Search results

  1. Crocodiletooth

    Una Miaka 30+ unafata nini night club?

    Vibabu vinawazidi kete vijana? 😁😁😁 Vibabu vinahitaji damu changa pia, katika kuji - upgrade!, #
  2. Crocodiletooth

    IMF: Tanzania ni moja ya nchi 10 vinara zenye uchumi mkubwa zaidi Barani Afrika kwa mwaka 2024

    Nchi nyingi za Africa, chumi zake zinashindwa kugusa Jamii ya watu wa chini, ona Ethiopian raia wake wanafuraha gani na uchumi wao? [Tunafail katika real translation, uchumi mzuri uendane na ubora katika tasnia nzima ya mtanzania na maisha yake]
  3. Crocodiletooth

    Kesho naagiza simu original China kama unataka kuagiza?

    Heri yako uliyesema upo tayari kumuagizia mtu, ikifika akulipe!, #HONGERA kwa hili, kwani wengi, tumepigwa sana mkuu.
  4. Crocodiletooth

    Ziara Viongozi wa CCM yakosa mvuto

    Kamati inasikiliza kero kisayansi, kwanza na kuzitatua hapo kwa papo!
  5. Crocodiletooth

    Luhaga Mpina katumwa na nani?

    Hoja ya akamatwe?, ni upuuzi mtupu, the guy is mwehu.
  6. Crocodiletooth

    Luhaga Mpina akamatwe ahojiwe analeta chokochoko, kifo cha Hayati Magufuli hakina utata wowote

    Nimejibu kwa ujumla kwa wingi wa series zake!, ni mtu anayetapatapa!
  7. Crocodiletooth

    Luhaga Mpina katumwa na nani?

    Uwenda wazimu wake na frustrations tu... +wivu na chuki binafsi.
  8. Crocodiletooth

    Luhaga Mpina: Kuundwe Tume ya kuchunguza 'Utata' wa kifo cha Hayati Magufuli

    Quaresma Fri, hiyo avatar yako inatuliza wengine, yaani tuna uchungu sana... 😬😬
  9. Crocodiletooth

    Luhaga Mpina akamatwe ahojiwe analeta chokochoko, kifo cha Hayati Magufuli hakina utata wowote

    Wengine waliwahi kuwapiga wenzao marungu kisa ubunge tu, karibu aue, hukuisikia hii huko Dodoma miaka hiyo?
  10. Crocodiletooth

    Safari ya Majaribio ya Treni ya SGR na Viongozi wa Dini kutoka Dar es Salaam - Dodoma kwenye Dua na Maombi ya Kitaifa

    Chadomo mmechukia kweli kweli, kama kawaida yenu, "chuki kwa mambo yote mazuri ya Kitaifa"
  11. Crocodiletooth

    Luhaga Mpina akamatwe ahojiwe analeta chokochoko, kifo cha Hayati Magufuli hakina utata wowote

    Mpina, anatapatapa, anajua bungeni harudi ni mfa maji haachi kurusha mateke!
  12. Crocodiletooth

    Luhaga Mpina: Kuundwe Tume ya kuchunguza 'Utata' wa kifo cha Hayati Magufuli

    Haya yote twayasema hapa lakini, waswahili husema, "mkuki Mtamu kwa nguruwe, kwa binadamu mchungu "
  13. Crocodiletooth

    Luhaga Mpina: Kuundwe Tume ya kuchunguza 'Utata' wa kifo cha Hayati Magufuli

    KAMATI HIYO HIYO PIA ISIACHE KUCHUNGUZA KIFO CHA MPENDWA WETU MWANASIASA NGULI JASIRI LATE, BENJAMINI WILIAM MKAPA, IT WAS SO SUDDEENLY!, KUTOKA AFYA NZURI MNO, MPAKA KUFIKIA PALE! °Alifariki wakati ambao kiongozi fulani akijaribu kujiongezea muda! Inatia shaka sana.
Back
Top Bottom