Search results

  1. Manta

    Makampuni ya Simu za mkono na DSE

    Frost prediction / forecast on telecom growth in East Africa....
  2. Manta

    Makampuni ya Simu za mkono na DSE

    Could this be a windfall in earnings .... or recipe for disaster in telecom industry?.... Good news is there good numbers of share holders in telecoms companies ready to sell shares in the stock market, hence good news for individual investors interested to buy shares at DSE.
  3. Manta

    CONFIRMED: January Makamba kugombea Bumbuli

    January Makamba ameanza kampeni za uchaguzi huko Bumbuli kabla ya muda wa kuanza kampeni kufika. Jana mwenyekiti wa CCM ametowa order kama ilivyo hapo chini. Nafiki Mzee Makamba inabidi aanza na kijana wake kumpa adhabu ya kukiuka agizo la chama kuanza kampeni kabla ya muda. Just...
  4. Manta

    Makampuni ya Simu za mkono na DSE

    A bit old news but informative.... interesting to note that managers of the mobile phones companies were lobbying to block the bill. I mean they made profit for some years and they don't want to float shares for wabongo to invest into?
  5. Manta

    Makampuni ya Simu za mkono na DSE

    Mdondo Hoja wanazotowa kina Vodacom Zain n.k ni kwamba kulazimishwa kujiunga DSE ni kuingilia biashara huria kwa sababu wao ni private companies. Kwa upande mwingine haya makumpuni yanauza shares masoka mengine nje ya nchi. The bottom line wanataka kuchuma tuu huku bongo na kuendelea...
  6. Manta

    Makampuni ya Simu za mkono na DSE

    Kuna hoja kwamba kulazimisha makampuni ya simu za mikononi kuingia kwenye soko huruzi (DSE) ni kuingilia maamuzi ya makampuni binafsi na inapunguza ushindani wa kibiashara. Kwa maoni yangu hoja hii haina nguvu kwani makampuni haya yanauza shares zoa kwa masoko huzia ya nje. Nafikiri uamuzi huu...
  7. Manta

    Mahanga kaanza je ndiyo mwanzo wa ukweli kujulikana zaidi?

    Pengine kitabu hichi hapa chini ni PhD Thesis ya Dr Makongoro Source: http://www.africanbookscollective.com/books/urban-housing-and-poverty-alleviation-in-tanzania
  8. Manta

    Public fury halts biofuel onslaught on farmers

    I wonder if there has been a thorough impact assessment on the visibility of jatropha farming. It is interesting to note most of foreign companies investing in biofuel, they export the main product (fuel) abroad. We are only left with by products like biomass (mbolea) and briquettes to make fire...
  9. Manta

    Obama awarded 2009 Nobel Peace Prize

    Reaction on the Obama's prize, majority seem to agree with selection for the winner of 2009 Noble prize for peace
  10. Manta

    Obama awarded 2009 Nobel Peace Prize

    A surprised winner of Noble Prize for peace... the brother is very lucky and more Source http://www.thaindian.com/newsportal/world-news/obama-wins-nobel-peace-prize-for-2009_100258276.html
  11. Manta

    Lowassa Kuanzisha ABC Television Arusha

    Nitashangaa TCRA wakitowa leseni kwa jina ABC TV kwa sababu jina hili tayari linatumiwa na kampuni kubwa ya TV USA, inaitwa ABC a well established company http://abc.go.com/
  12. Manta

    Pinda sasa ageukia mavazi awataka Watanzania kuachana na suti

    Wana Jamvi Naona PM hapa ameweka fumbo, pengine mavazi anayozungumzia "suti za bei mbaya" ni zile zinanunuliwa kwa fedha za walipa kodi. Kama nakumbuka vizuri wakati wa Budget ya 2009, State house wamepewa fungu la mavazi & viburudisho, mapesa mengi tuu. Hizi suit za JK anazobadilisha kila...
  13. Manta

    Kashfa nzito ya vigogo ATCL

    Hili swala la ununuzi wa 'mashangingi' PM na JK wamelipigia kelele kwa muda sasa, kama article ya leo Daily News inavyosema. Hata hivyo wito wa PM kupunguza manunuzi ya mashangingi yaelekea hayafuatwi, kama ni amri ya serikali basi haina nguvu kwani hazitekelezwi na maofisa wa serikali. Hii...
  14. Manta

    Korea yanunua ardhi "kwa mkopo" Tanzania, Serikali yasita kuthibitisha

    4. Pamoja na wajumbe wetu kuwa na jetlage, walipewa "lishe bora" na "mvinyo wa kutosha" hivyo kuwafanya 'laini' kufikia makubaliano ya mkataba. 5. Wajumbe wamerudi nyumbani, jetlag imekwisha na wamezinduka kwenye hangover ya mvinyo, sasa wanaona madudu waliyofanya...denial game is taking over
  15. Manta

    Korea yanunua ardhi "kwa mkopo" Tanzania, Serikali yasita kuthibitisha

    More news on the land issue.. after development 50,000 hk for locals to farm on their own and remaining 50,000 hk for a Korean company Source: http://www.iol.co.za/index.php?set_id=1&click_id=87&art_id=nw20090924084905703C603651
  16. Manta

    Korea yanunua ardhi "kwa mkopo" Tanzania, Serikali yasita kuthibitisha

    Pwani province.. 100,000 hectares for Korean to show us how to farm Source The Korean Herald http://www.koreaherald.co.kr/NEWKHSITE/data/html_dir/2009/09/24/200909240088.asp
  17. Manta

    News: S Korea agrees Tanzania land deal

    Wana jamvi Naomba kuwakilisha habari toka BBC.... yaelekea safari ya PM kule Korea ni katika mchakato mzima wa ajenda ya 'Kilimo Kwanza" Je hi deal itafanikisha ajenda ya Kilimo Kwanza?
  18. Manta

    Loliondo, OBC, Dowans: The disturbing connection and secrets

    Sad story about the abuse of our own people in their own mother land....shame to the government they have not yet reacted now DONOR countries are making noise. I am surprised this question was not raised in the recent JK live question and answer TV show.... or was the show censored for sensitive...
  19. Manta

    Maamuzi ya NEC ya CCM na Hatima ya Spika Sitta

    "Bunge lenye meno" Kwa wale wanapenda habari zaidi juu ya hili tembelea http://www.awepa.org/partners/bunge-lenye-meno-a-parliament-with-teeth-for-tanzania_en.html unweza kuomba nakala. vile vile blog hii inaonyesa lounching ya hicho kitabu...
  20. Manta

    Obama in Ghana

    In Swahili, Obama's speech in Ghana
Back
Top Bottom