Search results

  1. T

    Simba wasipomaliza nafasi pili, Je watashiri kombe gani?

    Watashiriki kombe atakaloshiriki Yanga
  2. T

    Nataka kuuza nyumba, viwanja, gari na vitu vyote vya ndani nirudi bara kuanza upya kutoka Zanzibar

    Hizi Dini tumeletewa tu na wala hakuna Dini itakayompeleka mtu mbinguni, kwanza asilimia kubwa hatujachangua Dini tuliyopo tumefata Dini za wazazi wetu Mimi nikifika maeneo Kama hayo na nikaona salama yangu ni kubadili Dini Hata sijiulizi Mara mbili.
  3. T

    Huyu Mwanamke tangu alipokuja kwangu kang'ang'ania kukaa hataki kuondoka

    Mbadilishie kitasa Cha mlango, mizigo yake weka nje, potea Wiki Nzima, ukirud, unaingia kulala mida ishaenda. Mkodishie Askari aje amtoe. Mimi naona kinachokusumbua ni upole wako, hapo mlipofikia ni roho mbaya tu Ndio inatakiwa.
  4. T

    Lema awataja Mawaziri wanaomtukana Rais Samia

    Mimi nadhan Chadema walitakiwa kukaa kimya waache ccm watifuane, wavurugane. Kwa namna wanavyoingilia sakata likiwa linaanza wanawaamsha CCM kuchukua tahadhari kwenye migogoro yao Kwan wapinzani wanaitumia kisiasa, Chadema wangeacha moto uwake kwanza
  5. T

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Uliwakilishaje taifa na ndosti? Hapo ni kama hujapiga tu
  6. T

    Daktari alifanya nikampoteza mchumba wangu Mercy

    Kama mmekubaliana na mage kufunga ndoa fanyeni haraka, hicho Ndio kitamfanya mercy apunguze kukusumbua. Kwa Sasa anaamin anaweza kupindua meza maana hamjafunga ndoa. Funga ndoa fasta umsaidie na mercy aanze kumove on bila wewe
  7. T

    Nahisi nina gundu maana sipati mpenzi

    Acha kujiona na kuchagua Sana, jishushe uchukue vya chini kwanza utolee gundu, nyota ikishang'aa Ndio uanze kuchagua. Anzia chini mkuu
  8. T

    Kuna tofauti kati ya VAR na Goal Line Technology

    Mkuu, kule kwenye chumba Cha VAR Kuna marefa pia sio wataalam wa IT tu, na wapo Zaid ya watatu washirikishana kabla ya kutoa maamuzi hivyo refa sio lazma kwenda kujihahakikishia, Mara nyingi refa anaenda kuhakikisha tukio ambalo hakuliona Au marefa wa VAR wamesema tofauti na alivyoamua. Mfano...
  9. T

    Utabiri: Simba Vs A Ahly, Simba atafungwa goli chini ya 3 Yanga atapata sare

    Kama umegoma kurudi, sisi tunaondoka na "marudiano kutakua na mshangao....... Miracle will happen. Tusubiri Yanga afanye maajabu, tukikosa yatatokea Kwa Simba
  10. T

    Ukitumia internet vizuri kufanya utafiti wako binafsi utagundua Uchawi haupo. Hakuna mganga wala nabii atakayekutapeli. Wajinga ndio waliwao

    Wenzetu nje siku hizi wanatoa degree za magic and superstitious Au wizard , najiuliza kozi hiz wanafundishwa Nini?
  11. T

    Mwanamke kuumwa na tumbo nikitoka kujamiana nae

    Inawezekana huwafikishi, baadhi ya mademu wasipofika huumwa tumbo baadaye
  12. T

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Kwamba?
  13. T

    Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

    Salah asingeenda afcon angekua anaongoza
  14. T

    Ubalozi wa Tanzania uliopo Afrika Kusini ubadilishwe, kwa Miaka sasa amna kitu wanafanya

    Safi Sana mkuu, tusaidie na mawasiliano yako Kama itakupendeza, Kuna watoto wa kituo chetu Cha michezo walikuja majaribio huko na wakafaulu ila utapeli unataka kufanyika. Naomba mawasiliano Yako Maana siwezi kuweka Kila kitu wazi hapa
  15. T

    Kanali mstaafu wa JWTZ analipwa Pensheni 22,000/= na Jenerali analipwa 50,000/=

    Miaka ya nyuma nilikua mkuu wa shule ya serikali yenye kidato Cha 1-6, Kuna kipindi alikuja mtoto wa Generali mmoja maarufu Sana, nadhan ni maarufu kuliko wastaafu wote wa jeshi, alipigana vita ya pili, mau mau na Ile ya Uganda. Cha kushangaza mtoto wake hakuwa na michango yote japo michango...
  16. T

    Nimeenda kikao cha shule na gari yangu Subaru Forester, walimu wakanishangaa

    Mkuu ulikua magu, Karibu na ukumbi wa CCM? Niko sure Hukuwa makini Au hukuona gari zote Au nyingine hukujua Kama gari za walimu. Ile DCM ulijua Kwa kuwa imeandikwa Jina Nyamilama sek, zilikuwepo Subaru, kluger NK Tena Mpya kabisa namba EF
  17. T

    Nimeenda kikao cha shule na gari yangu Subaru Forester, walimu wakanishangaa

    Zipo shule za Sekondari kubwa, Zina Hela, wakuu wanatengeneza zaidi ya m100+ Kwa mwaka.
  18. T

    Mnadili vipi na mwanamke ambaye ni careless

    Wanawake wa design hiyo hawapendi kuambiwa ukweli hasa muda aliofanya kosa, hivyo jipange umwambie usiku mkiwa mmerelax umetoka kumgonga ama siku umemtoa out, usiongee Naye Kwa kufoka, ongea Naye Kwa upole na hekima. Pole sana
Back
Top Bottom