Search results

  1. M

    Tanzia: JF tumempoteza Member mwenzetu K007

    RIP KENNY, nakukumbuka kwa ubunifu wako ukiwa Radio Ukweli Morogoro, kipindi chako cha DEDICATION kilikuwa hakina mfano. Umetangulia, twaja nasi!
  2. M

    Makonda: Lowassa hafai kuwa Rais wa Tanzania wala Mwenyekiti wa CCM

    Hata nyinyi: Nkya na Kimwaga hamna haki ya kuitisha mikutano ya waandhishi wa habari kuliongelea hili jambo. Mlichofanya ni kile alichofanya Makonda, hili linatakiwa liongelewe na Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana Taifa, hata hayo mliyotoa si ya Umoja wa Vijana Taifa wala Umoja wa Vijana Morogoro...
  3. M

    Makonda: Lowassa hafai kuwa Rais wa Tanzania wala Mwenyekiti wa CCM

    Mkuu Makonda tafakari hizo sentesi niilizoziwekea rangi. Kwa kifupi CCM haijasema kama imepoteza imani kwa wananchi hata siku moja, mie ndiyo kwanza nasikia toka kwako. Pili, kubeza ziara ya viongozi hao ni pamoja na kutokutekeleza yale ambayo wameibua na kuyapendekeza , kumbe tuangalie ni nani...
  4. M

    Nape aongea na waandishi wa habari leo. Ni baada ya mawaziri aliowaita mizigo kuendelea kupeta

    Pamoja na mchango wako mkubwa wa kutaka kukinusuru chama, bado thamani yako haionekani, hili ni anguko la pili, kujivua magamba sasa mawaziri mizigo, pole sana kiongozi, tunajua una nia nzuri lakini chama kinakuangusha, tangu ulipokuwa umoja wa vijana ulisimamia haki, ukachukiwa, na sasa kile...
  5. M

    Udhalilishwaji huu uliofanywa na Mnyika kwa walimu haukubaliki hata kidogo

    Kwa shida, matatizo, na mzigo wa maisha unawakabili walimu katika Tanzani, wewe nadhani una agenda moja na serikali ya kuwakandamiza walimu. Alichosema Mnyika ndiyo hali halisi ya maisha ya watu hawa muhimu sana kwa taifa na serikali inayojali, sioni udhalilishaji hapo bali ni ukweli kabisa na...
  6. M

    Mwigulu Nchemba - wananchi hawana imani na uteuzi wako/Asha Rose Migiro-anaonekana katumwa

    Naungana nawe katika hili, maana naona ushabiki wa vyama ndio umemkolea badala ya kuangalia taifa, hapa watu hawajadili vyama bali weledi wa hao waheshimiwa, kwa watu walio serious nadhani wangeangalia hilo badala ya kushabikia vyama. Taifa litaangamia kutokana na ushabiki tuuuuuuu usio na tija...
  7. M

    Mwigulu Nchemba - wananchi hawana imani na uteuzi wako/Asha Rose Migiro-anaonekana katumwa

    Mkuu mbona unanitisha maana kama hakuna kitu hicho sasa unafikiri tuko salama kama taifa? Hao viongozi wabadhilifu wanaponaje kama taifa likiwa si salama? ama kupitia usalama wao na yaifa linakuwa salama? Ninavyojua katika idara zote na hata majeshi, bila idara hii nyeti basi taifa liko...
  8. M

    Mwigulu Nchemba - wananchi hawana imani na uteuzi wako/Asha Rose Migiro-anaonekana katumwa

    Asante Mkuu, kumbe ndivyo ilivyo, basi kumbe hatuna sababu ya kushangaa teuzi mbalimbali maana kumbe mfumo wa vyama vingi Usalama wa Taifa hawahusiki kabisa. Looh, inasikitisha saana, sitoshangaa siku moja tukaona watu tusiowafahamu wakashika nyadhifa muhimu katika nchi. Kutohusisha Usalama wa...
  9. M

