suluhu ya mgogoro na wanasiasa anaokinzana nao.Lakin raisi morsy alikaidi agizo hilo la jeshi na baada ya muda uliopangwa kupita bila ya...
  4. M

    Tundu Lissu amsifia waziri wa fedha

    Ukopaji wa serikali ni vizuri uanze kuidhinishwa na bunge.wekeni hilo kwenye katiba..
  5. M

    Tundu Lissu amsifia waziri wa fedha

    Tundu lisu bado anaendelea kumkaba koo waziri wa fedha. Hajaridhika na namna alivyojibu swali la pili
  6. M

    Tundu Lissu amsifia waziri wa fedha

    unataka iweje? ww mchonganishi
  7. M

    Tundu Lissu amsifia waziri wa fedha

    Mh.Tundu Lisu amesema kuwa waziri wa fedha Mh. William Mgimwa amejibu vizuri maswali ya kambi rasmi ya upinzani.
  8. M

    EXCLUSIVE: Download Rasimu ya Kwanza ya Katiba Mpya hapa na toa maoni

    Wamejitahidi ila mambo yafuatayo yanatakiwa kurekebishwa: Madaraka ya raisi, Kinga ya raisi,suala la umiliki wa ardhi bado halijafafanuliwa vizuri,Namna rasilimali zinavyoweza kuwanufaisha wananchi moja kwa moja,
  9. M

    RASIMU ya Katiba Mpya Tanzania yazinduliwa

    Tume ya warioba wamejitahidi kwa kweli.Madaraka ya raisi ndiyo hawajaliweka vizuri.Rais anatakiwa kuwapendekeza mawaziri/majaji baada ya hapo kuwe na tume huru itakayo wafanyia mchujo (vetting) na baada ya hapo majina ya watakaofaulu yapelekwe bungeni kuwa approved na kurudishwa kwa raisi kwa...
  10. M

    Waziri Nchimbi: Mtwara kesho kutakuwa salama na shughuli zote zitaendelea kama kawaida!

    Mgogoro wa mtwara na lindi utatuliwe kwa njia za kidiplomasia na si mabavu.Iundwe tume maalumu iende mtwara ikawasikilize wale wananchi wanataka nini,na baada ya hapo taratibu zingine zifuatwe ili kuumaliza mgogoro huu kwa amani na utulivu. kutumia mabavu kutatua mgogoro huu,itakuwa ni temporary...
  11. M

    Msigwa hana busara ya kutatua matatizo ya wamachinga Iringa. Vurugu hazijengi bali zinabomoa!

    watakaofanya hii nchi isitawalike ni poisi.polisi Tanzania wana mentality kama jeshi la kikoloni. suala dogo tu lazima watumie nguvu.Tunataka jeshi la polisi liboreshwe,liwe la kisasa litakalo kuwa na ushirikiano mzuri na raia.
  12. M

    Dr Slaa akataa mjadala na Nape ITV badala na Kinana

    Hata Mnyika mwenyewe haendani na Nape. Nape anaingia hata mara tano hv kwa Mnyika. Mnyika anajenga hoja na ndio maana wananchi wa ubungo walimchagua na wala hakuteuliwa kama alivyoteuliwa Nape.
  13. M

    Waraka Mwl Shukia kwa Mwigulu Nchemba

    , Tafadhali Dr.mkumbo, 2015 nenda kagombee ktk jimbo la Iramba ili uweze kutatua shida za wananchi.Watu wanafanya kazi zinazotakiwa kufanywa na Nape NAUYE , kazi yetu si imekuwa ni kuwabeza wenzetu wa upinzani waliowachache, viongozi wa srikali hawawajibiki ipasavyo, serikali imevaa miwani...
  14. M

    Hongera Mh.William Vangimembe Lukuvi

    Bila shaka wewe umetumwa kabisa kabisa, na hapa c mahali pako. hatutaki watu wanafiki. Vijana kama nyinyi ndie mtakayo kuja kuiuza nchi hii.hiv huogopi hata unapoisifia Chukua Chako Mapema maana kuiongelee hii kwa siku hizi unatakiwa uwe na moyo kama wa mwendawazimu hivi
  15. M

    Spika Makinda anapata maelekezo kutoka nje ya bunge - Dr Slaa

    Hili suala la mihimili kutokuwa huru tumekuwa tukilizungumzia kila siku, Mama huyu walimuweka makusudi kabisa,walimtoa sitta ambaye alikuwa mwiba kwao na wakamuweka huyu mama. kwa kweli mihimili ya bunge na mahakama bado sio huru kabisa. kwenye katiba mpya tunataka speaker awe mwanasheria...
  16. M

    Tunduma: Vurugu za kidini zaibuka upya

    Jana mji wa Tunduma uligeuka na kuwa Darful baada ya polisi kupiga mabomu ili kuwatawanya waandamanaji. chanzo cha vurugu hizo inadaiwa kuwa ni kuchinja ng'ombe
  17. M

    Haya ya UDOM yanaudhi sana!

    Tar 17/11/2012 tulifanya interview pale UDOM ya assistant internal auditor, kulikuwa na nafasi nane, lakin kwenye shortlist wametoa jina la mtu mmoja tu,Kama kulikuwa na nafasi moja wangetuambia kwenye tangazo la nafasi ya kazi au wasinge toshorlist kabisa ili watu tusiunguze nauli zetu. kwa...
  18. M

    Utumishi wameita kazini usaili wa 5-31 januari 2013

    Nimeamini kweli Tanzania hii hatutafika kabisa,usaili wa kuanzia tar 5 january hizi nafasi za mhasibu msaidizi hazikuwepo, imekuweje wakaita watu kazini?
  19. M

    Interview EFC

    Leo nimepigiwa cm na EFC niende jumatatu kwenye writen interview ya credit officer, naombeni msaada kwa yeyote anayejua modality ya interview za EFC.
  20. M

    Hekima , Busara zitumike kutatua migogoro inayoendelea mtwara.

    migogoro inayoendelea mtwara ni vema ikatatuliwa kwa njia za diplomasia,na si kutumia nguvu. Viongozi wakae na watu wa mtwara , wawasikilize madai yao,wawaelimishe na nafikiri watawaelewa tu viongozi wao. Na wanasiasa nao wasishabikie swala hili. Si fahari hata kidogo kushabikia swala hili.
Back
Top Bottom