Kiukweli watanganyika akili zenu weng zimefanana na unyerere si mnakumbuka nyerere alisema angekuwa na uwezo angevisukuma visiwa hivi bahari ya mbali?lakini vimemshinda sasa kaenda yeye yupo ardhi ya mbali,msizani mungu alikosea kuumba tanganyika kwake na visiwa kwake,hatuutaki muungano hata...
Naona mnajidhihirisha ya kuwa tanganyika ijiitayo tanzania inaongozwa na catholic church movement kutoka vatican italy,basi msiwe na wivu kuiona zanzibar ikijiunga na oic,tumechoka kuwa masikini kwa kulichangia kanisa,zanzibar daima.
Hongera mkuu,nadhani umetumia darubini kali kwenye hii issue,watanganyika wengi hawajui ccm inavyo tawala hapa tanzania na pia hawafamu vizuri neno mapinduzi daima.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.