Search results

  1. J

    Niuzie smartphone Nina tshs.200,000/=

    Nina laki 2 ninahitaji simu inayovalue mwenye mayo text me 0655398198
  2. J

    Sheria Ya Elimu Na 5 Ya Mwaka 1978

    Wakuu Yeyote Mwenye Kuwa Nayo Pdf Ya Sheria Ya Elimu Na 5 Ya Mwaka 1978 naomba anisaidie.
  3. J

    Tetesi: Nisaidie Kitabu Hiki.

    Jaman Mwenye Pdf Ya Kitabu Cha Chemistry For Secondary School Book 3 Written By Sedrick Magasi.
  4. J

    Je, unataka kulima mazao ya mbogamboga na matunda lakini unakosa maarifa sahihi? Karibu tushauriane hapa

    Mkuu Nikitaka Kupandia Dap Niweke Muda Gani? Siku 3 Kabla,2 Kabla Au Moja Kabla? Au Baada Ya Siku 7 Au Siku Hiyohiyo? Au Na Niweke Kiasi Gani?
  5. J

    Je, unataka kulima mazao ya mbogamboga na matunda lakini unakosa maarifa sahihi? Karibu tushauriane hapa

    Mkuu Habari,baado Nahudumia Kitalu Jumapili Nitahamishia Shambani Sasa Shamba Nimekodi Na Huenda Nikalima Mara Moja Hii Tu,nimepata Samadi Ya Ng'ombe Ya Kutosha Sehemu Sasa Naomba Kujua Umuhimu Wake Kwenye Nyanya,inaongeza Mapato Kiasi Gan Na Kama Kuwekwa Inawekwaje Kwenye Mashimo Na Je Nikiweka...
  6. J

    Je, unataka kulima mazao ya mbogamboga na matunda lakini unakosa maarifa sahihi? Karibu tushauriane hapa

    Mkuu Hili Tatizo Limeonekana Baada Ya Kupuliza Ile Dawa Na Kuna Kitalu Sijapuliza Sijaona Hilo Tatizo Sasa Nitaka Kujua Kama Effect Ya Dawa Inaweza Fanya Miche Ilike?
  7. J

    Je, unataka kulima mazao ya mbogamboga na matunda lakini unakosa maarifa sahihi? Karibu tushauriane hapa

    Mkuu Habari,nimepuli Victory 72wp(mancozeb 64% Metalaxyl 8%) Kwa Lengo La Kuua Fangasi Cha Ajabu Miche Mingi Imelala Nikiinua Na Kuangalia Pale Chini Ni Kama Inataka Kukatika Na Hivyo Inashindwa Kusimama.Sasa Je Ni Kwamba Imeshaharibiwa Na Dawa? Maana Ni Karibu Nusu Ya Yote Iko Hivyo Ukiuangalia...
  8. J

    Je, unataka kulima mazao ya mbogamboga na matunda lakini unakosa maarifa sahihi? Karibu tushauriane hapa

    Hivi mkuu kuna tofauti ya nguvu kati ya ebony 72 wp na ivory 72 wp?
  9. J

    Je, unataka kulima mazao ya mbogamboga na matunda lakini unakosa maarifa sahihi? Karibu tushauriane hapa

    Mkuu Samahani Naomba Unisaidie Mbegu Za Nyanya Za Hybrid Ambazo Zinastahimili Ukame(zisizohitaji) Maji Kwa Wingi Sana
  10. J

    Je, unataka kulima mazao ya mbogamboga na matunda lakini unakosa maarifa sahihi? Karibu tushauriane hapa

    Mkuu Samahani Natamani Nipande Nyanya Ndefu Kwenye Open Space Kama Je Inaweza Kufanya Vizuri Kama Zile Za Size Ya Kati? Au Kuna Madhara Au Faida Gani Kutumia Mbegu Ndefu Kama Anna Na Nyinginezo?
  11. J

  12. J

    Na Hiyo Duduba Inatumikaje? Naomba Msaada Wa Maelekezo Mkuu Na Jinsi Ya Kuitumia
  13. J

    Je, unataka kulima mazao ya mbogamboga na matunda lakini unakosa maarifa sahihi? Karibu tushauriane hapa

    Pia Naomba Kuzifahamu Dawa Zingine Za Ukungu Ambazo Ninatibu Mbali Ya Zile Ulizozitaja Maana Zile Huku Hamna
  14. J

    Je, unataka kulima mazao ya mbogamboga na matunda lakini unakosa maarifa sahihi? Karibu tushauriane hapa

    Mkuu Mchwa Naweza Wadhibiti Vp Shamban? Maana Nimekatua Nataka Kupanda Nyanya Wakati Naweka Mabelt Nigundua Pana Mchwa Sana Nifanyaje? Au Hawana Athari?
  15. J

    Je, unataka kulima mazao ya mbogamboga na matunda lakini unakosa maarifa sahihi? Karibu tushauriane hapa

    Mkuu Habari,naomba Kufahamu Mambo Yafuatayo: 1.Kuna Dawa Inaitwa Swing Sc Nimeambiwa Ni Dawa Ya Kuzuia Mnyauko(wilt) Kwenye Mimea Kwamba Inapulizwa Kwenye Mashimo Kabla Ya Kupandikiza Sasa Naomba Kujua Ni Kweli? Pia Naomba Kujua Ni Kwa Namna Gani Naweza Kuzuia Athar Za Mvua Kwenye Kitalu Cha...
  16. J

    Je, unataka kulima mazao ya mbogamboga na matunda lakini unakosa maarifa sahihi? Karibu tushauriane hapa

    Mkuu Habari,pole Na Ahsante Kwa Elimu Unayotupatia.Naomba Kujua:nimeambiwa Na Wauzaji(East West Seed) Kuwa Kipato F1 inatakiwa kupandwa sm 75 kwa 75 na victory f1 1m kwa 1m sasa naomba kujua athari za kupunguza yaan kwa mfano kipato f1 nikafanya sm50 na victory sm75? na je kuanzia siku yangu...
  17. J

    Samsung galaxy S6 Edge plus for sale

    Nipe Namba Yako Mkuu Nikuchek
  18. J

    Je, unataka kulima mazao ya mbogamboga na matunda lakini unakosa maarifa sahihi? Karibu tushauriane hapa

    Mkuu Habari Naomba Maelekezo Ya Namna Njia Na Taratibu Za Kuandaa Kitalu Cha Nyanya Ile Nipate Miche Bora Na Iote Kwa Ufanisi Mkubwa.
  19. J

    Je, unataka kulima mazao ya mbogamboga na matunda lakini unakosa maarifa sahihi? Karibu tushauriane hapa

    Mkuu Naomba Kufahamu Kuna Utofauti Wa Ubora Baina Ya Mbegu Hybrid Za Nyanya? Kama Upo Ni Mbegu Gani Bora Kuliko Zote? Na Je Ni Kweli Mbegu Hizi Zinastahimili Magonjwa Kama Vile Ukungu,magonjwa Ya Udongo Ya Virus Na Bakteria Ikiwa Ni Pamoja Na Mnyauko? Na Je Nikikamua Mbegu Ya Hybrid Nikapanda...
Back
Top Bottom