Search results

  1. Pilato

    Nafasi ya Scholarship kwa Msichana aliyesoma PCB

    Breaking news ya family Yako sio humu kwenye jukwaa maana inaonyesha ni kwa interest Yako ,why msichana na why ukerewe kwa hiyo akisoma akamaliza ,Bahati mbaya akapata Ajali AKafa ?utatoa tangazo Kama hili tena.?.
  2. Pilato

    Paul Kagame aanza kuweweseka sasa-The reasons behind changes in Rwandan Forces

    Nadhanni Mwisho wake anautengeneza mwenyewe ,alivyokuwa Ana Shida mikopo ili kuwa nyuma sasa kapata kiburi na mikopo iko mbele
  3. Pilato

    Madiwani wa CCM na CHADEMA Nyamagana jijini Mwanza kupiga kura kutokuwa na Iman Meya Wao Mr.Mabula

    Nadhanni Hauko kwenye hoja na uzalendo ,jibe hoja JF senior Expert member
  4. Pilato

    Madiwani wa CCM na CHADEMA Nyamagana jijini Mwanza kupiga kura kutokuwa na Iman Meya Wao Mr.Mabula

    JF senior expert member,nadhanni unaongea kishabiki zaidi yawezekana una Ndoa na Meya husika ,tunataka hoja iendelezwe,Ndoa zenu baadae
  5. Pilato

    Madiwani wa CCM na CHADEMA Nyamagana jijini Mwanza kupiga kura kutokuwa na Iman Meya Wao Mr.Mabula

    Nadhanni babu mkuu atakua amechanganya ila mada itakua sawa na imeeleweka tafadhali wana JF mwenye Mwendelezo anakaribishwa
  6. Pilato

    Madiwani wa CCM na CHADEMA Nyamagana jijini Mwanza kupiga kura kutokuwa na Iman Meya Wao Mr.Mabula

    Uko sawa babu mkuu nadhanni kuna makosa kwa nilivyoelezea ila unaweza kusahihisha pale kwenye makosa kwani hiyo ndio Habari Kamili na hilo swala lipo
  7. Pilato

    Madiwani wa CCM na CHADEMA Nyamagana jijini Mwanza kupiga kura kutokuwa na Iman Meya Wao Mr.Mabula

    Katika Hali isiyokuwa ya kawaida Meya ya jiji Hilo CCM nyamagana Bwana Mabula amenusurika kwenye kura ya Madiwani wenzake ya kutokuwa na Imani na yeye fununu: za kikao cha Mwisho cha Madiwani wa ilemela Kiliamua, kupiga kura hiyo kwenye kikao chao cha Mwisho ndio zilipotokea hoja nyingine...
  8. Pilato

    Aliyekuwa mgombea CCM kata ya Kirumba Jack Masamaki Mbaroni kwa Ujambazi

    Habari hizi Mara Nyingi zinajirudia , ila Ana mahusiano ya karibu na meya aw mwanza meya anamahusiano na samweli sita ,lau masha,Ridhiwani Kikwete,pia jack alikuwa analindwa na matukio Kama hayo na manumba , na inasemekana ,wahusika waliodhurika waliapa kulipa kisasi,pia inasemekana Vijana wake...
  9. Pilato

    Tamko la serikali juu. Ya mlipuko wa Bomu Arusha

    Baba Yako acha hasira nasimamia ili
  10. Pilato

    Tamko la serikali juu. Ya mlipuko wa Bomu Arusha

    katika Hali isiyokuwa ya kawaida serikali ya wanamagamba imeshindwa kabisa kutoa tamko juu ya kile kilichotokea Kule Arusha kulipuka kwa bomu June 15,kwenye mkutano wa Chadema. Zaidi ya hapo ni pale waziri mkuu wa serikali ya wanamagamba badala ya kuonyesha masikitiko yeye Aliotoa Agizo la...
  11. Pilato

    Machangudoa wanaofanya biashara yao sinza wakamatwa

    Ushahidi wa kufanya Biashara Mbona Siuoni? ,wamekutwa wakifanya tendo?
  12. Pilato

    Lowasa usiponzwe na umaarufu kama raila odinga

    Hadi sasa hakuna shaka juu ya UMAARUFU wa Mbunge wa Monduli Mh. Lowasa katika harakati zake mbalimbali za kisiasa na hata utendaji wake kazi ambao unakumbukwa kwa ushupavu wake wa kufanya maamuzi ya manufaa katika kutimiza nia Njema kwa wananchi wenye Hali mbalimbali. Mfano ameshiriki katika...
  13. Pilato

    Ni sahihi kwa wapangaji wa NHC kuuziwa nyumba kwa kigezo kuwa wamekaa muda mrefu?

    Wauzie ukweli tayari wamechangia asilimia kubwa ya shirika kufikia hapo walipo
  14. Pilato

    Dadake mbunge Munde Tambwe (CCM) akamatwa na dawa za kulevya!

    Mbunge Kama huyu atawezaje kusimamia na Kukemea Madawa ya kulevya.?
  15. Pilato

    Kwa matokeo haya ya kidato cha nne Kawambwa anasubiri nini ofisini?

    kawambwa asilaumiwe ana muda mfupi na wizara , uozo wa wizara alikabidhiwa tayari ukiwa hauna tiba , tusilaumu tone la maji katika bahari , kuna mambo ya msingi kabisa ambayo yanapaswa kutizamwa ikiwa nyongeza mishahara kwa walimu na motisha hayo mengine tusidanganyane yalikuwepo na...
  16. Pilato

    MH. Nchimbi wengi wanahitaji ukamilishe ulichokiomba kwa Mh. Rais..!!

    Nasikitishwa na kauli ya waziri wa serikali ya zanzbar Bwn. Seif .S.Hamad kwa kulaani ujio na juhudi za mh. Nchimbi kwa tukio la mauaji ya Padre na uchomaji makanisa pale Zanzibar Mtu yoyote na waziri yoyote wa SMZ Tuwashangae ikiwa wanahoji ujio wako pale Zanzibar ,na nchimbi aanze na hao...
  17. Pilato

    Waziri Nchimbi alaaniwa na Wazanzibari! Maalim Seif amjia juu...

    Wewe na waziri wako ndo tukushangae,nchimbi aanze na wewe inaonyesha unajua kiini au huyo kiongozi anayemlalama nchimbi awajibike , ukweli nchimbi kawagusa na kajua ukweli sasa ndo mana mnapinga juhudi zake ,ngoja mkianza kukamatwa na CIA, au mashirika ya nnje n ya kijasusi ndo mtajua aibu zenu...
  18. Pilato

  19. Pilato

    Matokeo ya Kidato cha Nne 2012 NECTA (CSEE)

    waislam wamefaulu wangapi na wakristo wangapi , labda twende hivyo ndo itakuwa sawa!
  20. Pilato

    Waziri Nchimbi alaaniwa na Wazanzibari! Maalim Seif amjia juu...

    [I]Lakini tumeshangazwa sana kusikia kauli ya Waziri wa Mambo ya Nchi, Dr.Emmanuel Nchimbi kutoa hukumu kabla ya hata upelelezi. Nchimbi umesema kuwa tukio hili ni la kigaidi. Hapo tayari umeshaamua na kutoa fatwa. Sasa ina maana gani kusema kuwa upelelezi utaendelea au hadi kufikia kusema kuwa...
Back
Top Bottom