Search results

  1. M

    Nichukue mkopo ninunue hati fungani, then malipo ya hati fungani nitumie kurejesha mkopo?

    Kwa wa taalam mm nitaka nipate shule ya haya mambo hasa uwekezaji in term of international hisa na bond wapi wanaconduct semina fupi fupi za wiki au mwezi
  2. M

    Simulizi: Before I die

    Teyari tumemliza lege
  3. M

    Peniela (Story ya kijasusi)

    Lege unashusha au tulale shukran saba npk hapo Ubarikiwe
  4. M

    Peniela (Story ya kijasusi)

    Tupo ready tunasubiri
  5. M

    Peniela (Story ya kijasusi)

    Kwani nani ndio stelingi wa hii story ? Naona Mathew anataka kumzidi steringi Elibariki Ila ipo poa sana hongera nasa LEGE JE Una STORY NYINGINE VITABU UNAUZA ? ?vipi hukusu hati miliki ya hii story kama wewe ndio mtunzi pamoja na kutuburudisha ila na wewe upate asali ili tuendeleaa...
  6. M

    Mafriji used yanauzwa

    freezer unazo?
  7. M

    Kituko cha utotoni ambacho sitakisahau

    mimi tukio ninalo kumbuka tuliona gari inakuja tukasema tulale barabarani tuone nini kitatokea nakumbuka nilikuwa na age kama 5 or 4 years na gari kuiona kijijini ni kama mara moja kwa mwezi kilicho tokea yule dereva alisimamisha gari akachukua fimbo akanichapa wenzangu wakakimbia baada ya...
  8. M

    Kushtua gari ya automatic

    Huyu Lege nimemuelewa sana na kw jinsi alivyo eleza na kwa utaalamu wangu ingawa sijafanya experement naamini itawaka kifupi mi mtu wa IT Nikiaangalia logic z lege gari itawaka kwa logic na wanao sema gar haiwaki wanashidwa toa sababu kwanini haitawaka . Then lege ndio ameanza hapo sabab znaz...
  9. M

    Makala: Buriani Komredi Mawazo, Mpe Hongera Zangu Ken Saro-Wiwa

    Beni hongera sana na pole sana nimefurahia makala yako ni nzuri inaelemisha inatia ujariri nimelia kwa mara ya 3 tena kuhusu Mawazo
  10. M

    Wachimbaji wadogo waliofukiwa Nyangalata, waokolewa wakiwa hai baada ya kukaa siku 41

    Mungu mwema ila kuna mambo mengine tunafanya uzembe kwa kweli kama watu walikuwa chini ya arthi na hakuna juhudi zozote za kuwaokoa zilizo fanyika kama sio huyo mtu aliye kwenda kufuata pump ingekuwaje.
  11. M

    Uhakika wa Lowassa kushinda sasa ni mdogo

    Siamini tanga lowasa kapata asilimia 38 only???
  12. M

    Suzuki Carry inauzwa, ipo Dar es Salaam

    imeingia nchini mwaka gani imetembea km ngapi ni ya mwaka gani pichatuone
  13. M

    Msaada computer yangu imenyeshewa na mvua, Nifanyeje ?

    Kama ilikuwa imezima usiwe na wasiwasi vyifaa vya electronic vya enzi hizi havina shida tafutafundi aifungue aisafishe blower then assembe na kuwasha itapiga mzigo bila shida yoyte ila . Note: Kama upo ukanda wa pwani ni vizuri hio activity uifanya within two day to avoid rust.
  14. M

    Mtaalam wa landscaping

    ok sasa hao si bado wanapiwka watakuwa na utaalamu wa kutosaha ? ila akipata na mimi nahitaji anifanyie kwa gharama ndogo
  15. M

    Nilichokikuta baada ya kupekua chumbani kwa dada wa kazi

    Umefanya jambo zuri na nmimi itabidi nifanye usikute kuna mambo yanatendeka hujui
  16. M

    Kwanini nyumba nyingi Dar hubanduka rangi nje na ndani?

    Mimi hili tatizo kwangu halijatokea ila mtaaalamu wa rangi alinishauri nje nisiweke gypsup powder kwa sababu ukipata maji rangi yote inaharibika / banduka badala yake niweke white cement ila ndani niliweka gypsum powder na tatizo hilo sijaliona na huu ni mwaka wa 5 tangu nipake rangi ila...
  17. M

    Nauza vocha za viwanja vya Gezaulole.

    Habari naomba simu tuwasiliane vipo km ngapi kutoka kigamboni?
  18. M

    madawa ya kulevyia (sembe) vs wahamiaji haramu

    ni kweli ila kwangu mimi nazani inabidi tufanye kitu kama taifa kuhusu hi biashara kila mtu kwa nafasi yake na taifa kwa nafasi yake na kama imesindikana tuambiwe kuwa hii kazi tumeshidwa Sheria za nchi lazima zifuatwe wether we ni jirani au nani wahamiaji haram hawatakiwi lakini je...
  19. M

    madawa ya kulevyia (sembe) vs wahamiaji haramu

    waungwana nimekaa usiku huu nikafikiri na kuona niwashirikishe katika hili jambo . Kwanza taifa lina sumbuliwa na mambo makuuu mawili ambayo ndio yanasikika katika internation media now ambayo ni madawa ya kulevyia na wahamiaji haramu ambao wako mchini katika kimbindi hiki nimeona kampein...
Back
Top Bottom