Search results

  1. Kamsweetie

    To Lara 1...

    Nisaidie kumbembeleza basi please....
  2. Kamsweetie

    To Lara 1...

  3. Kamsweetie

    Ze my English is sweat

    boy: took you my pen? girl: no i tookn't!
  4. Kamsweetie

    Ikiwa namba yako ya simu inaishia na mojawapo ya hizi hapa.

    JF should create a button ya "DISLIKE"
  5. Kamsweetie

    Top ten wonderful names from Tanzania

    Zingua Ngonyani - masista 1993 watamkumbuka!
  6. Kamsweetie

    DAR WING -wa WHITE PARTY

    Nimekupata lara 1, its now a sealed deal! Can't wait for the party.:cheer2:
  7. Kamsweetie

    DAR WING -wa WHITE PARTY

    Poa (just to note am a SHE):glasses-nerdy:
  8. Kamsweetie

    DAR WING -wa WHITE PARTY

    lara 1 umenifurahisha walah nimecheka at least kibaridi kimepungua! ni PM nikukopeshe masharti na vigezo kuzingatiwa lakini
  9. Kamsweetie

    DAR WING -wa WHITE PARTY

    Unaniangusha best, si umshtue yule rafiki yako baba nanihii! LOL:becky:
  10. Kamsweetie

    Nilitaka kumuua mke na mtoto wa 'my best friend' kwa risasi!

    Nimegundua kitu, moja wapo ya resolutions za CHAI CHUNGU ilikua ni kutupia post nyingi iwezekanavyo mwaka huu 2013 na kweli anatimiza hilo! Hongera sana:A S 41:
  11. Kamsweetie

    Mapenzi noma... Mapenzi ya uizi matamu. Mwisho wake nini???

    1. Mko wangapi kwenye limtandao lenu? Tulizaneni. 2. hhehheheh nacheka mbavu sina hapo kwenye bold...ndio anavokudanganya? Angemuoa in the first place? 3. Ushauri wangu - achaneni na hao spouse wenu oaneni muone kama na nyinyi mkiwa pamoja 24/7/365 kama mtaendelea kuivana hivo hivo!:mad2:
  12. Kamsweetie

    .Nasikia kizunguzungu

    Kasimu usivute mto wangu = Katelephone don't smoke my river :hippie:
  13. Kamsweetie

    Natafuta mke nina 40yrs

    pole maskini ni PM
  14. Kamsweetie

    Makosa wayafanyayo wanaume wawapo kitandani na mpenzi mpya...!

    Mh lara 1 kwenye swala la usafi hapo mwenzangu muhimu - utakua hujawahi kukutana na kituko (nje bonge ya brotherman ila harufu ya mdomo ka papa kaoza)! walah hata kama umelewa pombe yote inakata ghafla na ashki ndio inaisha kabisaaa unaanza siku zako hapo hapo!
  15. Kamsweetie

    Nahitaji msaada wa maombi yenu.

    Pole sana, unaweza kuwa unamuongoza ama kusema wote sala hii fupi nina imani atapona tu mkimtumainia yeye aliye juu, pamoja na kumpeleka kuombewa pia jitihada zenu ni muhimu: Moto wa Roho Mtakatifu x7 Damu ya Yesu x7 Katika jina la Yesu x3 Baba wa Mbinguni ninakushukuru kwa kuwa ulisema katika...
Back
Top Bottom