Search results

  1. Bob Fern

    Ukerewe

    Mbona Polepole kaenda tena na jezi kabisa
  2. Bob Fern

    Ukerewe

    Mbona Chadema wamemtenga mbunge mwenzao. Sijaona kiongozi yeyote wa upinzani Ukerewe
  3. Bob Fern

    Ukara-Ukerewe

    RC
  4. Bob Fern

    Je, Rais hajavunja katiba kwa kutokwenda kuwafariji wafiwa?

    Aliwaandalia breakfast matrafiki
  5. Bob Fern

    Ukara-Ukerewe

    Hivi jamaa kakosa nguo nyeusi?
  6. Bob Fern

    DSTV na Vodacom acheni utapeli

    Mimi ilishanitokea enzi za kifurushi cha 147000/- mwaka juzi mpaka leo sijarudishiwa hela kwa tukio kama hili
  7. Bob Fern

    Tukumbushane;unaijua TMO? unakumbuka nini kuhusu TMO wakati uko shule?

    Wewe kweli Mwana Pugu. Ulimaliza mwaka gani? Sent from my SM-G935F using JamiiForums mobile app
  8. Bob Fern

    Tukumbushane;unaijua TMO? unakumbuka nini kuhusu TMO wakati uko shule?

    Au Gongo la Mboto kufata UDA Sent from my SM-G935F using JamiiForums mobile app
  9. Bob Fern

    Tukumbushane;unaijua TMO? unakumbuka nini kuhusu TMO wakati uko shule?

    Pugu ukipata TMO lazima uende Posta mpya. Enzi za Mwalimu
  10. Bob Fern

    Jana wakati tunaandamana na Mwenyekiti wetu, Lowassa alikuwa wapi?

    Alikuwa kwenye kampeni SIHA. Angejigawaje sasa?
  11. Bob Fern

    Mambosasa: Kilichopelekea mwanafunzi wa UDSM akamatwe ni kusambaza uzushi mtandaoni

    Kwahiyo ukiona mtu anaibiwa usimstue kwasababu huibiwi wewe?![emoji23][emoji23]
  12. Bob Fern

    Je, unakumbuka nini enzi zako za JKT? Ni mambo gani yalikufurahisha au kukukwaza?

    Nakumbuka nilikuwa Ruvu. Coy B. Nilipata kitengo cha kufuga kuku phase 2. Asubuhi lazima ubugie mayai mabichi km matatu hivi. Ukipata nafasi siku unachoma takataka unaficha mayai kwenye moto. Moto ukiisha linatokea yai km limechemshwa. Kuruta mwenzangu alikuwa A-Coy. Alikuwa anatuibia sana kuni...
  13. Bob Fern

    Je, unakumbuka nini enzi zako za JKT? Ni mambo gani yalikufurahisha au kukukwaza?

    Ruvu JKT tulikuwa tunatoroka thru Vimbwende. Nikamalizia Mlale. Nilikatwa bogi. Shamba lilikuwa linaitwa Dunia. Magu rudisha hawa vijana kabla ya kuanza waanze JKT,adabu ilikuwa inapendeza
  14. Bob Fern

    Je, unakumbuka nini enzi zako za JKT? Ni mambo gani yalikufurahisha au kukukwaza?

    Jamaa yangu mmoja alikuwa SELULE kila siku[emoji23][emoji23]
  15. Bob Fern

    Naombeni ushauri nahisi nilijidanganya kwa huyu Binti

    Huyo hakufai. Achana nae. Pesa inatafutwa usijilaumu kuwa kala hela yako
  16. Bob Fern

    Leo nimekubali kweli maishani hatulingani

    [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Back
Top Bottom