    Mwigulu Nchemba - wananchi hawana imani na uteuzi wako/Asha Rose Migiro-anaonekana katumwa

    Zamani baba yangu alipokuwa katika "System" alinisimulia kuwa teuzi zote za viongozi Mwalimu alikuwa anazifanya kupitia ushauri wa Usalama wa Taifa na alihakikisha kuwa anapata mtu anayeaminika walau mbele ya jamii, sasa sijui siku hizi kama bado hilo lipo ama ni teuzi zinafanywa na team...
  10. M

    CV YA Jenista Mhagama Naibu Waziri wa Elimu 2014-2015

    Wizara ya Elimu tangu enzi za marehemu Kabeho mpaka sasa inayumba sana, nadhani wataalamu wa maswala ya Elimu pale UDSM inafaa wasaidie katika kushauri teuzi za wizara hii, hakika inayumba sana.
  11. M

    CV YA Jenista Mhagama Naibu Waziri wa Elimu 2014-2015

    Sijasikia kama nao ni mawaziri katika serikali tukufu!
  12. M

    Majibu ya maelezo ya Tumaini Makene juu ya Waraka aliojibu

    Mkuu ni kweli lakini mbaya zaidi ni kwa hao wanaodai wanamuenzi Mwalimu kama muasisi wa chama chao lakini hata haya ambayo kayasema huyo wanaodai wanamuenzi hawayafuati. Ni propaganda tuu, na hata wanapoyatumia ni katika propaganda utafikiri bado tuko katika mfumo wa chama kimoja, hakuna cha...
  13. M

    Ni bora CHADEMA ife kuliko kuvuliwa uanachama

    Mwenye sifa za aina hiyo HAFAI HATA KUWA KIRANJA WA CHEKECHEA, HAFAI HATA KATIKA MFUMO WA VYAMA VINGI, KIFUPI HAFAI KUWA NA CHAMA CHOCHOTE AMA MWANACHAMA WA CHAMA CHOCHOTE!
  14. M

    Dr. Kitila amkana Dr. Slaa

    Mkuu Dr. Kitila, achana na mabishano hasa baada ya kumalizana na cdm, unajua sisi tuliokuwa naawe Southampton tunakushangaa sana jinsi unavyojiingiza katika mambo ambayo yanakushusha hadhi yako kama mwana taaluma, jamaa huku St. MARY'S wanakusikitikia sana kufikia hapo, achana na mambo haya ...
  15. M

    mke wangu anasumbuliwa na lecturer

    Unaweza fanya mambo mawili: 1. Nenda TAKUKURU watakupa mbinu za kumuwekea mtego wa rushwa ya ngono na atashikwa bila mashaka yoyote 2. Omba usahauri kwa Lecturers wengine chuoni kwake ama hata chuo kingine juu ya kulifikisha jambo hilo kwa uongozi. Hii inategemea lakini kama kweli unaona mkeo...
  16. M

    Tuhuma dhidi ya Zitto kuhongwa magari: Nimrod Mkono akanusha!

    Ningeshangaa kama asingekanusha, ila nafurahi hayo magari yote mawili anahusika nayo.
  17. M

    Wapenzi na marafiki wa Zitto - kesho tena mahakamani

    Afadhali kesho mahakama iamue maana tumechoka kusoma habari za Zito na CDM hapa, tuanataka kujipanga sasa kufanya mambo ya maana zaidi kuliko haya. Yanachosha
  18. M

    TAARIFA kuhusu Kikao cha Kamati Kuu ya CHADEMA, kilichomalizika leo Jan 04, 2014

    Mkuu Slaa na Mbowe siyo Kamati kuu wao ni sehemu tu ya wajumbe. Sidhani kama wameharibu, najua watu wengi wanapenda kuona CDM yenye utulivu na umoja kama Chama tegemeo cha kuikomboa Tanzania lakini lazima tukumbuke nidhamu na ukweli usio na hila na unafiki ni muhimu kwa wanachama na viongozi ili...
Back
Top Bottom