Search results

  1. 3

    Wazee watazuia mafuriko Lowassa na kuliokoa taifa?

    Nape kamata hiyo ikusaidie kwann watu wanataka hata ng'ombe awaongoze badala ya ccm itakusaidia.
  2. 3

    Kamati Kuu CCM yakutana Ikulu, Dar

    Ndugu, Umeandika kutetea yanayofanyika bila kujenga hoja.Ikulu sio mahali pakupanga mikakati ya kivyama.ile ni ofisi ya Rais wa watanzania wote.ni ofisi ya serikali sio ofisi ya chama.
  3. 3

    Wizara ya Katiba na Sheria na harufu ya uvundo wa ufisadi Bunge Maalum la Katiba

    Ni declare interest kwamba sina Maslahi yoyote ya kisiasa na Chama chochote cha Kisiasa. Ila Kila kuchwapo huwa nachanganyikiwa kwa sababu kanuni ya swali sharti lijibiwe.Sasa Maswali genuine yameulizwa ila sioni Upande wapili ukijibu haya zaidi ya kutupa Vijembe.Haya ndiyo yanayowaondolea...
  4. 3

    Natafuta Rafiki wa kiume

    Duh sijui kile kitufe cha kurudisha Umri nyuma kimewekwa wapi maana Namkosa mrembo hivi hivi above 30.
  5. 3

    Je ni scania gani ambayo naweza pata mteja kwa sasa Tanzania ya kuuza 113H, 112H,93m.93h 124L,114L

    Hi, Natafuta RHD Scannia au DAF either 6x2 au 6X4. Horse tu. PM me with offer.
  6. 3

    Muundo wa Serikali

    Great thinkers Salaam! Nimekuwa nikifuatilia Bunge Maalum la katiba ila nimechoshwa na Malumbano ya mfumo wa Serikali Mbili au Tatu etc.Baada ya kufuatilia hoja ya Pande mbili hizi nnachokiona ni kwamba tulikuwa na kama kulikuwa na serikali tatu ila hazikuwa wazi.walio badili katiba baadae ndo...
  7. 3

    Sheria ya Ndoa: Maswali na majibu mbalimbali

    Mheshimiwa sana Tunashukuru kwa kujitolea kwako kuondoa wananchi Ukungu kuhusu sheria hii inayopelekea mkataba mgumu ambao wengi wetu huwa tunadumbukia kwa kizio cha Mapenzi,na baadae huwa ni kilio na kusaga meno.Umejitolea at No Cost but surely that will get compensanted. Naomba nikuulize...
  8. 3

    Yaliyojiri Bungeni Dodoma: Ijumaa Tarehe 21 Machi 2014 - Hotuba ya Rais, Uzinduzi wa Bunge Maalum

    Kwa kweli President amenidissapoint.Yeye kaenda kuijibu tume au Kufungua Bunge?Hoja za Tume ameshindwa kujibu hata Moja.Kwanini aliunda tume kama anabishana na mawazo ya wananchi?Kulikuwa na haja gani kuunda mchakato huu ilhali yeye analazimisha mfumo huu huu wa serikali mbili?wanataka katiba...
  9. 3

    Warioba; Hasira zako usizitumie kuibomoa nchi

    Mnao mchukia Warioba mna lenu Jambo... Na hii inaonyesha either 1.Mmezoea kuchakachua mambo na kuweka wachakachuzi ila sasa mambo hayakwenda kwa usanii mlio zoea 2.Mlizoea upendeleo ila wakati huu haki bin haki imetembea. Ninashindwa kuelewa Rais kama alikuwa na Imani na Warioba na akamteua je...
  10. 3

    Waumini wa Serikali Mbili Sasa ni Wakati Wetu wa Kujipanga Kujibu Mapigo The Damage Was Done Today!!

    Le mutuz hivi baba yako alipo kuwa PM uli wahi kumsikia akienda Zenji kwa shughuli za kiserikali?au Mamlaka ndo ya wale wanao ishia Chumbe?
  11. 3

    Matukio ya Ushoga duniani

    Swali linalonisumbua kichwani.... Naomba isichukuliwe otherwise Je ni kwanini Mashoga wengi huchagua majina ya kikristo?maana hili nalo Bomu!
  12. 3

    Kwa walioolewa na wana mpango wa kutunza ndoa zao

    Hii imebaki historia ndugu yangu... Wake wa Dot com never practice this... Nasubiri watu wa Gender waje na more comment!
  13. 3

    Mbwa wa Polisi anauzwa!!

    Aisee Namtaka harakaaa Pls PM Details ntakavyokupata.... Kesho Nimfate.
  14. 3

    CRDB ndo nini kufanyiana Weekend kuwa Mbaya?

    Ajabu kuanzia Asubuhi mtandao wa CRDB Bank umekuwa ni wa kusua sua na Jioni hii wamezima ATM machine zote.Mwezi mzima wa January Shkamoo bata ilikuwa Baba Mkwe. Kwa kuzingatia ni mwezi dume ambao una tar 45- 65 Kwa. Baadhi ya watu maana wengine walipokea mishahara nov na wengine katikati ya Dec...
  15. 3

    Kwa Mwezi mmoja CHADEMA inapokea Millioni 237, kama ruzuku kutoka Serikalini...

    Tuelezeni serikali ya CCM ina kusanya shilingi ngapi na inatumia shilingi ngapi na ngapi mmekopa na kwann?Natamani kanuniza Bunge zibadilishwe badala ya huu ujinga wa kusomeana budget tungesomewa kwanza mapato na Matumizi ya mwaka uliopita kisha ndo tusomewe bajeti ya mwaka ujao.Hakuna serikali...
  16. 3

    Ujumbe wangu wa leo kwa akina kaka wenzangu, A woman trust easily who?

    Hicho kitambaa unakining'iniza vp kwenye hewa?
  17. 3

    Kifaa cha CHADEMA chakamatwa na watu 6 waliomvamia Dr. Mvungi

    Naona shuzi limempata mjambaji leo....Ritz anashangilia kweli.vp ule msemo maarufu "aliaye au achekaye sana kama sio ndugu wa marehemu basi ndie mchawi/Muuaji" Kwanza hii haikukutwa kwenye tukio.... Kwahiyo Kova anashughuli pevu kuthibitisha madai yake.kilichofanyika hapa ni sanaa ku diverse...
  18. 3

    How can i get rid of him???!! Please advise

    Subiri aku ufooo.Nachukia mijanamke kama hii unajidevote halafu inaleta usnee snee.... Why can't u have cut clear guidelines since day one?
  19. 3

    Nina Furaha kuu Rais kusaini Mswada-Ndugai

    Huuu ungumbaro utaisha lini?tunataka katiba bora na sio katiba ya CCM au upinzani.
  20. 3

    Polisi wamtaka Sheikh Ponda ajitokeze kusema nani alimpiga risasi

    My Friend mimi sio mwislam ila kauli yako sio nzuri!
Back
Top Bottom