Search results

  1. P

    Makanisa sita yachomwa moto Bukoba

    Mungu saidia TANZANIA, saidia na watu wake
  2. P

    Vodacom tuoneeni huruma, mtatupoteza wateja wenu...

    kesho naenda kununua line ya TIGO Na AIRTEL, vODA baibai :rockon::rockon::rockon::rockon::rockon::rockon:
  3. P

    Vodacom tuoneeni huruma, mtatupoteza wateja wenu...

    nalo neno sasa mtoto wakafuku nilifukuzwa shule kisa nilikosa ADA nitafanyaje miye :A S 576: :A S 576:
  4. P

    Vodacom tuoneeni huruma, mtatupoteza wateja wenu...

    kaka unajikuta haujajiunga na chochote lakin unavyokatwa kunasiku nilikuwa kwenye gari nusu ya abiria wanalalamikia voda
  5. P

    Vodacom tuoneeni huruma, mtatupoteza wateja wenu...

    wadau mm natumia nokia ya TORCH (mulika mwizi) siyo smart phn wadau
  6. P

    Vodacom tuoneeni huruma, mtatupoteza wateja wenu...

    inanisikitisha sana voda mnatuibia sana jaman watu milioni moja wakiibiwa mia mbili tu jaman ni sawa na Tsh 200,000,000. Jaman voda mnapiga zaidi ya ESCROW
  7. P

    Vodacom tuoneeni huruma, mtatupoteza wateja wenu...

    Katika hali ya masikitiko nilikuwa nasikia tu kutoka kwa watumiaji wenzangu kwamba mtandao wa voda umekuwa mtandao usiojali wateja wake na unaendelea kuwanyonya kwa kuwaibia japo vivocha vidogo ambavyo wateja wao wanaviweka. Binafsi nimekumbana na hilo pale nilipokuwa na shilingi elfu moja na...
  8. P

    Uchaguzi wa CHADEMA Jimbo la Mbulu leo tarehe 19 July 2014

    hapo imekaa vzr harakati mwanzo mwisho.......................................................
  9. P

    Bariadi: Uongozi wa vijiji viwili watelekeza ofisi na kujiunga CHADEMA

    lazima wakubali mwaka huu chadema ngoma nzito mwaka huu
  10. P

    Sitta avunja kanuni kumhujumu Warioba. TBC wahusishwa, UKAWA waja juu

    bethlehem hebu tambua sheria ziliwekwa ili zifuatwe km alikua aanze mzee wa kaya km sheri au utaratibu ulivyosema swala la dharura wajumbe wangejuzwa tu hizo ni rafu tulizokwisha zoea na unaingiza jambo la kalenga kwenye jambo muhimu linaloongelea mstakabali wa taifa cyo poah pengine hata...
  11. P

    Sitta avunja kanuni kumhujumu Warioba. TBC wahusishwa, UKAWA waja juu

    kababu tatzo zimechezwa rafu nyingi kwenye sheria na kanuni nyingi zinazoongoza mchakato huu
  12. P

    Sitta avunja kanuni kumhujumu Warioba. TBC wahusishwa, UKAWA waja juu

    Katika hali isiyotarajiwa na wengi Wabunge wa Bunge maalum la katiba wamezomea jioni yaleo na kusababisha bunge maalumu la katiba kuhairishwa pale aliyekuwa Mwenyekiti wa ukusanyaji wa maoni ya wananchi jaji Warioba kufika jioni ya leo nakutaka kuwasilisha rasimu ya katiba;iliyopelekea...
  13. P

    Yaliyojiri Bungeni Dodoma: Alhamisi Tarehe 13 Machi 2014 - Uchaguzi wa Makamu Mwenyekiti

    Katika hali isiyotarajiwa na Wabunge wengi na Watanzania kwa ujumla Mbunge wa Bunge la muungano pia mbunge wa Bunge maalum la Katiba AMINA ABDALLAH AMOUR; ametoa siri kwamba ameachika wakati akijinadi kwa wajumbe wa Bunge maalum wa Katiba akiomba ridhaa ya kuwa makamu mwenyekiti wa bunge la...
  14. P

    ....Toa maoni yako kupitia picha hii !!!!!

    ctaki kuamini ninayoyaona kwenye hyo picha ni kile chama changu kinachoongozwa na mshua
  15. P

    Jama nina HKL je naweza chaguliwa kidato cha tano

    yani hapo bado jamii inasubiri ufafanuzi toka baraza mdogo wangu coz huu mfumo ni mpya
  16. P

    CHADEMA hawana Ikulu wanarusha chopa tatu angani kujenga chama, wakichukua nchi itakuwaje?

    mchlmmnl2 Aibu hauoni unaleta post za kudanganya watanzania tumeshanyanyaswa masahiibu mengi leo unaleta stori zisizo na mashiko kwa taarifa yako na umma kwa ujumla; =vipaza sauti na vijineno vingine ulivyovisema havihusiani na cdm makao makuu;bali ni wadau na wapenzi wa cdm katika...
  17. P

    DODOMA; Mh Kombo Khamis Kombo amuomba mh Spika hawaruhusu Waheshimiwa Wabunge walie kwa dakika mbili

    kiukweli spika angelicha bunge limwage machozi tungeingia kwenye kitabu cha maajabu ilka nafurahi kuzaliwa Tanzania Twiga wanasafirishwa kwenye ndege Jamani TANZANIA YANGU nakuonea huruma :A S cry::A S cry::A S cry::A S cry::A S cry:
  18. P

    DODOMA; Mh Kombo Khamis Kombo amuomba mh Spika hawaruhusu Waheshimiwa Wabunge walie kwa dakika mbili

    mwa 4;cyo kwamba hana lakusema ila mambo hayafahi ni aibu tupu
Back
Top Bottom