Naombeni kujua shida nini, gari kama hiyo inapoteza nguvu. ukiwa kwenye mwendo ghafla unakutana na hali ya gari kukosa nguvu mfano wa kuzibwa pumzi au wewe unakanyaga mafuta na mwingine anakanyaga break.
naomba kujua inasababishwa na nini na utatuzi wake ni nini?
Gari ni Nissan HardBody
Engine...
Mkuu hili bandiko limekaa vyema. Kujitambua ni jambo jema sana katika maisha haya tunayoishi.
Niongezee kidogo.
MIT. 1:7 SUV
Kumcha BWANA ni chanzo cha maarifa, Bali wapumbavu hudharau hekima na adabu.
SUV: Swahili Union Version
kwa lugha ile ya Bibi inasema hivi.
Proverbs 1:7 King James...
Sema Qurana ni maneno ya Allah!
Ila yanahalalisha kumpiga miti binti ulyezaa nje ya ndoa(Kula kuku na mayai yake) na pia Huko Jennah chochote unachokitaka unakipata kufumba na kufumbua. Hivyo huko hakuna kikwazo hata huyo mamako unaweza mtemezea moto ruksa!!
Hata Shetani hujigeuza malaika wa Nuru apate kuwahadaa wanadamu!
Vema kama walitambua hilo kwa 100%.
Kuhusu Mungu anawaonaje, anafurahia na je, anawa treat namna gani machoni pake? Huu ni mjadala mwingine. Ila kwa kifupi tu. Wote ni viumbe wake na kwake mtarudi na kupimiwa kwa kiwango sawa na...
Unaposema tusijadili WATU, kwani hivyo vitabu wanatumia MBUZI KUABUDU? Mbona unakuwa kama siyo Muislam?
Swali langu kuhusu imani yako ndio linanipa uwanja mpana wa kukupa jibu kulingana na kile unachoamini. Kinyume na hapo huwezi kubali jibu langu sawa na ilivyo sasa! Maana tayari wewe unajibu...
Hakuna kejeli hapo.
Nimekuuliza swali la msingi sana. ili nikikujibu nikujibu kwa kile unachoamini ili unielewe.
Jibu lako limekuja la hovyo. Hiyo ndiyo size ya jibu lako PERIOD!.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.