Search results

  1. M

    MPYA: Liyumba akwama tena Mahakamani

    WanaJF naomba kuuliza. Huyu Liyumba si alikuuwa ameshtakiwa na Kweka??? Vipi habari za Kweka mbona hazisikiki? Aliachiwa kimyakimya kule polisi walipokamatwa mara ya pili? Naomba kufahamishwa
  2. M

    Mwitikio wa Serikali na Wengine juu ya Mengi kutaja mafisadi!

    Tatizo Mengi bado anaonekana kama ana ajenda ya kisiasa, sidhani kama Serikali imejiridhisha na utetezi wake alioutoa siku za nyuma kuwa hana nia ya kugombea urais. Hadi hapo watawala watakapo amini kuwa Mengi ni Raia mwema, hata afanye jambo jema kiasi gani bado litapokelewa na wakubwa kuwa...
  3. M

    Rostam Aziz of New Habari Corporation: The facts

    RA Hafai hafai wal kamwe haitakii hii inchi mema. Anachokifanya sasa ni kukazana kutafuta fedha za kurudishia alizotumia 2005 na kutafuta za kutumia 2010
  4. M

    Et tu Brute? Wajueni Ma-Yuda Iskariote wenu!

    Yaani wote mliowataja mmemsahau Mdharaulika I mean Mheshimiwa CHITALILO. Juzi tu hapa kwenye mjadala wa bajeti bila haya wala aibu akameza kaseti yenye tungo za utetezi wa ufisadi, eti oh "kwani Chenge kavunja nyumba ya nani?" huyu na Serukamba ni fedheha tupu kuwa nao bungeni.
  5. M

    Thanks God for Giving us Kikwete

    LIMBANI, tatizo la JK si kusikia vilio vya watanzania. Naamini JK ni msikilizaji mzuri na anataarifa kamili za vilio vyetu. Tatizo lake kubwa ni kutochukua hatua kwa wakati muafaka! Hii ni kasoro kubwa kwa uongozi kwa kuwa kuchelewesha mno uamuzi kunaweza kuligharimu pakubwa Taifa. Mifano ni...
  6. M

    Tanzania National Identities

    Nafahamu kuwa zabuni haijatolewa isipokuwa ndiyo kwanza imetangazwa mwishoni mwa wiki iliyopita. Nafahamu kuwa hadi sasa kuna washauri walioteuliwa bila kupitia mkondo wa zabuni kwa vigezo vya usalama. Hawa consultants ni Gotham International Ltd. Nafahamu pia kuwa hata zabuni ilikuwa...
Back
Top Bottom