Search results

  1. S

    Serikali yashindwa kulipa mishara ya mwezi wa kumi

    kuhusu mishahara naomba wafanyakazi mkae kimya kabisa. maana hamkurazimishwa kuichagua serikali hii. Namkiendelea kupiga kelele tutaonana wabaya bure.
  2. S

    Serikali yasalimu amri fao la kujitoa

    Hatuwezi kufurahi sasa vivi !!!!!!!!!! mpaka mswaada uingie bungeni na ufanyiwe marekebisho. Lakini tamko, laweza kuwa danganya toto
  3. S

    Maandamano ya waislamu yazuiwa

    By Majita Kova hawezi kupanda cheo zaidi ya hapo alipo.Uwezo wake mdogo mno kwanza najiuliza hapo kafika fikaje Kama humjui vizuri kamanda KOVA jaribu kuandamana temu hii uone. Atakulenga za kiunoni.
  4. S

    Tanzania na mifuko lukuki ya hifadhi ya jamii

    Salamu wakuu! Kwa uchunguzi wangu wa haraka, Tanzania huenda ndiyo nchi inayoongoza duniani kwa kuwa na mifuko mingi ya hifadhi ya jamii. Ifuatayo ndiyo mifuko ya hifadhi ya jamii hapa JMT: NSSF, PPF, LAPF, PSPF, GEPF. Kutokana na mlolongo huu wa mifuko ya hifadhi ya jamii, kumetokea tofauti...
  5. S

    Gazeti RAI laishambulia CHADEMA

    Hata kama ukitumia HCL ACID & NITRIC ACID huwezi kumtakatisha huyu, anamagamba magamba magumu sana.
  6. S

    Utumwa makampuni ya madini

    kuna urazima wa kufanya maandano kama SA
  7. S

    Ijumaa iwe siku ya mapumziko: Nini ushauri wako?

    jamani hibvi hawa jamaa watakuwa wajinga hata lini? Hawajui kuwa serikari yetu kuwa haina dini !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
  8. S

    Kuchelewa kwa Mishahara ya watumishi wa umma mwezi October 2012

    Samahani watumishi wa umma, huenda pesa ya mishara yenu ilitumika kwenye ziara ya mkuu huko Oman. Subilini dicember!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
  9. S

    Manispaa ya Arusha yatumia Milion 25mil kuwalipa Origino comedy ili kujaza watu mbele ya JK

    Hizo pesa nijasho la walalahoi au nipesa za ccm? Naomba jamani wana JF mlio karibu mtujulishe!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!:target:
  10. S

    Diwani wa CHADEMA Gibson Meseyeki auza Kata kwa CCM........

    Bulula usilo lijua litakusumbua, tuachie chadema tujitathimini wenyewe !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
  11. S

    Chadema watowa kichapo cha mbwa mwizi kwa wanaccm.ccm nan wamtowa nundu mwanatakukuru

    Lakini baada ya uchaguzi matokeo ya udiwani yalikuwaje tunaomba utujuze!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
  12. S

    Hofu yatanda Ukerewe

    Hamieni visiwa vya Ukara huenda mkasarimika:target:
  13. S

    Hatimaye Fao la Kujitoa Limeruhusiwa.

    Na ole wao wakitutania patachimbika
  14. S

    Fao la kujitoa mifuko ya Hifadhi ya Jamii kurudishwa

    Hayo madni yao hayatuhusu. Watalipa wenye magamba
  15. S

    Fao la kujitoa mifuko ya Hifadhi ya Jamii kurudishwa

    Magori hana uwezo wa kutusemea sisi.Ashangaa tarehe nane siku ya mswaada tunaingia mjengoni kuitetea haki ye wenyewe . Na ole wao wathubutu kutunyima haki patachimbika.
  16. S

    ofa ya vodacom Super cheka ni usanii mtupu

    Nivizuri waziri wa mawasiliano achukuwe hatua za kishelia kama alivyo fanya waziri wa DRC kwa makampuni yote ya simu .maana hapa Bongo tabia za mkampuni ya simu zinafanana
  17. S

    Angekuwa mkristo mngechoma makanisa?

    Iweni na huruma kwani mwenye uwezo wa kuhukumu kwa haki ni MUNGU pekee
  18. S

    Bunge la anza kesho Dodoma - je muswada wa fao la kujitoa katika mifuko ya hifadhi ya jamii vipi?

    maombi hayashindwi kama unavyofikri. kila jambo linawakati wake.
Back
Top Bottom