Search results

  1. N

    Ifikapo 2030 hizi nyimbo za kipuuzi za bongo flava zitaiharibu jamii nzima

    Mi naona ipite sheria zipigwe nyimbo za King Kiba tu mabasi yote :cool::cool::cool:
  2. N

    Aisee Dharau Zimezidi (ujobless kazi sana)

    [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  3. N

    Aisee Dharau Zimezidi (ujobless kazi sana)

    Ukianza kutoka kwenda kwenye mihangaiko akili itabadilika kabisa.
  4. N

    Aisee Dharau Zimezidi (ujobless kazi sana)

    Mbona kazi nzuri tu hiyo? Fanya tu wakati unajitafuta bhana.
  5. N

    Aisee Dharau Zimezidi (ujobless kazi sana)

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ni muhimu sana kuwa na ndoto. Ila usiende kuwa jobless kule. Utachanganyikiwa. Kimsingi tafuta kazi yoyote uwe unatoka jioni. Hata kama ngumu komaa. By the way kuna kazi ya mgahawani kuhudumia chakula Makumbusho kule. Jaribu kufanya ukishindwa piga chini...
  6. N

    Wapi naweza kupata mkopo kausha damu

    Wanakaba hatari [emoji3][emoji3]
  7. N

    Wapi naweza kupata mkopo kausha damu

    [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Bila simu kibao hamrudishi nyie.
  8. N

    Basi gani linalotoka Mbeya kwenda Masasi/Mtwara?

    Ila tuta ilimokuwa imepita reli lipo baadhi ya sehemu
  9. N

    Wapi naweza kupata mkopo kausha damu

    Nenda EFL wako Sinza. Au njoo nikupeleke.
  10. N

    Mbeya: Uzembe wa Hospitali ya Rufaa Kanda umesababisha kifo cha binti huyu

    Stori zingine zinatia uchungu sana aisee [emoji24][emoji24][emoji24]
  11. N

    Utapeli unaofanywa na Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu kwa sababu ya uoga na uzembe wa waajiri wetu

    UTAPELI UNAOFANYWA NA HESLB KWA UZEMBE NA UOGA WA WAAJIRI WETU 1. Mtu ulimaliza kulipa mkopo wa elimu ya juu miaka kumi iliyopita (2012) 2. Mwaka 2023 unapata barua kutoka kwa mwajiri wako kuwa unadaiwa na HESLB utaanza kukatwa mshahara kulipa deni hilo. 3. Ukiwa bado unajadili na mwajiri...
  12. N

    Soda ya Coca-Cola zimekuwa mbaya sana

    Mi nilijua coca zimeanza kunikataa manake kila nikinunua siwezi kumaliza chupa moja wakati kawaida nakunywaga mbili ndio natosheka.
  13. N

    Ni ipi siri ya Wachaga kuwa kabila lililoyaacha makabila mengine mbali mno kwenye mafanikio?

    Hao jamaa wana bidii ya kazi hakuna mfano. Kitu chochote kinachoingiza hela anafanya, na anaweza fanya hata masaa 20 kwa siku (kama wajapani). Mpe hata jiko la mishikaki tu uone bidii yake. Kitu kingine wana nidhamu ya fedha kupitiliza. Pia hawapendi kumtegemea mtu, kila mtu anataka asimame...
  14. N

    Mambo yaliyonishangaza katika mikoa ya Mbeya na Songwe

    Atakuwa alikuja Nzovwe hizo vitu sisi tunaswaga tuu haturembi. Kuna viwanja Mwanjelwa huko Soweto na Sai vya level unazotaka. Nenda huko. Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
  15. N

    Mkoa wa Ruvuma ni mkoa unaopakana na nchi ya Msumbiji na Malawi

    Ukiwa unaongea sana lazima uwe na majungu. Wale watu wanachonga aisee. Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
  16. N

    Platnum Credit wanidhulumu

    Nendeni EFL riba ni nafuu sana. Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
  17. N

    Kuna muda unaweza kuishiwa pesa hadi ukatamani kumkopa mdada wa kazi

    Na hii inasababisha kuwa umefulia kila siku. Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
  18. N

    Kuna muda unaweza kuishiwa pesa hadi ukatamani kumkopa mdada wa kazi

    Unaweza kufulia mpaka ukatapeli. Nakumbuka kuna siku tumewahi kuazima magunia ya kuhifadhia mahindi kwa jirani yetu tukaenda kuyauza ili wiki isonge. Ila tulivopiga mishe tukanunua tukamrudishia. Mpaka leo hajui tuliazima ili tukauze. Alifikiri tumepata mazao ya kutosha mpaka magunia hayatoshi...
Back
Top Bottom