Search results

  1. ndupa

    Tahadhari huyu anaejiita ndupa ni tapeli

    yupo agent sinza wa kazi hizo siyo mimi
  2. ndupa

    Tahadhari huyu anaejiita ndupa ni tapeli

    ha ha mtafuteni sinZA KARIBU NA TRA.AM NOT THE ONE I ONLY POST ADS FOR CASH
  3. ndupa

    Picha: Kampeni za "ukawa " si mchezo

    Na wewe upo UKAWA??? Au nimekosea kusoma!!?
  4. ndupa

    Tembea tembea:vijijini wanapiga sana kura na ni ccm

    uko sahihi kabisa hivi sasa hutawasikia na mambo ya siasa lakini ikifika wakati wa kupiga kura haoooo.kwenye foleni
  5. ndupa

    Tembea tembea:vijijini wanapiga sana kura na ni ccm

    sawa sawa.huku watu wametekwa na ccm.
  6. ndupa

    Tembea tembea:vijijini wanapiga sana kura na ni ccm

    SHUGHULI ZANGU ZINAHUSISHA SANA MAENEO YA VIJIJINI NA NIMEPITA VIJIJI VINGI SANA TOKA KUSINI.NYANDA ZA JUU KUSINI .KASKAZINI .KATI.MQGHARIBI NA KANDA ZIWA. kwa kweli ni sehemu ambazo ccm ina wapiga kura wengi halafu ni watu ambao hupiga kura. watu wa vijijini kwa kweli wanapiga kura upinzani...
  7. ndupa

    Yaliyonikuta baada ya kulewa mbombonya nikalala kwenye kinyesi cha ng'ombe

    Wadau mko poa.? Jana ilikuwa siku ya soko kijijini,sasa kunakuwa na nyama ya ng'ombe mbuzi na vinywaji kama kawaida yaani ni kama sherehe vile. Mimi nikawa na kampani na mwenyeji wangu Mabula. Tukaanza kunywa weee kunywa sasa mimi kichwa panzi nikawa nakunywa natoka kidogo pembeni nalamba...
  8. ndupa

    Nimesahau kusaini fomu yangu ya mkopo

    Kwa kifupi ni kwamba form kama yako na nyingine ambazo zina mapungufu watazirudisha, na kama ulichagua non priority (na sometimes hata kama kozi ni priority) ndo usahau maswala mkopo!!! Hii ilimtokea mwenzang enzi hizo tunaomba loan!! Labda nikuulize, hiyo form ulikaanayo zaidi ya mwez je...
  9. ndupa

    Vyombo vya habari Tanzania vinatumika kuihujumu CCM?

    Kuna watu humu JF walikua wanaomba jinsi ya KUIFUTA TBC kwenye ving'amuzi vyao, je unasema nini kuhusu wao??? Nlishangaa sana tokea asubuhi mpaka jion tbc wanatangaza mambo ya ccm na sio ya taifa kama wanavyojinadi!!
  10. ndupa

    Nisababu zipi zilizo sababisha kufungwa kwa kiwanda cha GENERAL TYRE??

    Mkuu unafanya mazoezi gani kwenye kiwanda??
  11. ndupa

    Muongozo na ushauri kwa wanafunzi udahili vyuo vikuu 2015/16

    Kumiliki clinic ya macho ni lazima uwe umesomea maswala ya macho? kumiliki kampuni ya ujenzi ni lazima uwe injinia? umesema kufungua centre ya mcho ni laki 6 (kitu ambacho kinaweza kuwa si kweli) je MD anakosa laki 6?
  12. ndupa

    Vyuo gani tanzania vinavyotoa shahada ya sheria LLB.

    Kwa sheria UDSM na MZUMBE ndio vyuo vinavyosifika katika sekta hii!! ladba kidogo na SAUT (nikikumbuka mdogo wangu alivyoteseka huko wala sikushauri umpeleke mwanao kwenye hiki chuo)
  13. ndupa

    Muongozo na ushauri kwa wanafunzi udahili vyuo vikuu 2015/16

    UDSM wameanza kutoa Bsc archtecture lini?
  14. ndupa

    Muongozo na ushauri kwa wanafunzi udahili vyuo vikuu 2015/16

    Pitia huu uzi kuna mawazo yametolewa humo.. https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-elimu-education-forum/890605-mwongozo-wa-kozi-za-shahada-za-uhandisi-hapa-tanzania.html
  15. ndupa

    Muongozo na ushauri kwa wanafunzi udahili vyuo vikuu 2015/16

    Unaelewa maana ya ujasiamali? mtu kuwa mjasiriamali sio lazima usome chuo, ni kitu mtu anazaliwa nacho bila kujali ni MD au huyo wa macho. Kwa hapa siungani na wewe, umedanganya. Unaongelea maslahi kivipi? mshahara au?? kama ni salary hao wa macho hawawezi mzidi au kumkutia mtu wa MD!! Bado...
  16. ndupa

    Nimejikuta nikimpenda kwa dhati msichana niliyekutana nae Facebook bila kutarajia

    Wewe ndie unajitia kiburi. msomi tena unajiita wa chuo cha taifa, sijui kiko sayari gani hiki, hujui kuandika? na wewe ni wa BRN?
  17. ndupa

    Kwa wanawake tu hasa wenye umri kuanzia 29 na kuendelea

    Daaaahhh mamaa upo lakini??? naona nilichanganya madesa hapo!! Si unajua tena hiki kiingilishi ni matatizo!!! Sorry kwa kukuzeesha kama alivyosema Karucee
Back
Top Bottom