Search results

  1. kifumbiko

    Natafuta Mchumba/Mume

    Find me though 0738041717
  2. kifumbiko

    Natafuta Mume aliye serious anayetaka mke. Nina miaka 36

    Just text me through 073804171
  3. kifumbiko

    Naweza kusoma diploma ya medical laboratory katika chuo cha serikali?

    Huwezi badilisha zaidi ya kus diploma ya maabara
  4. kifumbiko

    Naweza kusoma diploma ya medical laboratory katika chuo cha serikali?

    medical lab bado ni nzuri soma ucjali utapata tuu chuo
  5. kifumbiko

    Rais Magufuli, Naona Changamoto na mtihani mgumu sana mbele yako

    kila mtu ana uhuru wa kuongea so ni mwisho wa upeo wake wa kufikiri hapoooooo!
  6. kifumbiko

    Wabunge wataka Milioni 130 badala ya 90 kama mkopo wa gari

    kwani toyota mark two haifiki bungeni? ndo mjue aina ya watu mnaowachagua wako kwa maslai ya taifa au familia zao,milion tisini inatosha na napendekeza ipunguzwe iwe milion60,hiki ni kipindi cha kazi tuu na sio matumizi yasio ya lazima.
  7. kifumbiko

    Matokeo mabaya Vyuo vya Udaktari, haijapata kutokea!

    suala usilolijua ni sawa na usiku wa giza,afya sio siasa kijana,acha kabisa,we nani uanze kusema afya za watanzania mashakani futa kauli mara moja.
  8. kifumbiko

    Hizi ni dalili za nini?

    mpaka uonane na daktari umsimulie ndipo ajue ni tatizo gani
  9. kifumbiko

    Msaada: Mwanangu kapima vipimo vyote hana tatizo lakini bado anaumwa

    pcm syrup sio nzuri kwasababu half life yake ni ndogo ukilinganisha na tabs ulilazwa hopitali gani? kwa maelezo zaidi nitafute kwa number 0718115013
  10. kifumbiko

    Ana dalili zote za ujauzito lakini vipimo havionyeshi

    hiyo condition tunaiita pseudopregnant ,na kupima mwapima ktk mazingira gani?ugonjwa wako ni siri kati ya dr nawewe maelezo inatakiwa utumie pm kama unaamini unaongea na daktari, usiexpose tatizo lako namna hiyo.
  11. kifumbiko

    Msaada kuhusu selection za vyuo vya afya

    mvumi sawa hicho kingine cjawah kukisikia.
  12. kifumbiko

    Yaliyojiri StarTv: Mahojiano Maalum ya Dr. Slaa na Star TV - Tarehe 4 Septemba, 2015

    vijana acheni ushabiki msikilizeni mtu anaongea nini ndipo mtafakari mlio wengi mmekalia kahongwa namchafua lowassa,mnamfahamu lowassa? au ndo ushabiki? ukitaka kuwa mshabiki wa mtu lazima umjue mpaka ndani. na sio ooh msafi amekuwa msafi baada ya kuwa cdm? msiwe wavivu wa kufikilia na kufanya...
  13. kifumbiko

    Yaliyojiri Mkutano wa kumtambulisha Mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA/UKAWA - Mwanza

    kazi ipo hata raia wa libya ilikuwa hv hv alafu wanajuta mpaka leo.acheni ushabiki wa vyama vijana.
  14. kifumbiko

    Mimba huanza kuonekana ikiwa na umri gani?

    miez mitatu ya mwanzo ndipo tumbo linakuwa kubwa lakini kuonekana haswaa ni week mbili mpaka mwez kwa kupima na upt.
  15. kifumbiko

    Bao la tatu linatunga mimba?

    ulizeni wataalamu coz mimi ninavyofahamu first ejaculation ndo inamatured sperms zenye nguvu kuliko zingine so unajuaje bao la nne lasababisha mimba?
  16. kifumbiko

    Kama wewe ni Fisadi na una uchu wa Madaraka ondoka, kwani CCM si mahala pake

    watanzania wengi wanasiasa za ushabiki.ukicheki walio wengi elimu yao ni ndogo kwasababu wanawaza kesho.wakishinda ukawa c kwamba watawagawia pesa kazi ni msingi wa maendeleo msije geuka kuwa wakimbiz nchini mwenu.hebu vijana mjitazame upya na kuwa na plan za miaka 20 mbele na sio kesho au bora...
  17. kifumbiko

    Madaktari na watu wazima only

    huwa tunahitaji chem na bios c government anaweza kosa ila private anaweza pata.
  18. kifumbiko

    Msaada, Nataka kununua basi aina ya coaster kwa ajili ya biashara hapa dar (daladala)

    nina uzoefu na biashara ya magari inalipa vzr 2 ila tatizo ni madereva maridadi kuwapata ni shida sana.me naweza kukushaur uanze na costa.ukimpata dereva ambaye anaendesha gari na kulichukulia ni chanzo cha ajira kwake utafaidi mpaka utamani kuongeza gar nyingine.kwa dereva makini ambaye...
Back
Top Bottom